Daddy ake mimi, sasa naanza kukuelewa.
Watu8 social life haliko serioua kiasi hicho, unless useme kuna kitu au ratiba ya muhimu inawasubiri hivyo mnaiwahi.
Moja kati ya vitu vinavyonifanya kujivunia ukurya wangu ni pamoja na hili,maamuzi yote ya kiume,yenye msimamo usiotetereka...huwa yanahusishwa na kabila langu....#proud for being Kuryan!
Umeongea nilichofikiri pia. Mila zetu haziruhusu kwenda ukweni ovyo, na maana hasa ya kutoa mahari ni kusema asante na kuhamisha milki ya yule binti, toka kwa baba yake na kuja kwajo. Kwa hiyo haruhusiwi kwenda kwao "ovyo" na mumewe ndio kabisa. Haruhusiwi kabisa kwenda kama vile anampitia jiraniye kwenda kunywa beer.kati ya wanaume ambao wanaweza kuwa role modal wangu huenda ni huyo...
1. mwanamke akishaolewa anatakiwa kupaona kwao kama ugenini au kwa jirani na sio kwao tena... kwenda kwenda kwa watu bila sababu za msingi ni umbea..
2. wakwe ni miongoni mwa sehemu za kuheshimiwa sana... sio kuvamia tu.. kwa kabila langu mie ukienda kusalimia kwa wakwe bila taarifa unatozwa.. ukitaka kwenda kwa wakwe toa taarifa hata mwezi kabla ili wakuandalie hata mbuzi au ng'ombe uchinjiwe..
wanaamini mkwe wao (mwanaume aliemuoa binti yao) kwenda kusalimia na kupewa ugali wa mchicha ni kama kumdhalilisha mwanaume aliekabidhiwa majukumu ya kumlea mwanamke mwenye umri wa zaidi ya miaka20..
BTW; Wanawake mshajiwekea inferiority complex.. kila anachofanya mwanaume mnaona kama mnaonewa bila kujua side effect zake.. NA SIO LAZIMA KILA KITU UAMBIWE AU KIKUUMIZE..
bado sijakubaliana na wewe .plan nikwenda kijijini kula sikukuu na wazazi.sasa yote hayo sikwamba huko mjin walishindwa kusherehekea ila waliona ni vema na wazazi na wakafurahi kusherehekea na watoto wao.
swali inamaana hichp kimahar ulicholipa ndo kimeondoa kabisa uthamani kwa wakwe zako?
na mkeo inamaana wazazi wake hawaana maana tena wenye maana ni wazazi wako?
dada zangu ukimuona mumeo hawapend wazazi wako shituka hakuna ndoa hapo
na nyie mnaoomba kutajwa tajwa anzisheni topic zenu mjitaje.. another type of inferiority complex.. usipotajwa mawazo ya kuchangia yanapeperuka?
Kutakua na kitu katika ambacho mdada kashwindwa kuku hadithia baina ya family hizi mbili family ya upande wa mwanamke kunajaambo hambalo watakua wamemkosea jamaa wa kiume ndo mana anaona akuna haya ya kupita ukweni hii ndo sahihi
mnyepe, umeoa? How often do you go to your in-laws??
Mkuu hiki ulichokiandika hapa sidhani kama kina umuhimu wowote....
Mkuu hiki ulichokiandika hapa sidhani kama kina umuhimu wowote....
nimewapa tu tahadhari mkuu.. kuna watu nimeona wanalalamika kisa mtoa mada kuwamention baadhi ya members...
na nyie mnaoomba kutajwa tajwa anzisheni topic zenu mjitaje.. another type of inferiority complex.. usipotajwa mawazo ya kuchangia yanapeperuka?
Waliotoa malalamiko walimlenga mleta mada kuwa biased kwa kutaja wanajamvi wachache na mwenyewe tayari kalitolea ufafanuzi...
Lakini post yako haijamlenga mleta mada bali imewalenga waliotajwa, na mimi nijuavyo sisi tuliotajwa ID zetu hazipo hapo juu kwa utashi na matakwa yetu...
Lakini wewe umeanza kuwashambulia watu ambao hata hawakuwa aware kama watakuwa mentioned kwenye uzi fulani na mtu fulani na wala hawajaomba kuwa mentioned, imetokea tu!!!
Sasa sijui huo u-inferiority complex unatukuta vipi?
Hebu yasome tena maandishi yako...na matumizi ya nafsi ya tatu wingi
CC: Daudimtwale