MEJA...MEJA...MEJA.......JIBU HOJA....!Na Huyo Kyara Mwambie Kabla Ya Kuonyesha Sura Yake Ktk Magazeti Angetumia Muda Huo Kufanya Usafi Kwenye Gest Yake Pale Shekilango Ili Mende Wapungue, "dead Man"
Huyu Kyara Wa Sau Hakuna Asiyejuwa Kuwa Ni Njaa Inamsumbua Sasa Anatafuta Sapoti Ccm Angalau Apate Pesa Ya Kununua Dawa Ya Kupiga Wale Mende Wapungue Ktk Ile Gest Yake Ambayo Mwenyewe Anaiita Legho Hotel Na Pia Aweze Kupata Pesa Ya Kununua Rv Ile Dawa Ya Kupunguza Makali Ya Ukimwi Unaomtesa,
Hivi Wewe Kada Mpinzani Ina Maana Hujui Maana Ya Kukopa Na Kuiba? Punguza Njaa Hiyo Itakuuwa
Si Amejibu Mwenyewe Kuwa Anahongwa Mil 5 Kwa Mwezi,sasa Ushahidi Gani Unataka?lengo La Jf Ni Kuwashushua Mafisadi Na Si Kuwatetea Sasa Huyu Kada Mpinzani Huoni Ni Wazi Kabisa Kuwa Anawatetea Ina Maana Tanzania Ya Leo Kuna Asiyejua Maana Ya Deni Na Wizi? "kiazi Wewe"
Tena Ukishamaliza Kazi Ya Kuchapa Kila Siku Ktk Computer Ni Lazima Uwaprintie Uwaonyeshe Ili Washuhudie Mapambano Unayoyafanya Na Wana Jf Si Unajua Aslimia 90 Ya Wabunge Wa Ccm Ni Vilaza Hawajui Hata Kufungua Komputer, Kwa Hiyo Wataona Kazi Unayofanya Ni Kubwa Hivyo Wataongeza Dau. Kazana Mwanangu Kufa Kufaana
Naomba Kusitisha Kubishana Na Wewe Maana Nitaonekana Ni Kichaa Kubishana Na Mtu Aliyepandikizwa Kwa Kuhongwa Vijisenti Na Hao Wanakulaaniwa
Wewe Unafikiri Wanasiasa Njaa Kama Kyara Na Ccm Matajiri Wezi Wataifanyia Nini Nchi Tanzania, Na Kama Watashirikiana Na Wapotoshaji Wa Mambo Kama Kada Mpinzani.
HUU NI UDAKU. HATUTAKI. KWANI KILA ANAYEMPINGA MBOWE ANA NJAA? MIE CHINGA NAJILIA KOROSHO SINA NJAA.BASI NA SLAA ALIKUWA ANA NJAA.
ANAYEFANYA KAZI ZA KU PRINT NI MWANAKIJIJI NDIO MAANA UTAONA ANAINGIA NA MAJINA MENGI KWANI NI PAY AS YOU GO! ANALIPWA KWA POST.
TIZAMA ANA POST NGAPI KWA JINA LA MWANAKIJIJI,MWAFRIKA WAKIKE , MADELA ,KOBA NA SASA BEN.
SOMA VIZURI POST ZAKE KUNA MAHALA ANASEMA LAZIMA ATUME POST 50 KWA SIKU.
MIE NINA MIAKA MITATU HUMU TIZAMA POST ZANGU ZIKO NGAPI?.
HIVI UNAJUA KUWA MBOWE ANATAFUTWA NA ANAWEZA KUWA DEPORTED ANYTIME AKIINGIA UINGEREZA? AMEPATA VISA YA STUDENT KWA DECEPTION. YEYE ALIOMBA KAMA NI FULL TIME STUDENT LAKINI AKAWA NI PART TIME STUDENT.
HAWA NDIO WALIMPA VISA LEO KAWAGEUKA.
http://www.ukvisas.gov.uk/servlet/F...t/Xcelerate/ShowPage&c=Page&cid=1006977150097
halafu wanasema chinga na kada hawana akili, sasa subiri !
Asha what is your point haswa. Let match apple kwa apple and not orange kwa apple. Kesi yoyote inayodeal na promise especial kwenye swala la contract, jaji is requred to enforce contract as long as contract doesn't includes any fraud deal. Kama tungekuwa na Usury Act which prohibit lending at high rate that should be another case.Suala likiwa mahakamani huwezi kulipa. Unajua mahakama zetu. Kesi hii wameipiga danadana kwa miaka 10 na ni NSSF ndio waliukuwa wanaacha kwenda mahakamani. Lakini Mbowe alipochoka na yeye akaacha kwenda mahakamani ndio order ya kumkamata ikatolewa. Ona double standard. Ni kama ile kesi ya Lissu na Mrema kuhusu Bulyankulu; toka 1996 wakienda wao mahakamani kesi inaahirishwa kwa upande wa mashtaka kutokutokea, wakiacha kwenda wao inatolewa order wakamatwe.
Hebu jiulize, ni toka lini kesi ya madai ambao kampuni ndio inadaiwa pakatolewa order kama hiyo ambayo Menento aliitoa bila ya upande wa pili kuitwa mahakamani?
Hebu fuatilieni kabla ya kusema jamani
Asha
ANAYEFANYA KAZI ZA KU PRINT NI MWANAKIJIJI NDIO MAANA UTAONA ANAINGIA NA MAJINA MENGI KWANI NI PAY AS YOU GO! ANALIPWA KWA POST.
TIZAMA ANA POST NGAPI KWA JINA LA MWANAKIJIJI,MWAFRIKA WAKIKE , MADELA ,KOBA NA SASA BEN.
SOMA VIZURI POST ZAKE KUNA MAHALA ANASEMA LAZIMA ATUME POST 50 KWA SIKU.
MIE NINA MIAKA MITATU HUMU TIZAMA POST ZANGU ZIKO NGAPI?.
Asha what is your point haswa. Let match apple kwa apple and not orange kwa apple. Kesi yoyote inayodeal na promise especial kwenye swala la contract, jaji is requred to enforce contract as long as contract doesn't includes any fraud deal. Kama tungekuwa na Usury Act which prohibit lending at high rate that should be another case.
Lakini at this moment, Mr.Mbowe wasn't even supposed to show up at the court, sababu there is no arguments he can create. The contract bound the promise. Do you need to be profesional in business Law to know that?
Advise yangu ni kwamba Mbowe akae chini na NSSF then anegosiate deal. Lakini kusema sijui mbona kesi ya Mrema haisikilizwi sijui mbona nini doesn't play part in this argument. Let finish this first, and then we will start about Mrema and court system.
NA MACHO YAKE YA KUMCHUZI ITAKUWA AIBU KUBWA.