Kashaliwa huyo kimasihala tena kaliwa na Mzee wa kupambania tushajuaAlishawahi kukukula mlipokuwa kwenye mahusiano?
Unaanzaje kumpenda mtu ambaye hujawahi kumuona na hata picha yake huijui mtu mwenye jina fake , basi itakua ni uchizi aiseeUmewahi mpenda mtu humu Jamii Forums ukaona huyu kakupenda kweli na ukampenda kweli halafu mlipoachana ikakuuma roho? Mimi ndiyo.
Niliwahi kumpenda mwanaume humu na hakuniacha, ila nilishindwa masharti, ila waleo namkumbuka sana. Ila yeye ndiyo basi tena, hajali tena, kipindi cha 2019 nilipofungua Unique Flower.
Je, wewe iliwahi kukutokea hali hii?
Kuna demu namtaka japo simjui namsoma tu ila namtaka tu this Nakkadori sijui hata Kwa nini hata just tuUmewahi mpenda mtu humu Jamii Forums ukaona huyu kakupenda kweli na ukampenda kweli halafu mlipoachana ikakuuma roho? Mimi ndiyo.
Niliwahi kumpenda mwanaume humu na hakuniacha, ila nilishindwa masharti, ila waleo namkumbuka sana. Ila yeye ndiyo basi tena, hajali tena, kipindi cha 2019 nilipofungua Unique Flower.
Je, wewe iliwahi kukutokea hali hii?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]usijali, next time tutaenda wote kiasaliWeeeh ungeniambia twende wote.
Ungenijia na kuku kutoka kwa shangazi Mwasiti.
Cc NakadoriKuna demu namtaka japo simjui namsoma tu ila namtaka tu this Nakkadori sijui hata Kwa nini hata just tu
Wewe itakuwa kuna namna umefunga vioo, lakini sidhani kwamba watu wanapenda kama kupenda, wanavutiwa na michango, mwandiko, wanazama pm, wanachat, wanazoeana, wanabadilishana contacts, wanapanga kukutana....baada ya kukutana ndio hapo kuna mawili, walisongeshe au yaishie hapo hapo.Hivi jf kila kitu fake picha za profile fake unaanzaje kumpenda mtu.
Mimi labda huku mitaani kwenye maisha ya kawaida tunayoishi ishawahi nitokea ila huku mitandaoni nooooooooo!
Embu rudia tena watu wanavutiwa na nini? Ati michango ya humu? mwandiko? Embu samehe.mbavu zangu naend zangu saloon jioni ntaonda hotel ya maana nikavutiwe na watu ninaowaona live kuliko huku jf nyuma ya pazia.Wewe itakuwa kuna namna umefunga vioo, lakini sidhani kwamba watu wanapenda kama kupenda, wanavutiwa na michango, mwandiko, wanazama pm, wanachat, wanazoeana, wanabadilishana contacts, wanapanga kukutana....baada ya kukutana ndio hapo kuna mawili, walisongeshe au yaishie hapo hapo.
Nadhani umepata muongozo mkuu, sasa kama wewe sio muumini wa kukutana na wanajf, huwezi kuelewa.
Hujawaisikia au kuona mtu anavutiwa na miguu yako humu?Embu rudia tena watu wanavutiwa na nini? Ati michango ya humu? mwandiko? Embu samehe.mbavu zangu naend zangu saloon jioni ntaonda hotel ya maana nikavutiwe na watu ninaowaona live kuliko huku jf nyuma ya pazia.
Dah ila nimecheka ati mtu anavutiwa na mwandiko aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana nikasema wewe kuna namna umepandisha vioo, kwani unadhani kuwa attracted na mtu kunaanzia wapi?Embu rudia tena watu wanavutiwa na nini? Ati michango ya humu? mwandiko? Embu samehe.mbavu zangu naend zangu saloon jioni ntaonda hotel ya maana nikavutiwe na watu ninaowaona live kuliko huku jf nyuma ya pazia.
Dah ila nimecheka ati mtu anavutiwa na mwandiko aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ketamine uliwahi kunipm sijui ulikuwa na shida gani Masikini!😅😅😕Umewahi mpenda mtu humu Jamii Forums ukaona huyu kakupenda kweli na ukampenda kweli halafu mlipoachana ikakuuma roho? Mimi ndiyo.
Niliwahi kumpenda mwanaume humu na hakuniacha, ila nilishindwa masharti, ila waleo namkumbuka sana. Ila yeye ndiyo basi tena, hajali tena, kipindi cha 2019 nilipofungua Unique Flower.
Je, wewe iliwahi kukutokea hali hii?
Hahahahahahahaua
Yupo mmoja anajishaua sana kisa tu aliona ninaonesha kumjali......najua utasoma hapa ila don't take it serious coz u r a good boyy...🤪🤪 Kwenye jina lake kuna alphabet ya 5 eeeh
Ungeacha akuelewe sana yeye, hao watu tukianza kuwaelewa sie wanaanza na mashauzi.
🤣🤣🙌
I wish na mm niandikiwe hivi hapa jukwaa la jeiefuTunawasiliana naye sana kiasi kwamba tumeshabanjuana mno kwa njia ya mawasiliano ya mazungumzo ya simu na sms, imebaki kukutana tu tumalizie live live. Anajijua akisoma tu hapa.
********missing you so much
Sent using Jamii Forums mobile app
We sema umetamani kutokana na vi mada vyanguKuna demu namtaka japo simjui namsoma tu ila namtaka tu this Nakkadori sijui hata Kwa nini hata just tu