Weeee! Xmass wapi na easter wapi? Tena huyu kaka alikosea mimi ningebadiri na njia - kama ni njia badala ya kupitia Bamaga - sinza kwenda Urafiki nikiwa natoka Viktoria/moroko, ningepitia Mwenge - Ubungo-Urafiki ili nisipitie ukweni Sinza Madukani,Inabidi ajiulize je yeye akifanyiwa hivyo kwa binti zake atafurahi? Anyway huyo dada naye atakuwa amemzoesha mimi wa kwangu nilimwambia clear
Kabisa kabla ya ndoa kwamba alinitoa kwa wazazi na si juu ya mti so kama xmas naenda kwao easter ni kwetu zaidi ya hapo hakutaendeka kokote.