genius_
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 508
- 1,328
Nakwambia namjua niruhusu nimtag [emoji41]Huwezi mjuaaa nakuapia
Nakwambia namjua niruhusu nimtag [emoji41]Huwezi mjuaaa nakuapia
Only uWe ulishawahi kumpenda mtu humu?
Sio kijana huyu ni mtu mzima sana kama ana 55 Weh sio vijana wa mama Samia hapana enzi za mwalimuMapemaa kabisa, na nishaanza kuandaa mistari ya kumwimbia kijana wa Unique Flower amlegezee mtoto masharti
Mtag mtag walahi Christmass nitakupa package ya zawadi full of good thingsNakwambia namjua niruhusu nimtag [emoji41]
Ishia hapoNilimpendaga kijana anashindaga kuleee JF garage 😂😂😂
Weeuhh alikuwa akinilike nasikia raha… alinikwoti nazimiaa sekunde 3.
Way back.. sahii feeelings zilikwenda na maji ya mvua ya msimu uliopita.
Ila kijana hajui
Taja tu alphabet ya jina lake la kwanza, nakununulia sodaNakwambia namjua niruhusu nimtag [emoji41]
Kibabu flani amazing sio 😂😂😂🤸Sio kijana huyu ni mtu mzima sana kama ana 55 Weh sio vijana wa mama Samia hapana enzi za mwalimu
Mi nasoma koments tyuuuu na kusubiria mtag watyuuu wenyuuuh💃💃Mapemaa kabisa, na nishaanza kuandaa mistari ya kumwimbia kijana wa Unique Flower amlegezee mtoto masharti
KabisaKibabu flani amazing sio 😂😂😂🤸
Tatizo unapendwa na wengi, ningeshajilipua[emoji3064][emoji3064]Only u
Dj WaletreeeeeeeeNgoja nimtag
Hizi zawadi mbn zinashawishi sana kumtajaMtag mtag walahi Christmass nitakupa package ya zawadi full of good things
Kumbukumbu huku tulipendwa sana ila masharti nilishindwa ila kweli nilimpenda alinipenda kweli
Hakuna aliyewahi nipenda humu,tunataniana tuTatizo unapendwa na wengi, ningeshajilipua[emoji3064][emoji3064]
Niliyewahi kumpenda na bado nampenda sana ameshakuja, yupo humu ana-komenti tu🤣Jibu swali we mzee! 🤣🤣🤣
Sifungui code zote ila ntataja mojawapo ya herufi za jina lake..Taja tu alphabet ya jina lake la kwanza, nakununulia soda
Akipatia au ukipatia unapewa xmass giftHizi zawadi mbn zinashawishi sana kumtaja