Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

MSHANA NAKUALIKA TENA KWENYE MJADALA. UMEKAA KIMYA SANA NIKUELEWEJE? KARIBU NDUGU YANGU TUELEWESHANE.
Tukikubaliana kutumia lugha zenye staha na kuepusha majigambo tutaendelea, niambie tulipoishia
 
Binadamu wa kwanza alitokea Africa ndio akasambaa duniani kote hii imethibitika kwa Archaeological findings. Hizo zingine ni hadithi kwa ajili ya watoto tu.
Hili la binadamu wa kwanza kuanzia Tanzania si la uhakika sana kwa sababu zifuatazo. Kwanza inawezekana kuna mafuvu mengine aidha yapo chini sana bado hayajaonekana au yaliyeyuka kutokana na sababu mbali mbali. Pili inawezaka teknolojia ya sasa imeishia hapo, inawezekana baadae teknologia ikikuwa zaidi wanaweza gundua tofauti. La tatu utafiti bado unaendelea.
 
Mshana Jr, Nani anayo original Bible? Ni mjadala mkubwa sana. Maana Bible ina Version nyingi sana. Kwanini Kuna Version katika hiki kitabu? we must be curious. kwa sababu, kama huna original bible, je unaoisoma ni halali? na kama sii halali, basi hoja katika thread hii haiwezi kuwa halali kwa wanaofahamu? Je wewe na mimi tunasoma biblia gani? kama tunasoma tofauti, hatuwezi jenga hoja kwa kuwa nakala zimetofautiana, hivyo kuweza kutofautiana hata kwa habari zenyewe.

Nakushauri, tafuta KING JAMES VERSION 1611 A.D or Jerusalem Bible ili wewe na mimi tuanzishe mjadala huu kwa vigezo ya references.
Maana hio mito katika bustani unayoionyesha katika ramani zako, zina utofauti na historia halisi ya biblia hata kwa majina pia.
Hivyo naomba tusome sote halafu tuijadili hii maada kwa kina kwa faida ya wote kaka.
Bible! Kitabu cha mungu kina hati miliki huh!!
 
Mi nakubali dunia ilianzi huko...Adam ndiye binadamu wa kwanza kuexist....Biblia inasema alibarikiwa watoto wengi wa kike na wa kiume,ambao probably walioana ili kuijaza dunia..wakasambaa katika uso wa dunia,Historia ikaenda mpaka kwa Nuhu,ambaye alipata watoto wa 3,Mmoja wa watoto ni baba wa wa kushi(Ethiopia na maeneo mengine ya Africa..laana aliyopewa na baba yake ilipelekea kuzaa mtoto mweusi,Shem alibaki huko huko na ndio baba wa watu wa Asia..wakati Japhet ni baba wa wazungu
kwa mujibu wa biblia kuanzia kizazi cha adam mpaka leo haizidi miaka 6000 lakini katika hali halisi dunia ina miaka zaidi ya milioni,miaka 6000 haitoshi kuifanya dunia kuwa na watu race mbalimbali kama waafrika wahindi,wazungu,waarabu nk kama sote tumetokana naa adam evolution imefanyika lini
 
Hili la binadamu wa kwanza kuanzia Tanzania si la uhakika sana kwa sababu zifuatazo. Kwanza inawezekana kuna mafuvu mengine aidha yapo chini sana bado hayajaonekana au yaliyeyuka kutokana na sababu mbali mbali. Pili inawezaka teknolojia ya sasa imeishia hapo, inawezekana baadae teknologia ikikuwa zaidi wanaweza gundua tofauti. La tatu utafiti bado unaendelea.
ukweli ni kwamba binadamu wa kanza hawezi kutoka afika mashariki labda ingekuwa misri,afrika mashariki ni makzai ya juzijuzi tu kwa binadamu,we imagine mpaka leo sehemu kubwa yaa afrika masharikini mapori
 
Mkuu, Afrika tumeamua na sisi tuandike historia yetu wenyewe itakayotupendeza. Tunakuomba utuunge mkono mkuu. Kule upande mwingine Mohamed Saidi naye yeye ameshamaliza kuandika historia yake mpya ya Tanganyika na Tanzania anayoitaka yeye na tayari ameshaifundisha sana.
mwafrika huwezi kuandika historia yako wakatiumejua kuandika karne mbili zilizopita,nikikwambia hapo unitajie jinaa laa babu yake na baba yaako huwezi nitajia soma mathayo uone kizazi cha yesu kilivyokuwa traced tangu adam vizazi zaidi ya 42
 
Kuna majamaa fulani hivi nadhani watakua na matatizo tu, wamejifanya kuanza kuandika historia yao wanayoitaka wao.
 
Kuna majamaa fulano hivi nadhani watakua na matatizo tu, wamejifanya kuanza kuandika historia yao wanayoitaka wao.
hahahaha kazi wanayo lazima tukubali kwa waafrika chini ya jangwa la sahara ni kazi sana kupata historia sahihi
 
Mshana, ID yangu ni hio tangu kujiunga na jamii forum. Na sina tabia ya kubadili ID kwavile sifanyi uovu ambao labda utanifanya ni HIDE IDENTITY yangu. Mimi ni MNEPHA nitabakia hivyo tu. Kwahio kuhusu hili la IDs ondoa shaka.

Pia kuhusu ushahidi wa haya tunayojaribu kukumbushana na kuelimishana ni kwamba. Humu JF nimeandika na kujibu sana Thread nyingi na hata nawe tumekutana na kuargue katika thread nyingi tu. ni mekwisha yaeleza mengi mno. Hadi wewe nakumbuka ulinicomment siku moja ukasema nakunuku "ni maneno ya kujipoza tu".

Nimeshaeleza kuhusu Ukweli wa creation account in the bible, Nikalijibu KISAYANSI, KIROHO NA KIHISTORIA na watu wengi waliLIKE sana ile Elimu. Nashangaa tena kaka unaleta mambo kinyume chake. so

First of all, it is vitally important for the us to be able to answer this question, as it relates to defending the fact that all humans are descendants of Adam and Eve; and, secondly, that it is only their descendants that can be saved. Let me go through these two aspects in some detail. Mind that our core discuss about the identity of THE GARDEN OF EDEN with respective attributes.

1. All humans are descendants of Adam and Eve. Do u buy this story?

In Genesis 4:1,2, we read, "And Adam knew Eve his wife: and she conceived, and bare Cain, and said, I have gotten a man from the LORD. and she again bare his brother Abel." And in Genesis 5:3, we read, "And Adam lived a hundred and thirty years, and begat a son in his own likeness, after his image: and called his name Seth."

In other words, we are told certain details about three sons born to Adam and Eve. It is recorded in Genesis 3:20, "And Adam called his wife's name Eve; because she was the mother of all living." Thus all human beings are descendants of the first woman, Eve. There were no other women—just one woman, Eve.

In I Corinthians 15:45, Paul tells us that "the first man Adam was made a living soul." In other words, Adam was the first man—there were no other men at the beginning. And in Acts 17:26, Paul states that the God who made the world "hath made of one blood all nations of men for to dwell on all the face of the earth."

All human beings are related, because they are all descendants of the first man, Adam, and the first woman, Eve.

As marriage in the Bible specifies one man for one woman for life, this means Christians have to be able to explain how Adam and Eve's sons could marry and have children to propagate the human race. Thus we need to be able to answer the question concerning Cain's wife.

One can actually answer this question with just a little Bible knowledge. Genesis 5:4 tells us that Adam and Eve "begat sons and daughters." Josephus, the Jewish historian, states that "The number of Adam's children, as says the old tradition, was thirty-three sons and twenty-three daughters." The point, of course, is that Adam and Eve did have many children.
My curious question is Where did CAIN get his WIFE?.... Were there PRE-ADMITES or He married his Own SISTER?
Kwa zaman ilikuwa iruhusiwa kuoana ndugu kwa ndugu so I thought alimuoa dada yake #mnepha
 
Bible! Kitabu cha mungu kina hati miliki huh!!

Biblia sio kitabu cha Mungu. Bublia ni mkusanyiko wa vitabu mbalimbali, kutoka sehemu mbalimbali na vimeandikwa na WATU mbalimbali kwa ajili ya kuweka kumbukumbu ya historia ya jamii fulani, kuhusu tamaduni, mila na desturi zao, sheria zao, imani zao na utabiri wa hatima ya maisha yao.
 
Kwa zaman ilikuwa iruhusiwa kuoana ndugu kwa ndugu so I thought alimuoa dada yake #mnepha

Sio Tamaduni ya Zamani, hadi leo, desturi hii ingali hai bado. Isipokuwa lazima tuelewe simulizi liliwahusu nani na baadae je huo dada yake alikuwa katika simulizi, ama hisia na tafsiri yako?
Maana ya ADAMU (ADAMAH, ADAMA, ADAM) KWA KIEBRANIA MAANA YAKE NINI? Usiongele tafsiri za wana Theolojia wanawahada watu. Just "Dig (Dive) Deeper on Etymology of the word Adamah in Hebrew" na ilivyotumika kwenye original hebrew text on account of creation......
halafu njoo tujadili hapa ndg.
 
sio tamaduni ya zamani hadi leo hi desturi ipo. isipokuwa lazima tuelewe simulizi liliwahusu nani na baadae je huo dada yake alikuwa katika simulizi, ama hisia na tafsiri yako?
Maana ya ADAMU (ADAMAH, ADAMAH) KWA KIEBRANIA MAANA YAKE NINI? Usiongele tafsiri za wana Theologists wanawahada watu. Just dig deeper on Etymology of the word adamah in hebrew na ilivyotumika kwenye original hebrew text on account of creation......
halafu njoo tujadili hapa ndg.
Nitarudi sio mda
 
Asante kwa mafunuo ila la ulinzi si kweli kuna mahali nimelijibu kule, tuna 24 surveillance ya Mwenyezi Mungu tunaishi kwenye cobweb yake....mengine yote yanayotupata ni ile laana ya asili
Laana ya asili hapa mkuu umeniacha kidogo
 
Mi nakubali dunia ilianzi huko...Adam ndiye binadamu wa kwanza kuexist....Biblia inasema alibarikiwa watoto wengi wa kike na wa kiume,ambao probably walioana ili kuijaza dunia..wakasambaa katika uso wa dunia,Historia ikaenda mpaka kwa Nuhu,ambaye alipata watoto wa 3,Mmoja wa watoto ni baba wa wa kushi(Ethiopia na maeneo mengine ya Africa..laana aliyopewa na baba yake ilipelekea kuzaa mtoto mweusi,Shem alibaki huko huko na ndio baba wa watu wa Asia..wakati Japhet ni baba wa wazungu
Dah kwa hiyo mkuu watu weusi ni laana ??? Hebu fafanua kidogo hili tafadhali
 
Sio Tamaduni ya Zamani, hadi leo, desturi hii ingali hai bado. Isipokuwa lazima tuelewe simulizi liliwahusu nani na baadae je huo dada yake alikuwa katika simulizi, ama hisia na tafsiri yako?
Maana ya ADAMU (ADAMAH, ADAMA, ADAM) KWA KIEBRANIA MAANA YAKE NINI? Usiongele tafsiri za wana Theolojia wanawahada watu. Just "Dig (Dive) Deeper on Etymology of the word Adamah in Hebrew" na ilivyotumika kwenye original hebrew text on account of creation......
halafu njoo tujadili hapa ndg.
Mkuu mnepha una vitu moto sana,
Hebu nihabarishe njia sasa yakufaham uwepo wa mungu na maandiko yake hasa ukizingatia haya ya sasa yana figisu figisu
 
Uzi mzuri sana,nimeupenda!
Ukisoma "Mormon doctrine"_mafundisho ya The church of Jesus Christ of Latter Day Saints .wao wanasema kwamba kulikua na watu pia katika pande zingine za ulimwengu,sawa watu walikua mashariki ya kati but at the same time pia kulikua na watu tena wakiwa na civilization yao.Tatizo ni kwamba hayo maeneo mengine hawakutunza record' yaan hawakuandika vitabu,au waliandika lakini vimepotea.Ndo mana unaona tuna story nyingi za mashariki ya kati sababu waliandika chini leo tuna biblia,tunajua waliishije.
LDS chuch wana kitabu kinaitwa Book Of Mormon,nimekisoma personally na kukitafakari ,ndani yake wanaongelea inhabitants(wakazi) waliokua wanakaa western hemisphere (north america na south america) katika mwaka 600 BC..
 
Back
Top Bottom