Je, asili ya majini ni ipi?

wewe mimi nadhani hata bible ya haswa huisomi, unasikia na wewe unasema bila ya hata kutumia akili yako hata chembe.

Ngoja nikupe shule kidogo.

Mwenyezi Mungu aliumba Malaika, majini na binaadamu. Na wote hawa kawaumba kwa ajili ya kumtumikia yeye.

Malaika waliumbwa kwa nuru, Majini kwa moto na binaadamu kwa udongo.
Katika Malaika hawa ni special wameumbwa na hawamuasi Mwenyezi Mungu kamwe, ni wenye kuabudu tuu.

Binaadamu na Majini sisi ndio tulokuwa na Mitihani maana ndio tupo hapa ulimwenguni,

Tulichoumbiwa ni kumuabudu Mwenyezi Mungu. Na atakaemuasi ikiwa jini au binaadamu basi Mwenyezi Mungu hatamuacha siku ya mwisho atamuingiza motoni, na ikiwa atafuata maarisho ya Mungu ikiwa jini au binaadamu akitaka mwenyewe Mungu atamuingiza peponi.

Sasa ikiwa jini au binaadamu atamuasi Mwenyezi Mungu huyo ndio anakuwa shaytani. Maisha yao ya kuzaliana kama sisi tunavyozaliana ila tumetofautiana na vyakula vyao na makaazi yao wanayoishi.

Na hawana nguvu yoyote ile ya kusema kuwaogopa, Mtume Suleiman yeye alipewa ufalme wa watu, majini, wanyama, ndege, upepo N.k Ni ulfalme ambao alimuomba Mwenyezi Mungu asijempa yoyote badala yake.

Na walikuwa chini ya amri ya Mtume Suleiman aliwadhibiti sawa sawa.
Haya yamo ndani ya Quran tukufu.

binaadamu hutakiwi kuwaogopa kabisa wao ni viumbe wameumba kama sisi, na wengine huwaogopa binaadamu haswa.

Na binaadamu hatakiwi kuyaingilia katika maisha yao na wao hawatakiwi kutuingilia katika maisha yetu. Ila kama utawaingilia na kutaka kujua zaidi na kuwafatilia utaishia katika shirki ambayo itakupeleka kuunguzwa na Mwenyezi Mungu.

TATIZO BAADHI YA WASIOKUWA WAISLAM WANAKURUPUKA SANA NA KUTOA MAJIBU AMBAYO HATA AKILINI HAYAINGII, BINAADAMU SOMA MWENYEWE UELEWE USIKUBALI KUHADITHIWA TUU.

KWA NGUVU ZA NANI KWA NGUVU ZA NANI TOKA HAMNA KITU HICHO NI KIINI MACHO TUU CHA KUCHEZEWA.

MWENYE UWEZO WA KUMTOA JINI AKIKUSIBU NI MWENYEZI MUNGU PEKEE YAKE.

KUNA VISOMO KATIKA QURAN UNASOMA KAMA AKIKUPATA, NA JINI HAMPATI MTU AMBAE AMEJIWEKA MBALI NA MAMBO AMBAYO MWENYEZI MUNGU AMEHARAMISHA.

KAMA MTU ANASEMA SHEIKH ANA MAJINI NI MUONGO, KUNA BAADHI YA WATU HUWAFUTILIA HAWA MAJINI AMBAO KWA MAJINA WANAITWA WAISLAM ILA UNAKUWA USHAJIVUA KATIKA UISLAM IKIWA WEWE KAZI YAKO KUYAFUGA KWA AJILI YA SHIRKI.

HAKUNA USHIRIKA WOWOTE UNAOHUSIANA UISLAM NA MAJINI, NI KUWA ATI WAISLAM WANATUMIA MAJINI, MSIDANGANYWE MKADANGANYIKA.

NI KATIKA QURAN KILA KITU KIMO WATU WAACHE UVIVU WASOME.
AHSANTE...... MWENYE MACHO NA AONE, MWENYE MASIKIO NA ASIKIE, MWENYE AKILI AZINGATIE.

LAKINI KUCHAGUA NJIA YA KUELEKEA NI UAMUZI WAKO,....

BALI MUELEKEZAJI AMESHAELEKEZA. SELISELINA, KWA HAKIKA UMITIMIZA WAJIBU WAKO....

MWENYEZI MUNGU AKULIPE KHERI HAPA DUNIANI NA KESHO AKHERA.
 
Hamna neno jini kwenye biblia! Ni Quran tu inashiriki na majini mpaka ndani ya misikiti!
Biblia sio kitabu cha Mungu. Ni uhariri wa watu kwa maslahi yao. INJILI ndio kitabu cha Mungu na alimpa Nabii wake Issa bin Mariam (Yesu). Na mafundisho yaliyokuja na Injili hayana shaka HATA KIDOGO.
 
The most common cause of stress is dealing with people who are radical Muslim with terrorism mentality like yours. Burn in hell with your 72 virgins in heaven.
V Kweli Tupu, hamaki ya nini kaka?????? Mbona ISIS amekubali kutokukubaliana na wewe????
 
Go on.

Umewahi kushiriki ibada ya kiislam mara ngapi?

Je ulishuhudia Waislam wakiswali pamoja na majini?

Uliyaona vipi majini wakati wengi tunajuwa hayaonekani?

Unaweza vipi kushiriki ibada na kisichoonekana?

Usipende kukaririshwa tukia akili yako walau kidogo tu ufikiri,

*Nijibu hayo maswali kiufasaha nikuelewe*

-Ukishindwa kuyajibu utakuwa dhalimu kwa kusema usiyokuwa na ufahamu nayo
Mkuu Ally 7, Naahidi NITAKUNYA HADHARANI TENA BARABARANI, ikiwa huyo ndugu akikujibu maswali hayo KIKAMILIFU (point kwa point).
 
Mkuu Ally 7, Naahidi NITAKUNYA HADHARANI TENA BARABARANI, ikiwa huyo ndugu akikujibu maswali hayo KIKAMILIFU (point kwa point).
Sio yeye tu angalia thread ilipofika hakuna hata mmoja aliyethubuti kugusia hayo maswali.

Kibaya watu wanakaririshwa na kalazimishwa yaani kujengewa imani kuwa uislamu ni dini ya majini nawao wanachukulia hivyo bila kufikiri hata anayewaaminisha anayaona vipi majini wakati huo huo wanasema hayaonekani.
 
wewe mimi nadhani hata bible ya haswa huisomi, unasikia na wewe unasema bila ya hata kutumia akili yako hata chembe.

Ngoja nikupe shule kidogo.

Mwenyezi Mungu aliumba Malaika, majini na binaadamu. Na wote hawa kawaumba kwa ajili ya kumtumikia yeye.

Malaika waliumbwa kwa nuru, Majini kwa moto na binaadamu kwa udongo.
Katika Malaika hawa ni special wameumbwa na hawamuasi Mwenyezi Mungu kamwe, ni wenye kuabudu tuu.

Binaadamu na Majini sisi ndio tulokuwa na Mitihani maana ndio tupo hapa ulimwenguni,

Tulichoumbiwa ni kumuabudu Mwenyezi Mungu. Na atakaemuasi ikiwa jini au binaadamu basi Mwenyezi Mungu hatamuacha siku ya mwisho atamuingiza motoni, na ikiwa atafuata maarisho ya Mungu ikiwa jini au binaadamu akitaka mwenyewe Mungu atamuingiza peponi.

Sasa ikiwa jini au binaadamu atamuasi Mwenyezi Mungu huyo ndio anakuwa shaytani. Maisha yao ya kuzaliana kama sisi tunavyozaliana ila tumetofautiana na vyakula vyao na makaazi yao wanayoishi.

Na hawana nguvu yoyote ile ya kusema kuwaogopa, Mtume Suleiman yeye alipewa ufalme wa watu, majini, wanyama, ndege, upepo N.k Ni ulfalme ambao alimuomba Mwenyezi Mungu asijempa yoyote badala yake.

Na walikuwa chini ya amri ya Mtume Suleiman aliwadhibiti sawa sawa.
Haya yamo ndani ya Quran tukufu.

binaadamu hutakiwi kuwaogopa kabisa wao ni viumbe wameumba kama sisi, na wengine huwaogopa binaadamu haswa.

Na binaadamu hatakiwi kuyaingilia katika maisha yao na wao hawatakiwi kutuingilia katika maisha yetu. Ila kama utawaingilia na kutaka kujua zaidi na kuwafatilia utaishia katika shirki ambayo itakupeleka kuunguzwa na Mwenyezi Mungu.

TATIZO BAADHI YA WASIOKUWA WAISLAM WANAKURUPUKA SANA NA KUTOA MAJIBU AMBAYO HATA AKILINI HAYAINGII, BINAADAMU SOMA MWENYEWE UELEWE USIKUBALI KUHADITHIWA TUU.

KWA NGUVU ZA NANI KWA NGUVU ZA NANI TOKA HAMNA KITU HICHO NI KIINI MACHO TUU CHA KUCHEZEWA.

MWENYE UWEZO WA KUMTOA JINI AKIKUSIBU NI MWENYEZI MUNGU PEKEE YAKE.

KUNA VISOMO KATIKA QURAN UNASOMA KAMA AKIKUPATA, NA JINI HAMPATI MTU AMBAE AMEJIWEKA MBALI NA MAMBO AMBAYO MWENYEZI MUNGU AMEHARAMISHA.

KAMA MTU ANASEMA SHEIKH ANA MAJINI NI MUONGO, KUNA BAADHI YA WATU HUWAFUTILIA HAWA MAJINI AMBAO KWA MAJINA WANAITWA WAISLAM ILA UNAKUWA USHAJIVUA KATIKA UISLAM IKIWA WEWE KAZI YAKO KUYAFUGA KWA AJILI YA SHIRKI.

HAKUNA USHIRIKA WOWOTE UNAOHUSIANA UISLAM NA MAJINI, NI KUWA ATI WAISLAM WANATUMIA MAJINI, MSIDANGANYWE MKADANGANYIKA.

NI KATIKA QURAN KILA KITU KIMO WATU WAACHE UVIVU WASOME.
Na wewe ungeweka nukuu basi kuliko hoja zako ambazo ni personal opinion juu ya hiyo Qur'an.
 
Soma Luka 10:17- 20
Mapepo(majini waovu),walipolekewa wateule sabiini(kwenye bibilia nyingine 72),kuwaingiza kuwa wafuasi wa Yesu.Na mapepo wakatii,wakawa wafuasi wa Yesu.
Wateule waliporudi,wakasema Bwana tumefurahi,mapepo yametutii kwa jina lako(wamekuwa wafuasi wako.
Mmh!
 
Luka 10:17-20 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wale wanafunzi sabini na wawili wakarudi wakiwa na furaha. Wakamwambia Yesu, “Bwana, tukilitumia jina lako, hata pepo wanatutii!” Akawajibu, “Nimemwona shetani akianguka kama radi kutoka mbinguni. Nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na kushinda nguvu zote za yule adui; wala hakuna kitu cho chote kitakachoweza kuwadhuru. Lakini msifurahi kwa kuwa pepo wanawatii, ila furahini kwa kuwa majina yenu yamean dikwa mbinguni.”

Nimeona Waislamu wanatumia neno hilo vibaya,
Wanafunzi 72 wa Yesu walifurahi kwakuwa wanauwezo wa kuangamiza Mapepo /majini kwa Jina la Yesu. Na anawapa mamlaka ya kumuangamiza Shetani na wasaidizi wake majini, Hicho ndicho wanachofanya Wakristo waleo ambao pia ni wanafunzi wa Yesu. Asante Yesu kutupa mamlaka ya kumkanyaga Shetani na wasaidizi wake Majini. Ila Waislamu Majini ni Ndugu zenu.
 
Acha kudanganya watu wewe ,unaongozwa na Majini kusoma Biblia?

Naona wengi badala ya kukupa majibu wamehamia ktk malumbano ya kidini.

In shaa Allah nitajitahidi kukujibu walau kwa uchache Kama ifuatavyo : Swali lako la kwanza ni:

1)NANI ALIYE WAUMBA MAJINI?

Jibu: majini wameumbwa na Mwenyezi Mungu. Uthibitisho ni Qur 51:56 Allah aliposema:

"Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu mimi "

Pia 7:54 Qur an
" .... Fahamuni : kuumba (ni kwake tu Mwenyezi Mungu) na amri zote ni zake (Mwenyezi Mungu), ametukuka kabisa Mwenyezi Mungu Mola wa walimwengu wote".

Pia Qur 30:26 inasema
"Na vyote vilivyopo mbinguni na ardhini humtii yeye.

Bila shaka huu ni ushahidi tosha kuwa Mwenyezi Mungu ndiye ALIYE WAUMBA MAJINI NA VITU VYOTE UVIONAVYO ULIMWENGUNI.

2)
umeuliza WAMEUMBWAJE?
Jibu: wameumbwa kwa Moto. Ushahidi: quran 7:12

".....Akasema (iblisi) : mimi ni bora kuliko yeye, (mimi) umeniumba kwa moto, naye umemuumba kwa udongo. "

Pia Qur 55:15
" Na akawaumba majini kwa ulimi wa moto ".

Kwa hiyo MAJINI waliumbwa kwa moto.

3)
KWA NINI HAWAONEKANI
Jibu:
Ameitwa Jinni kwa sababu ya kutoonekana kwake na watu, hii ni kwa sababu kila kisichoonekana kwa jicho la binadamu ktk lugha ya kiarabu jina lake (hutoholewa) hutokana na herufi hizi (JIYM) na (NUUN).

Kwa mfano :bustani huitwa 'janna' kwa sababu ya kuzungukwa kwake na majani kila upande pasiweze kuonekana ndani.

Mfano wa pili. :Elimu ya uzazi huitwa 'Ilmul ajinna' kwa sababu ya kutoonekana kwake kile kilichokuwemo tumboni mwa mzazi.

Na majinni nao wamepewa hilo jina kwa sababu ya kutoonekana kwao kwa macho ya binadamu.

Ukichunguza hayo maneno 'JANNA' 'AJINNA ' na' JINNI' yana herufi ya JIYM na NUUN ndani yake.

4)
WANATAJWA WAPI KTK VITABU VYA DINI?

Jibu: Hawa majini wametajwa ktk Qur an na ktk biblia. Ktk Qur an wametajwa sehem tofaut tofaut na pia ipo sura inyowaelezea kwa kirefu, sura ya 72.

Pia ktk biblia wametajwa katika maeneo tofauti tofauti.
Mfano 1wafalme 13:17 walihusishwa na ujenzi wa nyumba ya nabii suleyman.

Pia ktk yuda 1:6-na 2kornto 11:14-15 biblia inawatambua majini km malaika waovu.
Ila ikumbukwe kuwa malaika waliumbwa kwa nuru na majinni kwa moto

Yuda 1:9 imemtaja kwa jina la "IBLIS" Kama alivyo tajwa ktk quran. Yuda 1:9 "lakini malaika mkuu alipo shindana na ibilisi na kuhojiana naye...."
Pia ufunuo 20:10 inasema ibilisi mwenye kuwadanganya watu atatupwa kwenye shimo la moto.
Hata ukisoma quran 6:128 inasema hao majini waovu na wafuasi wao wa kibinadamu wataingia Motoni.

(5)
NAMNA YA KUWADHIBITI
Jibu: kuwadhibiti kwake ni kwa kuisoma quran. Ukiisoma ayatul kursiy asubuh basi unajilinda nao tangu hiyo asubuh mpaka jioni yake.

Na pia Ukiisoma tena kwa hiyo jioni basi utajilinda dhidi yao mpaka asubuh yake.

kwa kifupi pendelea kuisoma hii ayatul kursiy In shaa Allah Mwenyezi Mungu atakuepusha nao.

(6)
MAUMBILE YAO HALISI
Jibu: Mtume (swalla Allahu 'Alayhi wa sallam) amesema:
"majini wako namna tatu, namna moja wana mabawa wanaruka na (namna) nyingine majoka na ng' e na hawapendi kuashiria mahala pamoja na hupenda kuhama".

Atw-twabraaniy na Al-haakim na Al-Bugharary.

(7)
WANAAMINI MUNGU GANI?
Jibu: miongoni mwao wapo walio silimu na walio Baki kwenye ukafiri ambao ndio huwapotosha binamu ili waende nao Motoni siku ya mwisho .

Quran 72:14 "nasi wapo miongoni mwetu walio silimu, na wamo miongoni mwetu walio kengeuka. Walio silimu hao ndio Walio tafuta uongofu

Kwa hiyo ktk wao majini wapo miongoni mwao walio silimu na waka mwamini Mwenyezi Mungu huyu tunaye mwamini wanadamu. Nao wakitenda mema basi watalipwa Kama watakavyo lipwa wanadamu watendao mema. Na wale waovu nao watalipwa Kama ilivyo kwa wanadamu watendao waovu.

(8)
WATAADHIBIWA ADHABU GANI?
Jibu: Majini waovu wataadhibiwa adhabu ya moto. Uthibitisho ni quran

6:128 "Na ile siku atapo wakusanya wote awaambie: Enyi makundi ya Majini! Hakika nyinyi mmechukua wafuasi wengi Katika wanadamu.

Na marafiki zao katika wanadamu waseme: Mola wetu! Tulinufaishana sisi na wao, na tumefikia ukomo wetu ulio tuwekea

Basi Mwenyezi Mungu atasema: moto ndio makaazi yenu, mtadumu humo ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Hakika Mola wako niwenye hekma na mwenye kujua.

Pia rejea Ufunuo 20:10
"Na Yule ibilisi mwenye kuwadanganya akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti alimo Yule mnyama na Yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku Hata milele na milele "

(9)
JE WANAWEZA KUZAA NA BINADAMU
Jibu : Ndio quran 18:50 inaonyesha kuwa ana kizazi chake (generation) pia quran 17:64 yaonyesha kuwa anauwezo wa kuzaa na mwanadamu

Rejea visa vya majini mahaba
Utapata kuelewa zaidi Juu ya hili.
Yangu ni hayo, km kuna sehemu nimeenda wrong basi wataalam watanisahihisha
Mashallah
 
Al-Jinn 72:1
Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!

Sasa hapo Quran inatwambia " kundi moja la majini lilisikiliza" maneno anayoambiwa Muhammad na Allah.

Ni maneno gani hayo ambayo majini yalisikiliza?

Al-Jinn 72:14
Na hakika wamo(majini) katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu.

Majini yamesilimu yakawa waislamu na kupata wongofu.

Kabla majini kuwa miislamu sijui yalikuwa yana muabudu nani?

Kama majini hayakuwa maongofu basi yalikuwa maovu na machafu kabla kuwa waislamu.
Je yalimuhasi Allah au la?

Al-Jinn 72:19
Na hakika Mja wa Mwenyezi Mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga!

Majini kumzonga zonga Muhammad inaonyesha Allah aliruhusu hawa viumbe vichafu ambavyo havijasilimu kuwa karibu na sala za zake.
Kwanini hawa majini yamzonge zonge Muhammad wakati ni maovu na hajasilimu?

Ushaidi hapo juu inaonyesha hayo majini ambayo mnashirikiana nayo ni machafu kabla Qur'an wala Muhammad kuwapo. Majini kwa kifupi ni demons au mapepo ambayo biblia inasema yalimuasi Mungu. Na Quran inakiri kwamba baadhi yamesilimu. Kwa maana hiyo uislamu umejaa uchafu.
Unaposhangaa kuzongwa pia watakiwa ushangae na alivyo zongwa yesu na shetani kwa siku 40
 
The most common cause of stress is dealing with people who are radical Muslim with terrorism mentality like yours. Burn in hell with your 72 virgins in heaven.
Ugomvi wa nn ss mnafikia kutukanana mitandaoni hebu kuweni grown up bac kama ni vp kila m2 c ana imani yake
 
Ugomvi wa nn ss mnafikia kutukanana mitandaoni hebu kuweni grown up bac kama ni vp kila m2 c ana imani yake
Hamna matusi hapo! Ukisoma Quran na magazeti duniani kote utakuta maneno kama 'Radical muslim au Al Qaida katika magazeti, burn in hell katika Quran, Terrorism katika magazeti na 72 virgins katika hadithi.'

Kwahiyo, hamna matusi hapo, ukisomasoma bila kukariri utakutana na maneno hayo, wala siyo yakitoto au kiimani!
 
UPENDO NA AMANI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom