Je, hili limewahi kukutokea?

Je, hili limewahi kukutokea?

Ila unaye mpenda mtu humu ni Sophie na even salt hao ukiwasikia na Kelsea wewe unaweweseka
Evelyn Salt ni mkongwe mwenzangu, mamaa ya Kimara zama zile.
Yaani najikuta nampenda tu, sio avatar wala USER ID ya, ila yeye binafsi.

Ni kama tu nimpendavyo mmakonde wa Uingereza Kasie, fyalafyala. Tena Kasie nina wine yako na prawns kikundi, eat as much as you can
 
Back
Top Bottom