Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?

Tutumie neno inawezekana kuwa Adam na Eva waliishi mashariki ya kati, kuna vitu vingi sana vimepita dunian kuna continent drift, gharika na vingike vingi hivi vyote vimebadili sura ya dunia. kuna mito aionekan uliyokuwa inapeleka maji kwenye bustan, hata hii mito iliyopewa majini ya mito iliyokuwa inapeleka maji katika bustani ya Eden ina ulakini mkubwa sana
 
Ila msingi wa post hii ni kile kilichoandikwa kwenye Misahafu na nikanukuu habari za Biblia ambazo nyingi ni kabla ya haya majanga uliyotaja ni wayback to Eden and what follows next
097a0918a5dbb3915fc28b7cd48fede0.jpg
 
Kaka NIKO TOFAUTI SANA NA WEWE kwa kuwa sipendi kurely kwa "GOOGLE" napenda kurely na :YOUTUBE". Kwanini nimechagua "YOUTUBE" badala ya Google ni kwa sababu, "GOOGLE" IS OFFLINE LIKE SCHOOL OF THOUGHT and "YOUTUBE" IS ONLINE (LIVE) SCHOOL OF THOUGHT.

Ndio maana kwangu nakuonyesha watu wanavyodiscuss na kuchallenge mamlaka. Halafu nakuonyesha kuwa WAZUNGU waliodanganya ndio leo wanajuta kuwahadaa wenye maarifa na wameanza kujitoa mhanga kueleza yaliokafichika. hiki ndicho tunachokitaka na sio kutuwekea DEAD INFORMATION za michoro ya mapambo.

NOAMBA NIHITINISHE LEO KWA HII CLIP KWA FAIDA YA WENGI NAOMBA SIKILIZENI NA MUANGALIE MPAKA MWISHO. nDIO INAELEZA NINI WAZUNGU WALIKIFANYA KATIKA ULIMWENGU HUU KUMSHUSHA MTU MWEUSI CHINI KIMAARIFA, KIUFAHAMU NA UTAMBUZI, NA KIUDADISI: BUSTANI IMETOLEWA AFRIKA KWA KUBADILISHA MAJINA YA MAENEO NA MITO

WHY NOW?

mnepha kwanza nikiri kuwa kuna jambo najifunza toka Kwako LAKINI hizo video ni product ya Google yaani ni zile zile simulizi za Google zimetafsiriwa katika motion picture kwahiyo bado ni kitu kile kile
 
Kitu cha kufahamu na kudadisi ni kwamba, kwanini Biblia ina copyright? who is printing the bible. Je hawa sio waliobadilisha maeneo na majina ya Afrika kwenye hiki kitabu? Je wana maslai gani na kuwa na hati miliki ya kuzalisha nakala ya hii biblia?

Na ili tujue uhalisia wa Bustani ya EDEN, lazima tumfahamu NUHU na Watoto wake walivyomilikishwa ARDHI katika ulimwengu huo kwa mahusiano na huu wa kwetu ili tuende sawa, na tukumbuke KULIKUWA NA GHARIKA KUU: Nitaendelea ........
Originally Biblia haikuwa na copyright haya ni mambo ya karne za karibuni ya kidunia kwahiyo sidhani kama hili laweza kuwa mjadala
 
Laana ilikwisha baada ya Yesu kufa msalabani na kuwapa wanafunzi wake go ahead ya kuwafanya mataifa mengine kuwa wanafunzi wake
Kitu ambacho kimewashinda mamilioni mpaka leo au kwa usahihi zaidi mpaka Yesu atakaporudi
 
Adam hakua binadam wa kwanza, ila mpango wa Mungu ulianzia kwake! Kulikua kuna maisha nje ya Eden! Na jamii za watu wengine ziliishi na kuendelea na maisha Yao!
kasema nani haya?
 
Niliona youtube clip flani ikielezea evidence ya kuwa Mji wa Makka ndio katikati ya dunia. Labda kuna ukweli kwa kuwa bustani ya Eden inaweza kuwa ilikuwa maeneo hayo [emoji15][emoji15]
 
Mmh inawezekana maana kule[emoji134] [emoji144] hasa mji wa Pashtun unaambiwa hata Njiwa anaruka na ubawa mmoja huku mwingine kafunika malighafi
Mpaka leo zile ngoma za wanaume wanaunda duara kila mtu anamchomeka mwenzake nyuma zinaendelea kuchezwa...ndo maana mabomu hayaishi kurindima katika nchi yao
 
Mpaka leo zile ngoma za wanaume wanaunda duara kila mtu anamchomeka mwenzake nyuma zinaendelea kuchezwa...ndo maana mabomu hayaishi kurindima katika nchi yao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pashtun wanaolindwa sana ni watoto wa kiume
 
Maybe the third one [emoji56][emoji56][emoji56][emoji41][emoji1545]
[emoji26] [emoji27] [emoji28] [emoji29] [emoji30] [emoji31] [emoji30] [emoji31] [emoji30]
 
Originally Biblia haikuwa na copyright haya ni mambo ya karne za karibuni ya kidunia kwahiyo sidhani kama hili laweza kuwa mjadala

Mshana Jr, Nani anayo original Bible? Ni mjadala mkubwa sana. Maana Bible ina Version nyingi sana. Kwanini Kuna Version katika hiki kitabu? we must be curious. kwa sababu, kama huna original bible, je unaoisoma ni halali? na kama sii halali, basi hoja katika thread hii haiwezi kuwa halali kwa wanaofahamu? Je wewe na mimi tunasoma biblia gani? kama tunasoma tofauti, hatuwezi jenga hoja kwa kuwa nakala zimetofautiana, hivyo kuweza kutofautiana hata kwa habari zenyewe.

Nakushauri, tafuta KING JAMES VERSION 1611 A.D or Jerusalem Bible ili wewe na mimi tuanzishe mjadala huu kwa vigezo ya references.
Maana hio mito katika bustani unayoionyesha katika ramani zako, zina utofauti na historia halisi ya biblia hata kwa majina pia.
Hivyo naomba tusome sote halafu tuijadili hii maada kwa kina kwa faida ya wote kaka.
 
Mshana Jr, Nani anayo original Bible? Ni mjadala mkubwa sana. Maana Bible ina Version nyingi sana. Kwanini Kuna Version katika hiki kitabu? we must be curious. kwa sababu, kama huna original bible, je unaoisoma ni halali? na kama sii halali, basi hoja katika thread hii haiwezi kuwa halali kwa wanaofahamu? Je wewe na mimi tunasoma biblia gani? kama tunasoma tofauti, hatuwezi jenga hoja kwa kuwa nakala zimetofautiana, hivyo kuweza kutofautiana hata kwa habari zenyewe.

Nakushauri, tafuta KING JAMES VERSION 1611 A.D ili wewe na mimi tuanzishe mjadala huu kwa vigezo ya references.
Maana hio mito katika bustani unayoionyesha katika ramani zako, zina utofauti na historia halisi ya biblia hata kwa majina pia.
Hivyo naomba tusome sote halafu tuijadili hii maada kwa kina kwa faida ya wote kaka.
Tukienda hivi tutaenda sawa mnepha kwakuwa mwisho wa siku ni kuelimishana na si kupotosha, niko nje ya Dar lakini nikirejea nadhani nina copy moja nitacheki kama ni hiyo unayozungumzia
 
Mada poa sana mkuu.umeniongezea hojaji kuwa wazungu walitoka sayari zingine.labda mifumo mingine ya jua.lakini ni mada ngumu mno.
 
Back
Top Bottom