Je, hii ni sawa?

Je, hii ni sawa?

Kwa majibu yako wewe hama nyumbani tena umechelewa.

Mimi ni dereva wa Townance nitakufanyia bure sema ulipo tukapakie kitanda chako.

Nimejaribu kujenga hoja kama haijakushawishi au hujaona cha kushauri si lazima ucomment kwenye kila post mkuu
 
Nimepitia maelezo yako inaonyesha kabisa uko seriously na Jambo la kuhama home but wazazi wako wanakujua in and out kuhusu wewe ndio maana wanakupinga kuhama home. Ila take precautions ukofanikiwa kuhama make sure uwe na msimamo kweli maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Utageuzwa choo cha stand. Alafu utaishia kuwa single mother. Ndipo hapo utakuja kukumbuka maneno ya wazazi wako.
Huamuzi tayari unaomwenyewe Kila laheri
 
Asante kwa mchango wako hakika ntaufanyia kazi
 
Nimepitia maelezo yako inaonyesha kabisa uko seriously na Jambo la kuhama home but wazazi wako wanakujua in and out kuhusu wewe ndio maana wanakupinga kuhama home. Ila take precautions ukofanikiwa kuhama make sure uwe na msimamo kweli maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Utageuzwa choo cha stand. Alafu utaishia kuwa single mother. Ndipo hapo utakuja kukumbuka maneno ya wazazi wako.
Huamuzi tayari unaomwenyewe Kila laheri
Mabaharia watajipigia kwa zamu Mkate hujawahi kuwa mgumu mbele ya supu aisee
 
Kupanga ni kuchagua. Mara nyingi wanawake wanao panga nyumba ni either wafanyakazi wa serikali au wasimbe. Amini single mother. Sasa basi ikiwa ww ni binti haujawahi kuolewa au kuzaa unaanzaje kuwaza kupanga geto lako?? Kuna kitu nyuma ya pazia unatuficha.
 
Hapana sina sababu nyingine zaidi ya kutaka kuwa na maisha yangu ya kujitegemea tu mkuu
 
Ni lazima kuna kitu kinakusukuma kuondoka nyumbani. Siyo rahisi kwa binti kuondoka nyumbani hivi hivi. Amini amini nakwambia.
Hapana sina sababu nyingine zaidi ya kutaka kuwa na maisha yangu ya kujitegemea tu mkuu
 
Kama ulishakuwa na misimamo yako ktk hili hukuwa na sababu ya kuja kuomba ushauri humu.

Labda hujanielewa mkuu nimekuja kupata mawazo zaidi je niko sawa au nakosea kulingana na navyolichukulia hili swala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom