Bila msimamo ndani ya ndoa yatakukuta kama hayo ya kupitishwa kwenu kama kituo cha polisi
Msimamo ni muhimu, ila pale uliposema mme wako "hathubutu" ndo pamenishtua. Labda kama wewe umemtawala mme wako! Mkiwa na maelewano mambo ya hathubutu, au kama kitu sitaki sitaki...hayatakwepo!