zulushaka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2017
- 372
- 299
Kwa hiyo majini na malaika waliunbwa kwa namna moja?Majini/mapepo = malaika waasi!
Wakristo walio na Roho Mtakatifu tu ndo wanaifahamu siri hii

Majini yako kanisani,na ni rafiki zenu.Ndio maana walimuweka na njaa Sikh 40 na kumbeba juu kwa juu yule mnayemuabudu.Huoni hapo paba urafiki mkubwa.Waislamu nyoko sn.....wanategemea sn majini kwenye mambo yao...muislamu alienda kuombewa majini yote humtoka
Ndio according to bible majini ni malaika waasiKwa hiyo majini na malaika waliunbwa kwa namna moja?
Tantalila mbumbumbu mbwabwajaji....hapo umebwabwaja kwa nguvu za Maimuuna.
Huyo jini wa Kikristo anaitwa jini nani? Sharifu ama Joseph?
Qur'an ndiyo iliyochezewa kicontents kwa mara 38.
Unataka ushahidi yakhee?
Kwa mujbu wa biblia tueleze malaika aliumbwa kwa kitu gani, na jini aliumbwa kwa kitu ganiNdio according to bible majini ni malaika waasi
Al-Jinn 72:1Kwa mujbu wa biblia tueleze malaika aliumbwa kwa kitu gani, na jini aliumbwa kwa kitu gani
mwerevu
Nafuu Yesu alibebwa juu kwa juu lakini mwishowe akalipinga hilo Jini mkuu unalolisema likamuacha. Muhammad wenu kawasilimisha wote wawe maislamumu! Wewe kweli mnafiki, yaani uchafu wa majini umejaa msikitini huoni? Na Quran inakubali jinsi majini yalivyo marafiki zenu mpaka misikitini.Majini yako kanisani,na ni rafiki zenu.Ndio maana walimuweka na njaa Sikh 40 na kumbeba juu kwa juu yule mnayemuabudu.Huoni hapo paba urafiki mkubwa.
Soma Luka 10:17- 20Al-Jinn 72:1
Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!
![]()
Sasa hapo Quran inatwambia " kundi moja la majini lilisikiliza" maneno anayoambiwa Muhammad na Allah.
Ni maneno gani hayo ambayo majini yalisikiliza?
Al-Jinn 72:14
Na hakika wamo(majini) katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu.
![]()
Majini yamesilimu yakawa waislamu na kupata wongofu.
Kabla majini kuwa miislamu sijui yalikuwa yana muabudu nani?
Kama majini hayakuwa maongofu basi yalikuwa maovu na machafu kabla kuwa waislamu.
Je yalimuhasi Allah au la?
Al-Jinn 72:19
Na hakika Mja wa Mwenyezi Mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga!
![]()
Majini kumzonga zonga Muhammad inaonyesha Allah aliruhusu hawa viumbe vichafu ambavyo havijasilimu kuwa karibu na sala za zake.
Kwanini hawa majini yamzonge zonge Muhammad wakati ni maovu na hajasilimu?
Ushaidi hapo juu inaonyesha hayo majini ambayo mnashirikiana nayo ni machafu kabla Qur'an wala Muhammad kuwapo. Majini kwa kifupi ni demons au mapepo ambayo biblia inasema yalimuasi Mungu. Na Quran inakiri kwamba baadhi yamesilimu. Kwa maana hiyo uislamu umejaa uchafu.
Soma Luka 10:17-20.Wateule sabiini,walotumwa kwenda kwa mapepo(majini waovu),kuwaingiza katika ufuasi wa Yesu.Nafuu Yesu alibebwa juu kwa juu lakini mwishowe akalipinga hilo Jini mkuu unalolisema likamuacha. Muhammad wenu kawasilimisha wote wawe maislamumu! Wewe kweli mnafiki, yaani uchafu wa majini umejaa msikitini huoni? Na Quran inakubali jinsi majini yalivyo marafiki zenu mpaka misikitini.
Al-Jinn 72:1
Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!
![]()
Sasa hapo Quran inatwambia " kundi moja la majini lilisikiliza" maneno anayoambiwa Muhammad na Allah.
Ni maneno gani hayo ambayo majini yalisikiliza?
Al-Jinn 72:14
Na hakika wamo(majini) katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu.
![]()
Majini yamesilimu yakawa waislamu na kupata wongofu.
Kabla majini kuwa miislamu sijui yalikuwa yana muabudu nani?
Kama majini hayakuwa maongofu basi yalikuwa maovu na machafu kabla kuwa waislamu.
Je yalimuhasi Allah au la?
Al-Jinn 72:19
Na hakika Mja wa Mwenyezi Mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga!
![]()
Majini kumzonga zonga Muhammad inaonyesha Allah aliruhusu hawa viumbe vichafu ambavyo havijasilimu kuwa karibu na sala za zake.
Kwanini hawa majini yamzonge zonge Muhammad wakati ni maovu na hajasilimu?
Ushaidi hapo juu inaonyesha hayo majini ambayo mnashirikiana nayo ni machafu kabla Qur'an wala Muhammad kuwapo. Majini kwa kifupi ni demons au mapepo ambayo biblia inasema yalimuasi Mungu. Na Quran inakiri kwamba baadhi yamesilimu. Kwa maana hiyo uislamu umejaa uchafu.
Soma Luka 20:17-20Waislamu nyoko sn.....wanategemea sn majini kwenye mambo yao...muislamu alienda kuombewa majini yote humtoka
Soma Luka 10:17-20Al-Jinn 72:1
Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!
![]()
Sasa hapo Quran inatwambia " kundi moja la majini lilisikiliza" maneno anayoambiwa Muhammad na Allah.
Ni maneno gani hayo ambayo majini yalisikiliza?
Al-Jinn 72:14
Na hakika wamo(majini) katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu.
![]()
Majini yamesilimu yakawa waislamu na kupata wongofu.
Kabla majini kuwa miislamu sijui yalikuwa yana muabudu nani?
Kama majini hayakuwa maongofu basi yalikuwa maovu na machafu kabla kuwa waislamu.
Je yalimuhasi Allah au la?
Al-Jinn 72:19
Na hakika Mja wa Mwenyezi Mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga!
![]()
Majini kumzonga zonga Muhammad inaonyesha Allah aliruhusu hawa viumbe vichafu ambavyo havijasilimu kuwa karibu na sala za zake.
Kwanini hawa majini yamzonge zonge Muhammad wakati ni maovu na hajasilimu?
Ushaidi hapo juu inaonyesha hayo majini ambayo mnashirikiana nayo ni machafu kabla Qur'an wala Muhammad kuwapo. Majini kwa kifupi ni demons au mapepo ambayo biblia inasema yalimuasi Mungu. Na Quran inakiri kwamba baadhi yamesilimu. Kwa maana hiyo uislamu umejaa uchafu.
Nimeuliza maswali unanionyesha Luka 10;17-20! Jibu kwanza maswali alafu tutajadili Luka.Soma Luka 10:17- 20
Mapepo(majini waovu),walipolekewa wateule sabiini(kwenye bibilia nyingine 72),kuwaingiza kuwa wafuasi wa Yesu.Na mapepo wakatii,wakawa wafuasi wa Yesu.
Wateule waliporudi,wakasema Bwana tumefurahi,mapepo yametutii kwa jina lako(wamekuwa wafuasi wako.
Majibu yako:Luka 10:17-20 walitumwa na YesuNimeuliza maswali unanionyesha Luka 10;17-20! Jibu kwanza maswali alafu tutajadili Luka.
Jibu hayo maswali:
Al-Jinn 72:1
Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!
Ni maneno gani ambayo majini yalisikiliza????
Al-Jinn 72:14
Na hakika wamo(majini) katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu.
Kabla majini kuwa miislamu sijui yalikuwa yana muabudu nani????
Kama majini hayakuwa maongofu, Je yalimuhasi Allah????
Al-Jinn 72:19
Na hakika Mja wa Mwenyezi Mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga!
Kwanini hawa majini yamzonge zonge Muhammad wakati ni maovu na hajasilimu????
Achana na Biblia. Jibu hizo aya za Quran. Kama huna majibu sema tu, utasamehewa!Majibu yako:Luka 10:17-20 walitumwa na Yesu
Wateule 70(biblia nyingine
72).Kwenda kuwabembeleza mapepo(majini waovu),wamtii Yesu na kuwa wafuasi wake.
Wale wateule waliporudi,walsema;Tumefurahi Bwana,mapepo(majini waovu),wametutii kwa jina lako,wamekuwa wafuasi wako.
SomaAchana na Biblia. Jibu hizo aya za Quran. Kama huna majibu sema tu, utasamehewa!
Mapepo ni nini?????Kwa kuchokoza zaidi mada... Elimu ya majini kwa Wakristo na Waislamu ni tofauti ingawa wapo Wakristo ambao hubeba mafundisho au elimu ya majini kutoka kwa Waislamu na kuichomeka kwenye Ukristo kwa support ya mistari flani ya Biblia. Mfano ukisikiliza mafundisho juu ya nyota asili yake si Ukristo. Sisi Wakristo tunajua habari ya karama za Roho Mtakatifu na si nyota ....
Hivyo tunapozungumzia habari za majini ni vizuri kujikita vizuri kwenye imani yako ili kama ni muislamu tukuelewe na Mkristo ueleweke ..
Hata msamiati majini si Wakikristo ndio maana huwezi kukuta sehemu imeandikwa Yesu akatoa majini .....Biblia imechagua kwa umakini sana misamiati ya kutumia ikiwemo mapepo n.k ...
Tujiulize majini kwa tafsiri ya Waislamu ni kitu kilekile kwa tafsiri ya Mapepo ktk Biblia? Nimechokoza tu mada ..