GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Nina waswas sana na mnepha kama bhangi hazijamwathiri bas atakuwa na tatizo la kisaikolojia. Namwona anavyohangaika na europhobia na pia kuji feel ni inferior.huwa linapokuja suala hili anaishia kushambulia wazungu na kujitukuza kikondoo.ukimwuliza hata asilimia 70 ya vitu anavyotumia asili yake ni wazungu
mnepha unajaribu kukejeli huku kujikinga na hoja ambayo unashindwa kuijenga, nilitegemea uje na constructive argument lakini naona unaleta mipasho na self-trending thoughts zisizo na mwendelezo wowote
Hebu jaribu kujenga hoja yako upya upinge hoja kwa hoja....
Nimeona huko kwingine pia umekurupuka lakini watu wamekuwa wapole kwako...hapa tunachotaka ni uhalisia wa kile kilichoandikwa na kusimuliwa kwa miongo mingi
Lakini pia unaposema hakuna mashariki ya kati maana yake unakataa uwepo wa Africa mashariki magharibi nk....