Mmh kama tukiamua kujinasibu na tafiti sidhani kama patatosha hapa au ni nchi ngapi tumetembea
Iko hivi hizo tafiti zinafanywa na binadamu hawahawa au nyie nyie wa hapa hapa duniani hizo mashine ni man made machines zenye kutoa majibu kulingana na matakwa ya mtengenezaji... .kwahiyo kama ni stucking point bado iko pale pale...utafiti wa Dr.Leakey na huu wenu wa leo basics ni zile zile tofauti ni muda mahali na zana zilizoboreshwa zaidi
Kwenye hii post nimechanganya vitu vitatu kiroho kihistoria kisayansi na mwishowe nikahoji uhalisia wa haya yote...huo ndio mtiririko uliopo lakini wewe unakuja na hizi tafiti za kihistoria maybe na kisayansi maybe....lakini ukiwa huna basement za kiroho na kiuhalisia...jaribu kuhit kila engo ili uweze kuwa na product nzuri
Ziada; hii siri mnayoielewa ninyi ni ipi? Halafu
mnepha uandishi wako haitofautiani na mtu mmoja humu jamvini mwenye mzio na post zangu! Hivi hii ni coincidence au ni multiple IDs? Jus curious...!!!
Mshana, ID yangu ni hio tangu kujiunga na jamii forum. Na sina tabia ya kubadili ID kwavile sifanyi uovu ambao labda utanifanya ni HIDE IDENTITY yangu. Mimi ni MNEPHA nitabakia hivyo tu. Kwahio kuhusu hili la IDs ondoa shaka.
Pia kuhusu ushahidi wa haya tunayojaribu kukumbushana na kuelimishana ni kwamba. Humu JF nimeandika na kujibu sana Thread nyingi na hata nawe tumekutana na kuargue katika thread nyingi tu. ni mekwisha yaeleza mengi mno. Hadi wewe nakumbuka ulinicomment siku moja ukasema nakunuku "ni maneno ya kujipoza tu".
Nimeshaeleza kuhusu Ukweli wa creation account in the bible, Nikalijibu KISAYANSI, KIROHO NA KIHISTORIA na watu wengi waliLIKE sana ile Elimu. Nashangaa tena kaka unaleta mambo kinyume chake. so
First of all, it is vitally important for the us to be able to answer this question, as it relates to defending the fact that all humans are descendants of Adam and Eve; and, secondly, that it is
only their descendants that can be saved. Let me go through these two aspects in some detail. Mind that our core discuss about the identity of THE GARDEN OF EDEN with respective attributes.
1. All humans are descendants of Adam and Eve. Do u buy this story?
In Genesis 4:1,2, we read, "And Adam knew Eve his wife: and she conceived, and bare Cain, and said, I have gotten a man from the LORD. and she again bare his brother Abel." And in Genesis 5:3, we read, "And Adam lived a hundred and thirty years, and begat a son in his own likeness, after his image: and called his name Seth."
In other words, we are told certain details about three sons born to Adam and Eve. It is recorded in Genesis 3:20, "And Adam called his wife's name Eve; because she was the mother of all living." Thus all human beings are descendants of the first woman, Eve. There were no other women—just one woman, Eve.
In I Corinthians 15:45, Paul tells us that "the first man Adam was made a living soul." In other words, Adam was the
first man—there were
no other men at the beginning. And in Acts 17:26, Paul states that the God who made the world "hath made of one blood all nations of men for to dwell on all the face of the earth."
All human beings are related, because they are
all descendants of the
first man, Adam, and the
first woman, Eve.
As marriage in the Bible specifies one man for one woman for life, this means Christians have to be able to explain how Adam and Eve's sons could marry and have children to propagate the human race. Thus we need to be able to answer the question concerning Cain's wife.
One can actually answer this question with just a little Bible knowledge. Genesis 5:4 tells us that Adam and Eve "begat sons and daughters." Josephus, the Jewish historian, states that "The number of Adam's children, as says the old tradition, was thirty-three sons and twenty-three daughters." The point, of course, is that Adam and Eve did have many children.
My curious question is Where did CAIN get his WIFE?.... Were there PRE-ADMITES or He married his Own SISTER?