Je, hili limewahi kukutokea?

[emoji848] Hiv wanaume nanyi huwa mnachezewa na kuachwa? [emoji23][emoji23]

Siku hizi kuna wadada hit and run yaani mimi kuna mmoja nilikutana nae tumeenda vizuri kabisa baada tu ya kutimiza haja zake akapotea, simu kanilamba block akanipotezea mazima.

Siku moja niko na jamaa yangu fuska tunapiga stori za madem nikamhadithia hiyo stori, akaniambia kumbe hata yeye alishatafunwa na huyo demu na kubwagwa..!
 
[emoji1787][emoji1787] kibao kmegeuka, poleni sana.
 
Wa humu mkuu?
Mbona hatari hii..
 
Mabaharia siyo watu mkuu. Imagine wanamuumiza binti mrembo na mtulivu kama huyu. Adhabu yao wataikuta motoni wallahi!

Nawacheki tu mafisi Shimba na ERoni mnavyojidai kumuonea huruma mrembo Tinsley.. utadhani nyie akiwapa mtafanya tofauti πŸ˜†πŸ˜† Kumbe na nyinyi mtaweka na kusepa πŸ˜€
 
Nawacheki tu mafisi Shimba na ERoni mnavyojidai kumuonea huruma mrembo Tinsley.. utadhani nyie akiwapa mtafanya tofauti [emoji38][emoji38] Kumbe na nyinyi mtaweka na kusepa [emoji3]
[emoji2][emoji2][emoji23]
 
Nilimpendaga kijana anashindaga kuleee JF garage πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Weeuhh alikuwa akinilike nasikia raha… alinikwoti nazimiaa sekunde 3.

Way back.. sahii feeelings zilikwenda na maji ya mvua ya msimu uliopita.

Ila kijana hajui
Pole jirani...
 
Kwa jinsi ninavyo pendwa na wanawake live wameni keep busy hadi nisiwe na tamaa ya kutoka na manzi yoyote humu.

Kifupi tu acount yangu ya jf haija wahi shobokea acount ya demu yoyote humu jf wala kuonyesha interest na mwanamke yoyote humu kwa sababu i see less
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…