Je hii ni sahihi kwa Wanandoa hasa wanaume?

Je hii ni sahihi kwa Wanandoa hasa wanaume?

pamoja nakwamba bado sijaingia huko ila huo ni unyama mkubwa yani ameshindwa kujua kua wale nao nisawa na wazaziwake?kama ameshindwa kuwaonatu anaweza kweli kuwakumbuka kwa chochote kitu?hii ni hatariiiiiii mwambie huyo dada hapo hana mume ajiandae kuweka mabegi yake sawa ipo siku kitanuka
 
Hiyo ni maana ambayo haijakamilika...

Mwanamke anapoamua kuolewa maana yake ni kwamba anakubali kuhamishwa kutoka milki moja kwenda milki nyingine...

Gharama ya uhamisho huu huambatana na malipo ya mahari na kwa makabila au jamii nyingi hufanyika sherehe ya kumuaga binti...

Pia kwa tafsiri nyingine ni kwamba mwanamke anapoolewa baba wa mwanamke huwa anauza madaraka yake na kumkabidhi mwanaume anayeoa, na ndio maana wakati wa tukio la ndoa baba humtembeza bintiye na kumkabidhi mwanaume mbele ya kadamnasi...

Sasa mila nyingi za kiafrika zipo hivi, mwanamke akishaolewa hana ruksa ya kurudi kwa wazazi wake isipokuwa awe amepewa kibali maalumu kinachoambatana na taarifa kabla...

Pia mwanaume hapaswi kwenda ukweni pasipo taarifa yoyote rasmi kwa wakwe zake...

Mimi ninachoona hapa ni huyo dada kutokuongea mapema na mume wake ili safari zote mbili zipangwe kwa kufuata protokali...

bado sijakubaliana na wewe .plan nikwenda kijijini kula sikukuu na wazazi.sasa yote hayo sikwamba huko mjin walishindwa kusherehekea ila waliona ni vema na wazazi na wakafurahi kusherehekea na watoto wao.swali inamaana hichp kimahar ulicholipa ndo kimeondoa kabisa uthamani kwa wakwe zako?na mkeo inamaana wazazi wake hawaana maana tena wenye maana ni wazazi wako? dada zangu ukimuona mumeo hawapend wazazi wako shituka hakuna ndoa hapo
 
Hata mi ndio nashangaa simalizi...
Wanaume wengi ninaowajua yani hapo bila hata kuombwa break ya kwanza ingekuwa ukweni ukizingatia ni njia hiyo hiyo...

Huyu sijui mwanaume wa aina gani...wenzake wana invest kwenye relationship na wakwe zao ili kikinuka wana wa kuwasaidia...
Hata wale jeuri unakuta ni wapole sana kwa wakwe zao...

bado sijakubaliana na wewe .plan nikwenda kijijini kula sikukuu na wazazi.sasa yote hayo sikwamba huko mjin walishindwa kusherehekea ila waliona ni vema na wazazi na wakafurahi kusherehekea na watoto wao.swali inamaana hichp kimahar ulicholipa ndo kimeondoa kabisa uthamani kwa wakwe zako?na mkeo inamaana wazazi wake hawaana maana tena wenye maana ni wazazi wako? dada zangu ukimuona mumeo hawapend wazazi wako shituka hakuna ndoa hapo
 
Kwa namna hiki kisa kilivyosimuliwa mimi sioni kama kuna kosa lolote...

Msimuliaji hajaonesha hata mahali pamoja kuwa wanandoa hao walipanga safari ya kwenda kwa wazazi wa binti...

Watu8 social life haliko serioua kiasi hicho, unless useme kuna kitu au ratiba ya muhimu inawasubiri hivyo mnaiwahi.
 
Huyo mwanaume ni mbinafsi tu na si muungwana.... inawezekana hana hata heshima kwa wakweze au mkewe
mwanaume ana heshima sana kwa wakweze, tena ana busara sana kutokwenda bila taarifa. Siwezi kwenda kuwasalimia wakwe zangu bila taarifa. Ukweni sio sehemu ya kwenda ovyo, ndio maana hata Baadhi ya makabila hata kulala ukweni sio ruksa.
Mwenye kosa ni mke ambaye hakufanya maongezi na mumewe kuwa watoe taarifa ukweni kuwa watapitia. Kumbuka yule KAOLEWA...kiafrika kuolewa ni kutoka milki ya wazazi na kwenda milki nyingine.
Ila mume umleavyo ndivyo atakavyokutreat...
Kwa hili mnaona mna haki Sana lakini mnasahau maana ya kuolewa.
 
Hiyo ni maana ambayo haijakamilika...

Mwanamke anapoamua kuolewa maana yake ni kwamba anakubali kuhamishwa kutoka milki moja kwenda milki nyingine...

Gharama ya uhamisho huu huambatana na malipo ya mahari na kwa makabila au jamii nyingi hufanyika sherehe ya kumuaga binti...

Pia kwa tafsiri nyingine ni kwamba mwanamke anapoolewa baba wa mwanamke huwa anauza madaraka yake na kumkabidhi mwanaume anayeoa, na ndio maana wakati wa tukio la ndoa baba humtembeza bintiye na kumkabidhi mwanaume mbele ya kadamnasi...

Sasa mila nyingi za kiafrika zipo hivi, mwanamke akishaolewa hana ruksa ya kurudi kwa wazazi wake isipokuwa awe amepewa kibali maalumu kinachoambatana na taarifa kabla...

Pia mwanaume hapaswi kwenda ukweni pasipo taarifa yoyote rasmi kwa wakwe zake...

Mimi ninachoona hapa ni huyo dada kutokuongea mapema na mume wake ili safari zote mbili zipangwe kwa kufuata protokali...
Absolutely..
 
Habari za weekend wadau wa jukwaa hili...

Kuna dada mmoja alikuwa anatusimulia baadhi ya maisha yake ya ndoa. Moja kati ya mambo yaliyonigusa ni hili...

"Sitaki kuamini kama nilipitishwa nyumbani kwetu kama kituo cha polisi"

Ilikuwa ni nyakati za sikukuu za mwisho wa mwaka, familia ile ilifunga safari kwenda Kijijini kwao nwanaume kama ilivyo ada kwa makabila fulani.

Ukitaka kufika kijijini kwao na yule mume ilikuwa lazima upite kijiji cha na yule dada, basi safari ikaanza toka Mjini, haoooo wakafika Kijijini kwao na yule dada. Basi mdada akafikiri huenda wanaweza kupita hata kwa dakika chache wakaisalimia familia ya yule dada.

Thubutuuuu... Mume alinyoosha mguu wakapitiliza mpaka kwao, mdada kwa busara akafikiri huenda wangelipita wakati wa kurudi, holaaaa!!! Kama kawaida mume akanyoosha mguu...

Mwisho wa siku mdada akamtolea uvivu na kumuuliza kulikoni hata asipite kuwasalimu wazazi, ndugu na jamaa hata kwa muda mfupi?? Yule mume akamjibu MIMI NDIYE MWENYE MAMLAKA YA KUAMUA KUKUBALI AMA KUKATAA uende ama usiende kwenu kusalimia. Labda tu kuwe na jambo la muhimu.

SWALI KWENU WANANDOA. Je alichokifanya ni haki?

Mzee Mtambuzi, Babu Dark City, Babu Asprin, watu8, kabanga, EMT na wanandoa wanaume, je hivi ndivyo mnavyowa treat wake zenu???

Dada mkubwa AshaDii, gfsonwin, cacico, BADILI TABIA, Fixed Point, snowhite, mrsleo na wanandoa wanawake je ukifanyiwa hivi utachukua hatua gani??

Karibuni kwa mjadala....
Hakuna cha kujadili hapa....

Jibu ni moja tu alichokifanya mwanaume si sahihi. Na huyo mwanamke baada ya kufika alifungwa miguu akashindwa kwenda kusalimia kwao baada ya kufika kwa wakwe zake?? Au walifika siku hiyohiyo na kugeuza??
 
Hiyo ni maana ambayo haijakamilika...

Mwanamke anapoamua kuolewa maana yake ni kwamba anakubali kuhamishwa kutoka milki moja kwenda milki nyingine...

Gharama ya uhamisho huu huambatana na malipo ya mahari na kwa makabila au jamii nyingi hufanyika sherehe ya kumuaga binti...

Pia kwa tafsiri nyingine ni kwamba mwanamke anapoolewa baba wa mwanamke huwa anauza madaraka yake na kumkabidhi mwanaume anayeoa, na ndio maana wakati wa tukio la ndoa baba humtembeza bintiye na kumkabidhi mwanaume mbele ya kadamnasi...

Sasa mila nyingi za kiafrika zipo hivi, mwanamke akishaolewa hana ruksa ya kurudi kwa wazazi wake isipokuwa awe amepewa kibali maalumu kinachoambatana na taarifa kabla...

Pia mwanaume hapaswi kwenda ukweni pasipo taarifa yoyote rasmi kwa wakwe zake...

Mimi ninachoona hapa ni huyo dada kutokuongea mapema na mume wake ili safari zote mbili zipangwe kwa kufuata protokali...

Agreed !
 
Hakuna cha kujadili hapa....

Jibu ni moja tu alichokifanya mwanaume si sahihi. Na huyo mwanamke baada ya kufika alifungwa miguu akashindwa kwenda kusalimia kwao baada ya kufika kwa wakwe zake?? Au walifika siku hiyohiyo na kugeuza??

Hivi unadhani wanawake wote hawana discipline kama wewe? Yaani uende tu...
 
Mbona katika maandishi yako hapo juu haioneshi hivyo?

Kwa namna ulivyoandika hapo juu haya ndio yalikuwa matamshi ya mume...

Sasa hebu nikuulize, je si kweli kuwa mume ndiye mwenye mamlaka ya kukubali au kukataa....?

Daddy ake mimi, sasa naanza kukuelewa.

IMO hata katika mahusiano ya uchumba kuna kitu kinaitwa MAKUBALIANO, wenzi wanapaswa kukubaliana mipangilio ya safari yeyote ile mwanzoni kabisa kabla ya safari kuanza, kwamba tutapita kwa fulani na fulani na fulani hata kama ni outings za kawaida, tutakwenda sehemu fulanona fulan basi. Hii inasaidia kuepuka conflict of interests....

Mfano: Mnatoka kwenda kumtembelea Mr & Mrs X. Lakini kabla ya kufika huko lazima mtapita kwenye nyumba ya Mr & Mrs Y. Hapo mmoja anaweza akaonesha enterest ya kutaka kupita walau kwa dakika chache kumsabahi Mr& Mrs Y. Swali litakuja je tulikuwa na ratiba ya kupita kwao? Je wao wana taarifa ya ujio wetu????

The same applies hata katika mahuasiano ya kabla ya ndoa. Si kwamba kwa vile mna safari ya kwenda point B ndio mvamie ghafla point A bila taarifa...
 
Hakuna cha kujadili hapa....

Jibu ni moja tu alichokifanya mwanaume si sahihi. Na huyo mwanamke baada ya kufika alifungwa miguu akashindwa kwenda kusalimia kwao baada ya kufika kwa wakwe zake?? Au walifika siku hiyohiyo na kugeuza??

Hivi babu unachezeiya wanaume walivyo wababe, yaan mwanamke afike ukweni halafu aondoke kwenda kwao bila kupewa ruksa ukizingatia ni vijiji tofauti???

Hapo si unataka timbwili? Imagine ingelikuwa ni wewe mmesafiri na Mama Manka kwenda Kibosho, mlipofika anaondoka kwenda kwao Machame bila ruksa yako, ungelikubali tu???
 
Umejuaje wakati humu hatufahamiani?

Mkuu wewe changia mada iliyo mezani, usitake kufahamu kilicho nyuma ya pazia.

Hapa natumia simu na siwezi kiona join date yako, nahisi wewe ni mgeni hapa jukwaa...

Hivyo basi jikite kwenye mada tu, the rest yaache kama yalivyo!
 
Naona nimekukwaza hivyo naomba msamaha. It was a matter of curiosity on my side. Kweli mie ni mgeni na kwa kusaidia nilijiunga JF 28th April 2013. Karibu Njinjo
 
Naona nimekukwaza hivyo naomba msamaha. It was a matter of curiosity on my side. Kweli mie ni mgeni na kwa kusaidia nilijiunga JF 28th April 2013. Karibu Njinjo

Wala hujanikwaza mkuu nakuelewesha tu, FYI wengi wetu tunafahamiana....
 
Kutakua na kitu katika ambacho mdada kashwindwa kuku hadithia baina ya family hizi mbili family ya upande wa mwanamke kunajaambo hambalo watakua wamemkosea jamaa wa kiume ndo mana anaona akuna haya ya kupita ukweni hii ndo sahihi
 
Wala hujanikwaza mkuu nakuelewesha tu, FYI wengi wetu tunafahamiana....
Nakushukuru sana, hivyo naanza kupata mwanga na ugeni wangu. Ukipata muda soma hii comment yangu (BOFYA) ikifuatia (BOFYA) utaona ni nini hasa kilikuwa kinaniumiza. Nakutakia Jumapili njema na mapumziko mema tukikumbuka kuwa mila na desturi za makabila zina maana yake ila kwa upande mmoja huumiiza upande wa pili ingawa kwa ujumla wake ngoma huwa droo. Hapa Njinjo joto ni kali
 
Back
Top Bottom