Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 961
- 2,038
Nimekuwa nikikutana na maswali mbalimbali kuhusu dini au Mungu mfano
Niliwahi kuulizwa matendo mema yaliumbwa na nani nikajibu Mungu aliumba mema. Nikaulizwa tena mabaya yaliumbwa na nani nikakosa jibu.
Jamaa akaniambia Mungu wako aliumba mema na mabaya na akakuumba binadamu dhaifu na ukifanya mabaya au kumchagua shetani unapelekwa motoni . Swali ni je ikiwa unajua binadamu ni dhaifu kwanini umuwekee ujuzi wa mabaya na akikosea aende motoni kwanini mabaya yasiondolewe binadamu abaki na ujuzi wa mema au kwanini akimchagua shetani umchome moto...
Kingine Kwa msisitizo, KAMA MUNGU ANAJUA YA MBELE (KUWA ADAMU ATAASI)au SHETANI ATAASI KULIKUWA NA HAJA GANI KUJISUMBUA KUUMBA DUNIA MPAKA AKACHOKA NA KUPUMZIKA. UNGEKUWA WEWE UNGEJENGA NYUMBA AMBAYO UNAJUA KESHO INAENDA KUBOMOKA? MAMBO MENGINE TUSIWEKE UGUMU KUELEWA.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app