V Kweli Tupu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 951
- 527
Oh my goodness! Pumbaa tupu na uzezeta!!OK nimekupata mkuu lakini pale kwenye waumini wa kwanza kuingia katika dini niandika kwa context ya jinsia kwa wanaume na wanawake ila in general natambua kuwa ni bi Aisha in concerning to majini sikumaanisha kuumbwa nilimaanisha kusilimu walisilimu baadae sana baada ya binadam kusilim hicho ndicho nilichomaanisha