Tulia ni kupeni SOMO ,naona munadanganyana tu.jinni ni viumbe walikuwepo miaka Mingi sana hata b4 ya kuumbwa mwanadamu,Allah akahitaji aumbe mwanadamu duniani ndio akateremsha Malaika kuja kuwaangamiza na wengine wakauwawa wengi sana na wengine wakakimbia ktk majabali,baharini ,na maeneo mengine mafichoni,then Ndio wakamchukua Mtoto wa jinni wakampeleka mbinguni na akakulia huko lakn baadae akawa very genius kuliko malaika na. Hapo ndio akapewa cheo jina lake ni Azazil au Iblis na aliasi kwa Mungu baada ya kuasi akashushwa duniani na akabandikwa jina la Shetani baada ya kuasi.
Hawa majini asili yao wameumbwa kwa miale ya moto ,ushahidi huu unaopatikana baada ya Iblis kuasi kwa kutaaa kumpa heshima Nabii Adam baada ya kuumbwa.Iblis alisema siwezi kumsujudia kiumbe aliyeumbwa kwa udongo wakati mimi (Iblis)nimeumbwa kwa moto.
Kwa hiyo Iblis au Shetani ni jinni mkuu aliyemuasi Allah,na ameahidi kuwapotosha watu ili akaulingie nao motoni siku ya kiama,isipokuwa wale wanaomcha Mungu (Allah)sio miungu mengine ,
Iblis anashirikiana na majini wengine ktk kusudio Lao hilo la kupotosha watu ,na ameshatengeneza mtandao mkubwa sana hapa duniani anaingia mpk ktk baadhi ya dini hapa duniani lengo ni upotoshaji,(tafakari kwa kina acha ushabiki wingi wa diini zinazozuka kila siku)
Kwa hiyo kuna majini wema na wabaya km ilivyo kwa binaadam kwani lengo La viumbe woote ni kumcha Mungu (Allah)sio miungu wengineo.
Nalogoff ,nitarudi