Je hii ni sahihi kwa Wanandoa hasa wanaume?

Je hii ni sahihi kwa Wanandoa hasa wanaume?

Kwangu mimi kabla ya safari lazima tupange kabisa na bajeti husika kwa kila sehemu tunakubaliana kabisa kabla ya safari, Kilimanjaro na Arusha si mbali,najua Kilimanjaro ndo tutaspend zaidi lakini siku mbili tatu Arusha ni lazima. Ni swala tu la kupanga kama wapenzi na kukubaliana,ububu huo wa bidada kwenye ndoa hautakiwi kabisa,

Wanaume hawa wakiona hujali basi yeye ndo anakuwa hajali mara 3 yako,lakini ukimpa msimamo toka mwanzo atakuelewa,mi nashangaa kuna watu wana miaka hata 10 eti hajaenda kwao kisa mume anatia ngumu. Kuna mambo toka mwanzo uonyeshe uko strict. Wanawake tuna nafasi kubwa sana ya kuwafanya waume zetu wawe mbali kabisa na familia zetu tulizotoka au kuwafanya wawe karibu.
 
Habari za weekend wadau wa jukwaa hili...

Kuna dada mmoja alikuwa anatusimulia baadhi ya maisha yake ya ndoa. Moja kati ya mambo yaliyonigusa ni hili...

"Sitaki kuamini kama nilipitishwa nyumbani kwetu kama kituo cha polisi"

Ilikuwa ni nyakati za sikukuu za mwisho wa mwaka, familia ile ilifunga safari kwenda Kijijini kwao nwanaume kama ilivyo ada kwa makabila fulani.

Ukitaka kufika kijijini kwao na yule mume ilikuwa lazima upite kijiji cha na yule dada, basi safari ikaanza toka Mjini, haoooo wakafika Kijijini kwao na yule dada. Basi mdada akafikiri huenda wanaweza kupita hata kwa dakika chache wakaisalimia familia ya yule dada.

Thubutuuuu... Mume alinyoosha mguu wakapitiliza mpaka kwao, mdada kwa busara akafikiri huenda wangelipita wakati wa kurudi, holaaaa!!! Kama kawaida mume akanyoosha mguu...

Mwisho wa siku mdada akamtolea uvivu na kumuuliza kulikoni hata asipite kuwasalimu wazazi, ndugu na jamaa hata kwa muda mfupi?? Yule mume akamjibu MIMI NDIYE MWENYE MAMLAKA YA KUAMUA KUKUBALI AMA KUKATAA uende ama usiende kwenu kusalimia. Labda tu kuwe na jambo la muhimu.

SWALI KWENU WANANDOA. Je alichokifanya ni haki?

Mzee Mtambuzi, Babu Dark City, Babu Asprin, Ankal Kaizer, watu8, kabanga, EMT na wanandoa wanaume, je hivi ndivyo mnavyowa treat wake zenu???

Dada mkubwa AshaDii, gfsonwin, cacico, BADILI TABIA, Fixed Point, snowhite, mrsleo na wanandoa wanawake je ukifanyiwa hivi utachukua hatua gani??

Karibuni kwa mjadala....

Umenikumbusha wakati nilipokwenda ukweni mwaka jana

attachment.php
 
Pamoja na upuuzi wa huyo mwanamume, naona (bila shaka yoyote) kuwa mwanamke ndiye chanzo na problem yenyewe

Kama ambavyo dada mmoja alimwambia katibu mkuu wake wa CHAMA kwamba......Ndani ya chama chetu, "the problem is the Secretary General, and Mr.....you are the problem" bila kutafuna maneno.... I dare say the same kwa huyu mwanamke......Any mistake in bargaining cannot be blamed on the substandard stuff you buy!!

Nilikuwepo,

Babu DC!!

Kwakweli hata nami naunga mkono hoja hii,ububu gani huo kha!! Unamuogopa mume hivyo kama Ebola,aisee kashindwa hata kutumia intellegensia za kike? Mume ni tatizo lakini mke ndo tatizo zaidi.
 
....kwenda ukweni kunahitaji appointment na sio kujiendea tu ovyo ovyo. Haya mambo lazima yapangwe na sio kukurupuka katikati ya safari ndo mnaambiana mpitie kusalimia wazazi. Hata hivyo, kama mnaenda kijijini mke ana hali ya kwenda kusalimia kwao, kwa siku mtakazokubaliana na sio kujiamulia kwenda mda anaotaka na kukaa huko mda anaotaka. Penda usipende hizo ndio mila za mwafrika. ......
Tuache kujeneralizi maana tuna tamaduni tofauti. Mfano Wachagga lazima mwanaume uende kufanya kazi zote ngumu kwa wakwe kama kuchuma kahawa, kutengeneza mbege n.k. Uchaggani kuna kitu inaitwa 'komba kyaru' ... hii inahalalisha kuwa ukioa wewe ni wa kugidwa tu. Ukienda kwa wakwe unawanunulia chakula, pombe n.k. Wakwe wakija kwako hivyohivyo unaendelea kugidwa mpaka basi. Makabila mengine ukimtembelea anakukrimu naye akija kwako nawe unalipa fadhila kama Idd Amin alivyomweleza Malkia kuwa akimtembelea ata Revenge!!!!! Wachagga ni contrary na Wasukuma au makabila ya kanda ya ziwa, ambapo mwanaume aliyeoa katika familia (Mkwe) huwa anaheshimika sana na hawezi kufanyishwa kazi. VIP wa familia ni yule aliyeoa katika familia husika, na maana ya VIP ni kula cream. Vile vile huku kwetu (kusini) kuna makabila na langu pia, wanaume tunatumiaka. Mwanaume ukioa unahama nyumbani kwenu unahamia ukweni (tofauti na makabila mengi ya kaskazini). Ukioa wewe ni kama mpagazi wa familia ya mke wako. Baba Mkwe anakutuma kutafuta kuni na anakupa sehemu ya kujenga unaishi na mkeo. Ndo maana hata ubini wetu ni wa mama si baba. Mkitengana unaondoka na vinguo vyako. Ukiwa na bahati UNAOA tena=unahamia kwa mke mwingine aliyeachika akajengewa mji na aliyetangulia. Huu sio UMARIOO ila ni mila na desturi zetu tunazozipenda kama zenu mnavyozipenda.

Kwa mantiki hiyo tukijadiliana lazima tukumbuke kuwa hatuna mila zinazofanana katika nchi hii hivyo ukijeneralize kwa Afrika nzima ni hatari zaidi. Tuzungumzie experience yetu tu.Karibu Njinjo
 
Wewe ndio ume dig deeper...
Inawezekana wanaume wanakimbia kwenda kwa wakwe sababu ya kukimbia majukumu...
Hapo sawa...
Kwa hiyo inategemea ntu na ntu; kabila na kabila...

Kwetu (kijijini) mkwe anachinjiwa kuku; mkwe anaheshimiwa...sasa unaweza usiende sababu unahofia kusababisha inconvenience ...
Lakini wakijua kuwa huko town afu umepitiliza huwezi kueleweka hata unyooshe maelezo kiasi gani...

Hakuna kitu kama mila za mwafrika...kila kabila lina taratibu zake, na hapa Tz tu tuna makabila yasiyo na idadi...

Tuache kujeneralizi maana tuna tamaduni tofauti. Mfano Wachagga lazima mwanaume uende kufanya kazi zote ngumu kwa wakwe kama kuchuma kahawa, kutengeneza mbege n.k. Uchaggani kuna kitu inaitwa 'komba kyaru' ... hii inahalalisha kuwa ukioa wewe ni wa kugidwa tu. Ukienda kwa wakwe unawanunulia chakula, pombe n.k. Wakwe wakija kwako hivyohivyo unaendelea kugidwa mpaka basi. Makabila mengine ukimtembelea anakukrimu naye akija kwako nawe unalipa fadhila kama Idd Amin alivyomweleza Malkia kuwa akimtembelea ata Revenge!!!!! Wachagga ni contrary na Wasukuma au makabila ya kanda ya ziwa, ambapo mwanaume aliyeoa katika familia (Mkwe) huwa anaheshimika sana na hawezi kufanyishwa kazi. VIP wa familia ni yule aliyeoa katika familia husika, na maana ya VIP ni kula cream. Vile vile huku kwetu (kusini) kuna makabila na langu pia, wanaume tunatumiaka. Mwanaume ukioa unahama nyumbani kwenu unahamia ukweni (tofauti na makabila mengi ya kaskazini). Ukioa wewe ni kama mpagazi wa familia ya mke wako. Baba Mkwe anakutuma kutafuta kuni na anakupa sehemu ya kujenga unaishi na mkeo. Ndo maana hata ubini wetu ni wa mama si baba. Mkitengana unaondoka na vinguo vyako. Ukiwa na bahati UNAOA tena=unahamia kwa mke mwingine aliyeachika akajengewa mji na aliyetangulia. Huu sio UMARIOO ila ni mila na desturi zetu tunazozipenda kama zenu mnavyozipenda.

Kwa mantiki hiyo tukijadiliana lazima tukumbuke kuwa hatuna mila zinazofanana katika nchi hii hivyo ukijeneralize kwa Afrika nzima ni hatari zaidi. Tuzungumzie experience yetu tu.Karibu Njinjo
 
Kwangu mimi kabla ya safari lazima tupange kabisa na bajeti husika kwa kila sehemu tunakubaliana kabisa kabla ya safari, Kilimanjaro na Arusha si mbali,najua Kilimanjaro ndo tutaspend zaidi lakini siku mbili tatu Arusha ni lazima. Ni swala tu la kupanga kama wapenzi na kukubaliana,ububu huo wa bidada kwenye ndoa hautakiwi kabisa,
Umeongea point. Hata hivyo nashindwa kuelewa mtaendaje ukweni bila kuwa na bajeti, hambebi hata vizawadi? Nadhani Kuna watu wanaishi Tu bila mipango, coz kama kungekuwa na mipango ni lazima mkienda Kilimanjaro iwekwe bajeti ya kupita hadi arusha. Zote ni familia zenu kwa hiyo zinahitaji kutengewa bajeti.
Wanaume hawa wakiona hujali basi yeye ndo anakuwa hajali mara 3 yako,lakini ukimpa msimamo toka mwanzo atakuelewa,mi nashangaa kuna watu wana miaka hata 10 eti hajaenda kwao kisa mume anatia ngumu. Kuna mambo toka mwanzo uonyeshe uko strict. Wanawake tuna nafasi kubwa sana ya kuwafanya waume zetu wawe mbali kabisa na familia zetu tulizotoka au kuwafanya wawe karibu.
Hutakiwi kuweka misimamo, mnatakiwa kushauriana. Hii misimamo mnayokuwa nayo ndio mwisho wake kila mtu anataka kuonyesha ubabe kuwa yeye ndio mwenye sauti na nguvu ndani ya nyumba. Shaurianeni wanandoa...!
 
Umeongea point. Hata hivyo nashindwa kuelewa mtaendaje ukweni bila kuwa na bajeti, hambebi hata vizawadi? Nadhani Kuna watu wanaishi Tu bila mipango, coz kama kungekuwa na mipango ni lazima mkienda Kilimanjaro iwekwe bajeti ya kupita hadi arusha. Zote ni familia zenu kwa hiyo zinahitaji kutengewa bajeti.

Hutakiwi kuweka misimamo, mnatakiwa kushauriana. Hii misimamo mnayokuwa nayo ndio mwisho wake kila mtu anataka kuonyesha ubabe kuwa yeye ndio mwenye sauti na nguvu ndani ya nyumba. Shaurianeni wanandoa...!

Msimamo ninaousemea hapa si ule wa kibabe kwamba ni lazima lazima,ni ule msimamo wa ndani yaani hapa nina maana kwamba toka mwanzo mwanamke aonyeshe kwamba hata kwao ni muhimu kutembelewa,Wakati mume ana suggest safari ya kwenda kwao na yeye pia kama ni njia moja aonyeshe hata kwao ni muhimu kwenda,kifupi asifiche ile haiba yake.

Kama ni barabara tofauti basi safari hii tunaenda kwenu safari ijayo tunaenda kwetu,hii itamjenga hata mume wake aone kwamba kotekote ni lazima,lakini akishindwa kujionyesha toka mwanzo matokeo yake ndo hayo,unakuta mwanamke huyo yupo yupo tu haeleweki haonyeshi hata kama anajali kwamba kwao nao ni muhimu.
 
..inaonyesha jamaa alilipishwa mahari kubwa xn ndo maana nae anafanya hvo kukomoa!!
 
Na ndio point...hutakaa ulalame kwenye mitandao ya jamii...
Mume anatakiwa ajue msimamo wako...
Kuwa wewe ni partner, kukuoa aina maana amekununua na kukuamulia kila kitu kama mtoto au mtumwa...
Yani hakuna tofauti na anavyowa treat watoto wenu...mwisho wa siku na watoto wanamdharau mama yao...kwani hawaoni kuwa wako same level?

Nshawai sikia watoto wanamwambia mama yao...'subiri baba arudi toka kazini tukusemee'....
yani kiboko ya mama ni baba...

Mijianaume mingine bwana... mkiwekewa sumu ya panya kwenye chakula mnashangaa kumbe mwanamke ana a lot of grievances wewe hujui. Unajifanya kichwa huku shingo ndo inayokufanyia kila kitu na ukirudi home unapiga kelele keta huo msosi... kudadadeki utakula ugali ulooshewa maji ya naniliu mtu anakucheki tu. Wee si kichwa bwana unaamua utakavyo...
 
..inaonyesha jamaa alilipishwa mahari kubwa xn ndo maana nae anafanya hvo kukomoa!!
 
Na ndio point...hutakaa ulalame kwenye mitandao ya jamii...
Mume anatakiwa ajue msimamo wako...
Kuwa wewe ni partner, kukuoa aina maana amekununua na kukuamulia kila kitu kama mtoto au mtumwa...
Yani hakuna tofauti na anavyowa treat watoto wenu...mwisho wa siku na watoto wanamdharau mama yao...kwani hawaoni kuwa wako same level?

Nshawai sikia watoto wanamwambia mama yao...'subiri baba arudi toka kazini tukusemee'....
yani kiboko ya mama ni baba...

Hahahaha!!! Umeniacha hoi eti ngoja baba aje tukusemee!! Halafu hii kitu mbaya sana ya kufokeana mbele ya watoto na unakuta watoto hao mama yao akifokewa kazi kukonyezana na kuminyana miguu. Jamani kuna ndoa nyingine hata maana ya mke na mume hakuna kabisa
 
Nakushukuru sana, hivyo naanza kupata mwanga na ugeni wangu. Ukipata muda soma hii comment yangu (BOFYA) ikifuatia (BOFYA) utaona ni nini hasa kilikuwa kinaniumiza. Nakutakia Jumapili njema na mapumziko mema tukikumbuka kuwa mila na desturi za makabila zina maana yake ila kwa upande mmoja huumiiza upande wa pili ingawa kwa ujumla wake ngoma huwa droo. Hapa Njinjo joto ni kali

Mkuu nimesoma comment yako... Hao wanaodhalilishana na watu wasio na busara... Sisi tunafahamiana na hakuna mtu anayemdhalilisha/aliyewahi kumdhalilisha mwenzake make ni watu wazima na heshima zetu, hivyo tunaheshimiana...
 
Tatizo mama wakwe wengine cyo hasa tabia za kuwapeleka binti zao kwa waganga, kwa kigezo eti adumu na mumewe; kwa kumtolea mfano c unaniona mm na baba yao?
 
Hivi babu unachezeiya wanaume walivyo wababe, yaan mwanamke afike ukweni halafu aondoke kwenda kwao bila kupewa ruksa ukizingatia ni vijiji tofauti???

Hapo si unataka timbwili? Imagine ingelikuwa ni wewe mmesafiri na Mama Manka kwenda Kibosho, mlipofika anaondoka kwenda kwao Machame bila ruksa yako, ungelikubali tu???
Aisee tumetofautiana sana.......... mi bibi yenu huwa haniombi ruhusa bali ananipa taarifa ya anapokwenda. Baaas.
 
Kama mwanamke analijua hilo na ndiye mume aliyemchagua na kuridhika naye....nahisi mjadala unaishia hapa kama alivyosema mzee mwenzangu Asprin!
Mzee mwenzangu, ndoa za siku hizi hata kwenda kutembelea wazazi mke anasubiri apangiwe ratiba na mumewe......

Maajabu!!

Na huyo mwanaume asiye na adabu, kweli unaweza pita kwa wakwe zako pasi hata kwenda kuwajulia hali???

Eti charminglady ndio maana ulisema hutaki habari ya kuolewa eh??
 
Last edited by a moderator:
Mijianaume mingine bwana... mkiwekewa sumu ya panya kwenye chakula mnashangaa kumbe mwanamke ana a lot of grievances wewe hujui Unajifanya kichwa huku shingo ndo inayokufanyia kila kitu na ukirudi home unapiga kelele keta huo msosi... kudadadeki utakula ugali ulooshewa maji ya naniliu mtu anakucheki tu. Wee si kichwa bwana unaamua utakavyo...
Mmh 64Bits...
Is there anything you wanna share with jf family?
 
Last edited by a moderator:
Haleluùuuiyaaaaaaaaaaas

Kwa nini mke hakusuggest Wakati wa kurudi wapite kusalimia????

Ingawa hapa mie sijui kwa nini napata picha ya mume mbabe na mfilisi wa mawazo

Wote wawili mke na mume ni muflisi wa mawazo na akili. Period!!!
 
Back
Top Bottom