Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

How [emoji122] [emoji26] [emoji15] [emoji144]


We need to open our discuss about The Eden been in mesopotamia and not in Africa according to your fake theories.
Remember you promised me. this is a serious one.
 
We need to open our discuss about The Eden been in mesopotamia and not in Africa according to your fake theories.
Remember you promised me. this is a serious one.
According to my FAKE theories! Was is that much important to use such words? Well if that's makes you happy it's alright
BTW I remember the promise so you may start the discussion
 
Swadakta kabisa ila bado itabaki kwamba hawa viumbe jamii mbili zimetoka katika uzao mmoja wa IBRAHIMU!yaani mama zao tu ndo walikuwa tofauti ila wanavyouana utasema sio ndugu

Ndg zangu hao wote sio WAISRAEL, NI WAISRAELIS (FAKE ISRAEL OR IMPOSTERS). HAWA NI WAKAIZARIA KUTOKA ROMANIA, GEORGIA NA AROUND UKRAINE.

PALE WAMEPELEKWA KWA MAPATANO NA NDUGU ZAO WAINGEREZA NA WAMAREKANI. MAANA ULAYA HAWAKUTAKIWA. HAWA NI MACONVERTERS WA IMANI YA KIYUDEA. KWAHIO HAWANA LEGITIMATE NA ILE ARDHI WALA HAWANA LEGITIMATE NA UTAIFA WA MAKABILA 12 YA ISRAEL.
 
According to my FAKE theories! Was is that much important to use such words? Well if that's makes you happy it's alright
BTW I remember the promise so you may start the discussion

Ilikuwa kutaka kufahamu your premises on the discussion. First I just want to know who wrote the book of genesis. Maana hapa ndipo tutaenda sawa kabla ya kujadili contents zilipo kwenye kitabu.
 
Ilikuwa kutaka kufahamu your premises on the discussion. First I just want to know who wrote the book of genesis. Maana hapa ndipo tutaenda sawa kabla ya kujadili contents zilipo kwenye kitabu.
Ni vema ukaandika kile unachokifahamu halafu nikikubali au nikipinge kuliko huu mtindo wa kwenda kwa kuulizana maswali
 
Kwa majina ya maeneo nliowahi kusoma kwenye Biblia sina shaka dunia ilianzia huki,mfano wa maeneo tajwa ni Jerusalem, Israel,Misri,Damascus,bahari ya shamu/Mediterranean Sea ukitaka kuvuka kutoka misri,mto Tigris, nk
 
Ni vema ukaandika kile unachokifahamu halafu nikikubali au nikipinge kuliko huu mtindo wa kwenda kwa kuulizana maswali
Sinodi ama baraza la "Yavneh - Jamnia- Jabneh" mwaka 90-100 AD ndio walioandika. Yavneh ulikuwa ni mji wa pili katika historia ya kuondoa mambo ya kweli ya WAUMINI WA KWELI WA YASHUA (YESU). HILI BARAZA NDILO LILILOANDIKA KITABU CHA MWANZO NA PIA KUCOMPILE BIBLE. MAANA NAFAHAMU WAZI KWAMBA BIBLIA NI KITABU CHENYE MKUSANYIKO WA VITABU MBALIMBALI KUTOKA KWA WAANDISHI MBALIMBALI NA KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI.

Kitu muhimu hapa inatakiwa tuelewe kuwa, miaka hii WAISRAELI ASILI NA WAKWELI WALISHAKIMBIA ENEO HILI PALE WARUMI WALIPOVAMIA YERUSALEM MWAKA 70 AD ( Destruction of Temple). UKISOMA MATHAYO 24:15-21 UTAELEWA KUWA YESU ANAWATAHADHALISHA WATU NINI WATATAKIWA KUFANYA WHEN GREAT TRIBULATION WILL ASCEND ON YERUSALEM.

KWAKUWA WAISRAEL WA KWELI (TRUE AND ORIGINAL ISRAELITES) WALIKUWA WAMEKIMBIA MAENEO HAYO YA AFRIKA YA KASKAZINI MASHARIKI, SWALI LA KUJIULIZA HAPA NANI WALIKUWA WAJUMBE WA LILE BARAZA LA YAVNEH (JAMNIA)?

PILI BARAZA LINGINE LA KWANZA NA LA PILI LA NICAEA "NICEA" CHINI YA EMPEROR CONSTANTINO LILIKUWA NA MADHUMUNI YA KUJADILI NATURE OF YESU/YASHUA, KUJADILI KUWEKA SIKU YA PASSOVER (PASAKA) NA MISINGI YA UBATIZO. NA HAPA NDIPO NASADIKI ILIPOZALIWA. BARAZA HILI LILIFANYIKA MWAKA 325 AD NA LA PILI LILIFANYIKA MWAKA 787 AD. NA HAYA MABARAZA YOTE MATATU YALITANGULIWA NA BARAZA LA YERUSALEM LA MWAKA 50 AD.

MJADALA KATIKA BALAZA HILI ULIKUWA MKALI SANA MAANA CONSTANTINO ALIWAALIKA MAASKOFU WOTE. KUMBUKA MAASKOFU WASOMI WENGI MDA HUU WALIKUWA KUTOKA AFRIKA YA KASKAZINI NA MASHARIKI. THE REST BISHOPS WALIKUWA WAJUMBE NDIO KAMA WABUNGE WA CCM NA CONSTANTINO ALIWAHOFIA HAWA MAASKOFU WA KUTOKA AFRIKA MAANA THEY WERE THE ONE WHO KNOW WHO WAS YASHUA AS A HUMAN HASA PADRI ARIUS WA LIBYA NDIE ALIKUWA ANAOGOPEKA KWA MISIMAMO YAKE YA KUSIMAMIA UKWELI UNAOTAKA KUPINDISHWA. MWISHOWE AKAUWAWA MAANA ALIKUWA ANAPINGANKUMFANYA YESU MUNGU.
KWAKUFAHAMU JINSI WAZUNGU WANAVYOWEZA KUKUATAKI KIPROPAGANDA WALIMSHINDWA NA WAKAMUUA
KUMBUKA CONSTANTINO ALIITISHA SINODI HILI KWA SABABU YA NDOTO YAKE. KWAMBA "KUPITIA MSALABA NITATAWALA" THROUGH CROSS I WILL CONQUER.

HAWA MAASKOFU WA AFRIKA WANAJUA KUWA YESU/YASHUA HAKUFA MSALABANI. BALI WALIMNYONGA KWENYE MTI. REJEA THE BOOK OF ACTS SURA YA 10: 32-35. HIVYO DHANA YA MSALABA ILITOKANA NA UBUNIFU WA HUYU COSTANTINO NA AKAENFORCE IWE NDIO HABARI MUHIMU KUWA YASHUA ALIKUFA MSALABANI.

HIVYO UKISOMA VYEMA HISTORIA YA KANISA NA MAFUNDISHO YA UKRISTU YAKUWA NA MSINGI UTOKANAO NA MAANDIKO YA VITABU VYA BIBLIA UTAFAHAMU KUWA MAANDIKO YAMEHARIRIWA NA KUBORESHWA KWA MALENGO YAO MAALUMU HASA YA KUTENGENEZA MISUKULE ISIOWEZA KUHOJI BALI KUPOKEA NA KUAMINI TU.

KUHITINISHA MY PREMISE YA KWANZA KTK MJADALA HUU NI KWAMBA HADITHI ZILIZOPO KWENYE BIBLIA YA LEO ZILIHARIRIWA KATIKA NYAKATI MBALIMBALI KATIKA MAMLAKA MBALIMBALI HIVYO SIO RELIABLE SOURCE YA KUJIABALISHA NA KUABALISHA.

FIGISU FIGISU ZIMEFANYIKA SANA. NDIO MAANA WALIKATAA VITABU VINGINE VISIWEKWE KABISA KWENYE MKUSANYIKO HUO WA VITABU VTA BIBLIA. AMBAKO NDIKO UTAKUTA HADITHI TOFAUTI NA ZILE ZILIZOPO KWENYE BIBLIA YA LEO.

MFANO HADITHI YA NUHU NA WANAWE, HADITHI YA GHARIKA YA DUNIA NA BUSTANI YA EDEN.
 
Ni vema ukaandika kile unachokifahamu halafu nikikubali au nikipinge kuliko huu mtindo wa kwenda kwa kuulizana maswali

Mshana mjadala umeanzishwa ukiwa na mda waweza endeleza maana jamii inahitaji mwendelezo. Mimi nimeshaanzisha.
 
Adam hakua binadam wa kwanza, ila mpango wa Mungu ulianzia kwake! Kulikua kuna maisha nje ya Eden! Na jamii za watu wengine ziliishi na kuendelea na maisha Yao!
Tobaa... Yamefikia hapa tena[emoji33]
Kaka usikubali kirahisi hivyo. Wewe ndio uliobarikiwa. wenye laana ni Wazungu na Waarabu Fake.

Hizo ni his-toria za uwongo na uzushi kabisa.
Dunia hii inamuabudu mtu mweusi kwa siri sana ili kuwapumbaza Weusi wenyewe wasijielewe how superior they are, ikabuniwa stori hizo na kulazimishwa kuzielewa hivyo wakati ******* woga wa kuishi.

Kuna kizazi cha wapumbavu ambao hadi leo kipo lakini kinaanza kuamka taratibu. IPO SIKU KIZAZI CHOTE KITAKUJA KUFAHAMU UZUSHI HUU NA HAPO NDIPO KIZAZI HICHO KITAKAPORUDI KTIKA MAHALI PAKE PA MWANZO.
 
Ni vema ukaandika kile unachokifahamu halafu nikikubali au nikipinge kuliko huu mtindo wa kwenda kwa kuulizana maswali

MSHANA NAKUALIKA TENA KWENYE MJADALA. UMEKAA KIMYA SANA NIKUELEWEJE? KARIBU NDUGU YANGU TUELEWESHANE.
 
Back
Top Bottom