Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,443
- 860,269
- Thread starter
- #21
Mkuu kuna hii kitu inaitwa Darwinism, i.e., the theory of darwin inazungumzia upande wa pili kuhusu "The human intelligence design"
Ukitoka hapo...jaribu kufuatilia hii hapa chini inayosema namna binadamu alivyoendelea na kuweza kujitawala huku mabadiliko makubwa yakianzia middle east katika bustan ya "Eden..."
Nipo kwa ajili ya kuongeza ufahamu nitafanya hivyo