Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 373,062
- 864,253
- Thread starter
- #201
HapanaKwahiyo Adam alikuwa muhindi au mzungu au mwarabu au mchina ?
Sent using Jamii Forums mobile app
HapanaKwahiyo Adam alikuwa muhindi au mzungu au mwarabu au mchina ?
Kama tuko kwenye surveillance yake laana ya asili inatokea WAP?alinunya kila kabila kwa damu yake.Asante kwa mafunuo ila la ulinzi si kweli kuna mahali nimelijibu kule, tuna 24 surveillance ya Mwenyezi Mungu tunaishi kwenye cobweb yake....mengine yote yanayotupata ni ile laana ya asili
Kama tuko kwenye surveillance yake laana ya asili inatokea WAP?alinunya kila kabila kwa damu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani pia ni kosa la kiistilahi tu kusema FUVU LA BINADAMU WA KWANZA, haimaanishi mtu wa kwanza rather mtu wa kale, mtu wa kwanza bado anabaki kuwa Adam wa Mashariki ya Kati.............huenda bahati mbaya tu fuvu lake halaikupatikana na lililopakana ni la huku Arusha..........tunaongeza chumvi na KUJIONGEZA KAMA AFRIKAAmbaye ni Adam? Lilith? Eva? Au huyu wa Olduvai gorge? Je nafasi ya Babylon na Eden nk nk zinakaa wapi kwenye hili? Je Unazungumzia kwa muktadha wa historic world au pre-historic ?
Alikuwaje sasa ?
Ambaye ni Adam? Lilith? Eva? Au huyu wa Olduvai gorge? Je nafasi ya Babylon na Eden nk nk zinakaa wapi kwenye hili? Je Unazungumzia kwa muktadha wa historic world au pre-historic ?
Ni kweli kuwa fuvu lenye umri mkubwa zaidi limepatikana Tanzania na huko Ethiopia.Hapa Tanzania inasemekana eneo hilo la Oldpai lilikuwa na ziwa ambalo hili ziwa lilikauka baada ya kikauka ndio hii mifupa ikapatikana hapo.Sio mifupa ya Binadamu pekee hata ya wanyama hadi leo kazi ya utafiti inaendelea!
Sasa kama tukichukua Kibibilia kuwa kizazi cha mwisho ni kile cha Nuhu kwa kuwa imeandikwa kuwa mvua ilinyeesha dunia nzima pengine baada ya mvua hiyo ndio mifupa ilipatikana hapo!
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Jamii ya wazungu hasa nchi za Mediteranian Italia,Spain,Ureno na Ufaransa hizi ni Race mpya kabisa ambazo ni mchanganyiko wa Mtu Mweusi na Mwarabu!
Swala la Rangi limekaa zaidi kutokana na hali ya Hewa binadamu na hata wanyama huwa na asili ya kubadilika ili kukabiliana na changamoto fulani
Kwa maana ya Ustaarabu kuna ushahidi mkubwa sana mfano chuo kikuu cha kwanza ni huko Mali,Kalenda ni imeanzia Misri,namba ni Ugiriki na Misiri.Yale Mapiramid hakuna mwandisi wa majengo mwenye kuelewa hadi leo
Daaaaaah imenifanya nikumbuke kile ninachokipinga kwamba kwenye vitabu vyetu bado tunafundishana ujinga eti binadamu wa kwanza alikua nyaniNa hoja ndio hoja yangu tusitweze na tafiti za wazungu na kuzikubali tu kuwa ni za wazungu tuwe watu wa kuhoji na kama mwanzoni hakuna waliohoji basi ni zamu yetu sasa nasi kuhoji japo kupitia JF
Hao fix tu.....Binadamu wa kwanza alitokea Africa ndio akasambaa duniani kote hii imethibitika kwa Archaeological findings. Hizo zingine ni hadithi kwa ajili ya watoto tu.
Pia inasemekana hata angani mifumo ya sayari ilipata mushkeri .......kwamba kulikuwa na sayari nyingine iliyo karibu kabisa na dunia yetu........ sayari hiyo ilikuwa na kila kitu kilichomo hapa duniani bahari mito maziwa milima majani miti etc,...pia kulikuwa na wanyama na aina ya ndege ambao walikuwa na uwezo wa kuruka kuja dunia hii na kurudi katika dunia ilee....ndege hao ni aina ya Tai lakini walikuwa wakubwa sana na waliweza kubeba uzito mkubwa sana kama vile watu kadhaaa na mizigo kadha wa kadha,,,,,,Ni muda mrefu tangu thread hii mkongwe Mshana Jr uanzishe.
Nikiwa huko Ulayae, nilipita pita sana katika makumbusho yao, hasa kwenye maktaba zao, nyingi kati allo ya hizo zipo restricted. Kwa kuwa nilisha kuwa raia wao kwa kuoa na kufanya kazi nchi kadhaa zao, hasa za kiutafiti, hivyo zuio halikunihusu sana. Nilijisomea mambo mengi ya kale. Wazungu waliyafatilia kwa undani sana tena very seriously tangu karne ya 12. Kunako karne za 16 hadi 19, au hadi Leo, bado wanafuatilia mambo huko MASHARIKI YA KATI, yaani nchi za IRAQI na IRAN kwa upekee, ingawa na zingine zipo. Kwa jina la ujumla the " MESOPOTAMIA". Huko ndiko kulikoanzia ustaarabu wote, I e, sayansi, maendeleo n.k. Hivyo hata dini zote hapa DUNIANI, msingi wake ni huko. Na chanzo cha asili ya kutokea kwa dunia yetu, kimeelezewa huko. Ni kweli, binadamu alifanyiwa " GENETIC ENGINEERING" hapa pande ya hii AFRIKA!
Haya yamefunuliwa kiasi katika kitabu cha " mtafiri wa mambo kale na mwandishi wa vitabu" katika moja ya vitabu vyake, hasa cha "The 12th Planet".
Ipo kama hadithi, lakini mengi ni facts.
Naomba tukisome na tuelewe between the lines. Wazungu sii wajinga kutumia trillions of money kuchimbua chini ili wapate kuona mambo kale kule MESOPOTAMIA.
Wamepata mengi, even the shuttle rockets/ships, engines, farming, botanicals things, etc.