Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

Dah kwa hiyo mkuu watu weusi ni laana ??? Hebu fafanua kidogo hili tafadhali
Absolutely,Ngozi nyeusi ni matokeo ya laana,ukisoma katika Mwanzo 9 kuanzia fungu la 22,utaona Hamu ambaye ni baba wa Kanaani aliuona uchi wa baba yake ambaye alikuwa amelewa,kibaya zaidi akaenda kuwaeleza ndugu zake,wao hawakuthubutu kuutizama uchi wa baba yao,baba yao pombe ilipomuisha alijua mwanae mdogo alichomtenda,hivyo akamlaani,,tena akamwambia atakuwa mtumwa wa ndugu zake(No wonder Mpaka leo tunatawaliwa Direct na Indirect)Hili ni tokeo la laana.
 
Sinodi ama baraza la "Yavneh - Jamnia- Jabneh" mwaka 90-100 AD ndio walioandika. Yavneh ulikuwa ni mji wa pili katika historia ya kuondoa mambo ya kweli ya WAUMINI WA KWELI WA YASHUA (YESU). HILI BARAZA NDILO LILILOANDIKA KITABU CHA MWANZO NA PIA KUCOMPILE BIBLE. MAANA NAFAHAMU WAZI KWAMBA BIBLIA NI KITABU CHENYE MKUSANYIKO WA VITABU MBALIMBALI KUTOKA KWA WAANDISHI MBALIMBALI NA KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI.

Kitu muhimu hapa inatakiwa tuelewe kuwa, miaka hii WAISRAELI ASILI NA WAKWELI WALISHAKIMBIA ENEO HILI PALE WARUMI WALIPOVAMIA YERUSALEM MWAKA 70 AD ( Destruction of Temple). UKISOMA MATHAYO 24:15-21 UTAELEWA KUWA YESU ANAWATAHADHALISHA WATU NINI WATATAKIWA KUFANYA WHEN GREAT TRIBULATION WILL ASCEND ON YERUSALEM.

KWAKUWA WAISRAEL WA KWELI (TRUE AND ORIGINAL ISRAELITES) WALIKUWA WAMEKIMBIA MAENEO HAYO YA AFRIKA YA KASKAZINI MASHARIKI, SWALI LA KUJIULIZA HAPA NANI WALIKUWA WAJUMBE WA LILE BARAZA LA YAVNEH (JAMNIA)?

PILI BARAZA LINGINE LA KWANZA NA LA PILI LA NICAEA "NICEA" CHINI YA EMPEROR CONSTANTINO LILIKUWA NA MADHUMUNI YA KUJADILI NATURE OF YESU/YASHUA, KUJADILI KUWEKA SIKU YA PASSOVER (PASAKA) NA MISINGI YA UBATIZO. NA HAPA NDIPO NASADIKI ILIPOZALIWA. BARAZA HILI LILIFANYIKA MWAKA 325 AD NA LA PILI LILIFANYIKA MWAKA 787 AD. NA HAYA MABARAZA YOTE MATATU YALITANGULIWA NA BARAZA LA YERUSALEM LA MWAKA 50 AD.

MJADALA KATIKA BALAZA HILI ULIKUWA MKALI SANA MAANA CONSTANTINO ALIWAALIKA MAASKOFU WOTE. KUMBUKA MAASKOFU WASOMI WENGI MDA HUU WALIKUWA KUTOKA AFRIKA YA KASKAZINI NA MASHARIKI. THE REST BISHOPS WALIKUWA WAJUMBE NDIO KAMA WABUNGE WA CCM NA CONSTANTINO ALIWAHOFIA HAWA MAASKOFU WA KUTOKA AFRIKA MAANA THEY WERE THE ONE WHO KNOW WHO WAS YASHUA AS A HUMAN HASA PADRI ARIUS WA LIBYA NDIE ALIKUWA ANAOGOPEKA KWA MISIMAMO YAKE YA KUSIMAMIA UKWELI UNAOTAKA KUPINDISHWA. MWISHOWE AKAUWAWA MAANA ALIKUWA ANAPINGANKUMFANYA YESU MUNGU.
KWAKUFAHAMU JINSI WAZUNGU WANAVYOWEZA KUKUATAKI KIPROPAGANDA WALIMSHINDWA NA WAKAMUUA
KUMBUKA CONSTANTINO ALIITISHA SINODI HILI KWA SABABU YA NDOTO YAKE. KWAMBA "KUPITIA MSALABA NITATAWALA" THROUGH CROSS I WILL CONQUER.

HAWA MAASKOFU WA AFRIKA WANAJUA KUWA YESU/YASHUA HAKUFA MSALABANI. BALI WALIMNYONGA KWENYE MTI. REJEA THE BOOK OF ACTS SURA YA 10: 32-35. HIVYO DHANA YA MSALABA ILITOKANA NA UBUNIFU WA HUYU COSTANTINO NA AKAENFORCE IWE NDIO HABARI MUHIMU KUWA YASHUA ALIKUFA MSALABANI.

HIVYO UKISOMA VYEMA HISTORIA YA KANISA NA MAFUNDISHO YA UKRISTU YAKUWA NA MSINGI UTOKANAO NA MAANDIKO YA VITABU VYA BIBLIA UTAFAHAMU KUWA MAANDIKO YAMEHARIRIWA NA KUBORESHWA KWA MALENGO YAO MAALUMU HASA YA KUTENGENEZA MISUKULE ISIOWEZA KUHOJI BALI KUPOKEA NA KUAMINI TU.

KUHITINISHA MY PREMISE YA KWANZA KTK MJADALA HUU NI KWAMBA HADITHI ZILIZOPO KWENYE BIBLIA YA LEO ZILIHARIRIWA KATIKA NYAKATI MBALIMBALI KATIKA MAMLAKA MBALIMBALI HIVYO SIO RELIABLE SOURCE YA KUJIABALISHA NA KUABALISHA.

FIGISU FIGISU ZIMEFANYIKA SANA. NDIO MAANA WALIKATAA VITABU VINGINE VISIWEKWE KABISA KWENYE MKUSANYIKO HUO WA VITABU VTA BIBLIA. AMBAKO NDIKO UTAKUTA HADITHI TOFAUTI NA ZILE ZILIZOPO KWENYE BIBLIA YA LEO.

MFANO HADITHI YA NUHU NA WANAWE, HADITHI YA GHARIKA YA DUNIA NA BUSTANI YA EDEN.
SOMENI INJILI YA BARNABAS NA INJILI YA JUDAS ISKARIOTI

The Gospel of Barnabas
Gospel of Judas Gospel of Judas - Google Search
 
toka mwanzo nilihisi una hoja na una kitu unakijua....... lkn kwa haya uliyoyaandika nimegundua HUJUI HATA KIMOJA ....... umeandika uongo mwingi sana hapa kuanzia habar ya kujadili ubatizo mpk msalaba....... enewei nadhan una dhamira yako so siwez kusema neno!
 
Daahh..... Hawa jamaa wa 'NWO' Ya wajenzi mkakati wao ulikuwa madhubuti sana ktk kufuta historia halali ya kuabudu na kutuletea yao ya kishetani..
Tutafakari...
 
toka mwanzo nilihisi una hoja na una kitu unakijua....... lkn kwa haya uliyoyaandika nimegundua HUJUI HATA KIMOJA ....... umeandika uongo mwingi sana hapa kuanzia habar ya kujadili ubatizo mpk msalaba....... enewei nadhan una dhamira yako so siwez kusema neno!

Nashukuru kwamba umejifunza, wafundishe na wanao. Nilifukuzwa Seminary kwa sababu ya kuhoji mamlaka. Sembuse wewe Msukule a.k.a Muumini. Tafuta Maarifa yatakuweka huru
 
Ndg kwa kuwaongezea, watafute vitabu kama 1-2 ESDRAS, Kitabu cha Enoch, kitabu cha Jasher (Yasher), kitabu cha Jubilees. Halafu wasome pia The book of the coming forth day and night by our forefathers and foremothers in Ancient Egyptah
 
Maisha yameanzia mashariki ya kati,,hili halihitaji tume wala Kamati...ila katika Biblia na Ukristo hakujawahi na wala hakutawahi kuwa na mke wa Adam mwenye jina la Lilith.Mke wa Adam ni Eva alietoka kwenye ubavu wa Adam.
 
SOMENI INJILI YA BARNABAS NA INJILI YA JUDAS ISKARIOTI

The Gospel of Barnabas
Gospel of Judas Gospel of Judas - Google Search
Kuijua biblia au kujua mafumbo yake ni kitu ambacho kinapatikana ktk hadithi za kusadikika za waandishi empty spritual na waliofeli kama yuda iskariot na wengine wenye akili ya darasani...Ukitaka kuelewa maneno ya MUNGU ni yeye mwenyewe akufunulie kupitia Holly Spirit au watu wa kweli wenye huyu Roho ndani yao...Only HOLLY SPIRIT...bila huyu ndo sababu hata wakristo wengi wameingia Chaka.Anaongea,,anasisitiza na anakumbusha.Na anafundisha from scratch,,,Mambo ya spirit hasa mafumbo na yasioelezeka yanaeleweka Spiritual kupitia HOLLY SPIRIT.
 
Dunia imeanzia afrika tena afrika mashariki Adam alikuwa mweusi hata ayubu pianalikuwa mweusi..bustan ya eden ilipatikana afrika ndo mana kila.aina ya wanyama wanapatikana afrika..milima na mito wanayoiongelea katika bible ndo hii iliyoko afrika mashariki....ila hawa jamaa weupe wametuzid ujanja wame turn history na kuwa yao....jiulize mpaka leo hii fuvu la mtu wa kale ni lile.lililopatikana olduvai gorge tu hakuna lililopatikana middle east
 
Vipi uwepo wa wenefeli ukisoma mwanzo 6:4 kwamba inaonekana kwamba kulikuepo na watu duniani kabla ya akina adamu pia inaaminika walikua ni majitu makubwa sana
 
Na waliishi zaidi ya miaka 500
 
Dunia imeanzia afrika tena afrika mashariki Adam alikuwa mweusi hata ayubu pianalikuwa mweusi..bustan ya eden ilipatikana afrika ndo mana kila.aina ya wanyama wanapatikana afrika..milima na mito wanayoiongelea katika bible ndo hii iliyoko afrika mashariki....ila hawa jamaa weupe wametuzid ujanja wame turn history na kuwa yao....jiulize mpaka leo hii fuvu la mtu wa kale ni lile.lililopatikana olduvai gorge tu hakuna lililopatikana middle east
Hii kitu inaelekea kuwa na ukweli fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom