Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Soma biblia jini ndio pepo .soma Luka 10:17-20Kwenye bible hamna msitari unaotaja jini?
Nani kasema lina mapungufu??Hebu nieleweshe kwanini mna biblia ya agano la kale na biblia ya agano jipya? Lile la kale lilikuwa na mapungufu gani mpaka wakatengeneza agano jipya?
Biblia ni maneno ya mungu...je maneno ya mungu yana mapungufu? Kama hayana kwanini kuwe na biblia ya zamani na mpya?
Hilo agano jipya amelitunga nani?
Naomba unijibu maswali yangu...
You are the one who has poor communication skills.I am sorry by saying you have very poor communication skills ,your problem is you read for the intent to reply not to understand.
I did Not say that in Quran there is truth and lies ,i did not say that in bible there is truth and lies .
I said in Islam there is truth and untruth ,I said in Christianity there is truth and untruth.,so you must be very smart to understand my words ,just get your mind right ,I am sure you will understand.
You are replying things I didn't even say ,interesting.
In addition, you can't say that you personally respect Christianity while at the same time claiming there's some lies and truth in it. JUST RE READ THESE WORDS YOU HAVE WRITTEN AND SEE HOW THEY SOUND TO YOU [emoji844][emoji844]
Who gives you the authority to judge the Bible? WHO GAVE YOU AUTHORITY TO BELIEVE IN CHRISTIANITY ?? Then see how it sounds [emoji844][emoji844]
I'll tell you one thing that christians holy book is the Bible, WHERE DID I SAY THAT YOUR HOLY BOOK IS NOT BIBLE[emoji780][emoji780]DO YOU SEE NOW THAT YOU ARE REPLYING THINGS I DID NOT EVEN WRITE ,[emoji844][emoji844][emoji844]poor communication skills .
we strongly believe that it's all truth and nothing but the truth from Almighty God. EXCUSE ME ,YOU SHOULD SAY I STRONGLY BELIEVE,NOT WE STRONGLY BELIEVE[emoji777],THEN YOUR STRONG BELIEF DOES NOT CHANGE THE TRUTH,SINCE YOU HAVE ENCRYPTED TO BELIEVE THAT ,IT IS ALL RIGHT,BUT THE TRUTH IS ALWAYS THE TRUTH ,WHICH IS IN CHRISTIANITY THERE IS TRUTH AND UNTRUTH,WHETHER YOU ACCEPT OR NOT BUT THAT IS THE TRUTH AND IT HAS ALWAYS BEEN DISTURBING THE WAY IT DISTURBS YOU [emoji844][emoji844][emoji844]
AND LET ME TELL YOU ONE THING SIR ,
BIBLE IS THE BOOK WHICH HAS BEEN TRANSLATED IN DOZENS OF LANGUAGE from its original language,AND CHRISTIANS RELY ON THOSE TRANSALATIONS AS THE WORD OF GOD OR JESUS SAID ,the interesting part is ,do you know what happens when you translate something and rely on it as the origin one ,[emoji845][emoji845][emoji845]THINK ABOUT it .
Do you get that? NO ,I DO NOT GET THAT[emoji844][emoji844][emoji844]
your malnourished brain get , SO DO I [emoji845][emoji845]GET YOUR MIND RIGHT ,YOU WILL BE FINE.
You must be a nutcase to claim that the Qur'an has truth and lies especially when you are also a Muslim! [emoji777][emoji777][emoji777]THESE ARE YOUR WORDS NOT MINE ,YOU ARE REPLYING WITHOUT EVEN UNDERSTANDing THE WORDS ,YOU ARE VERY INTERESTING CREATURE.
Do you think that is what Muslims believe that their Noble Qur'an contains some truth and falsehood? [emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777]WHERE DID I SAY THAT QURAN CONTAINS LIES ? DO YOU SEE THAT YOU ARE THE PERSON WHO JUST PREPARE TO REPLY NOT TO UNDERSTAND,poor communication skills [emoji844][emoji844]
You are the one who has poor communication skills.
This little dictionary below will help build up your vocabulary..
Truth in Swahili is kweli
Untruth is Si kweli
Uongo is lies
Next time, use the right word to make sense or just keep quiet! In addition, writing or speaking English doesn't mean you can reason logically. It's just a language that even people like you can speak while believing in satanic verses.
New version huwa ni maboresho ya old version...kama hakukuwa na mapungufu kwanini wametengeneza nyingine? Au kuna sheria zinawabana watu flani flani ndiyo maana wakatengeneza agano jipya?...nieleweshwe!!!Nani kasema lina mapungufu??
Nani katengeneza agano jipya na la kale???
Sasa mtumishi awadanganye waumini kwa kuwaambia wale majani ili iweje? hata hao watumishi unaowaona wewe kuwa wa kweli,je unaweza kuthibitisha vp kuwa wana roho mtakatifu na shetani tu?Sio kila mtumishi ana roho MTAKATIFU, wengine wanatumia hilo jina kudanganya waumini na nadhani wanaonekana kwa matendo yao
Hila za shetani na hadaa zake ni mbio za sakafuni tu.Vitimbi vya shetani ni dhaifu mno,lakini wengi wetu hatujui tu.Hapo umezungumzia majini ktk elimu ya kiislamu. Kweli yako hivyo ktk uislamu. Kinyume na imani hiyo, yooote ni mashetani ibilisi tu. Nikupe kakwizi kadogo tu, hivi unadhani kwa uwezo huu ulioutaja, na kwa dhambi zao na kulaniwa kwao na nia yao ya kushindana na Mungu wangeweza kufanya mangapi ktk kutimiza nia zao?
Marekani, binadamu wameunda falsafa kadhaa za kutuhaadaa mfano demokrasia na haki za binadamu, wengi tumenaswa humo pasi kuona hila zao. Unadhani hila za shetani (jini) zingekuwa na ukubwa gani? Nimemjibu yule aliye leta thread yake kwamba ingewezekanikaje mtu asiyejua kusoma na kuandika, ayajue yaliyo makuu?
Neno jini lina maana gani hadi hao malaika waliyoasi mnawaita majini?Mkuu, labda hujaelewa kitu hapa. Si kwamba Ukristu hautambui uwepo wa viumbe kinzani na Mungu.... la hasha. Ila ni akina nani hao? Kwa ukristu hao ni malaika waovu walokwishalaaniwa, hakuna wema huko. Hivyo hakuna waumini wakikristo ktk uzao wa majini. Ni hivyo tu. Pepo waovu, pepo wema ni malaika ingawa haisound vyema sana.
Mbona nasikia Mashahidi wa Yehova hawana sifa za kuwa wakristo.Duh! Pliz pliz ondoa neno 'washirika' mkuu, weka ndugu zao. Nao ushirika ni mkubwa kuliko udugu. Hivi hawa jamaa wana macho kweli? Nikiwa wazi saana, nitasema mashaka niliyonayo juu ya uislamu,.sema sidhani kama kuna muislamu atakaye kuwa huru kunisikiliza.
Nawapenda mashahidi wa Jehovah, wako huru kwa lolote uwaambialo. Embu tumuombe mmoja huru ajitokeze.
Kumbe hata wewe hujui ila unadhania tu.mimi nilidhani unakwenda kunipa mapungufu hayo na walioitengeneza hiyo mpya!!!!.New version huwa ni maboresho ya old version...kama hakukuwa na mapungufu kwanini wametengeneza nyingine? Au kuna sheria zinawabana watu flani flani ndiyo maana wakatengeneza agano jipya?...nieleweshwe!!!
Sasa kwa nini wao hawasamehewi ila binadamu akimkosea mungu anasamehewa?Majini ni kundi la malaika waovu/ waasai au mashetani. Hawa ni roho hawana mwili hivyo hawazai,hawafi wala kuzeeka. Waliumbwa na Mungu ili wamtumikie. Nikosa kuwaomba msaada wa aina yoyote.
Isaya 14:14 inamzungumzia nani?Uf. 12:7-12 “Kulikuwa na vita mbinguni, Mikael na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake, nao hawakushinda wala mahala pao hapakuonekana tena mbinguni. Yule joka akatupwa yule mkubwa nyoka wa zamani aitwaye ibilisi na shetani audanganyaye ulimwengu wote, akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye. Nikasikia sauti kuu mbinguni ikisema sasa kumekuwa wokovu na nguvu na ufalme wa Mungu wetu kwa maana ametupwa chini mshitaki wa ndugu zetu yeye awashtakiye mbele za Mungu wetu, mchana na usiku. Nao wakamshinda kwa damu ya mwanakondoo na kwa neno la ushuhuda wao ambao hawakupenda maisha yao hata kufa. Kwa hiyo shangilieni enyi mbingu, nanyi mkaaao humo. Ole wa nchi na bahari! Kwa maana yule ibilisi ameshuka kwenu mwenye ghadhabu nyingi akijua ya kuwa ana wakati mchache tu.”
Ina maana ukiwa na roho mbaya unageuka malaika?Ukishakua na ROHO mbaya tuu wewe ni JINI
Mmmmmh kwahiyo kisa tu iblisi hakumsujudia Adamu, akapata hiyo adhabu.....kumbe iblisi aliumbwa ili amsujudie Binadamu duuuu hii Kali sasa....Ila leo nmejifunza kituAliyekataa kumsujudia(kumtukuza)Adam ni Iblisi,Iblisi ndio alikiwa miongoni mwa malaika,alipoasi ndio akawa iblisi.Hivi ni viumbe wawili tofauti,kuna jini na Iblisi,ndio masna mtu akifanya jambo ovu,kama kubaka,hasemi jini kanipitia,asema shetani kanipitia au iblisi kanipitia.
Kwenye Qur'an(sio tafsiri),aliyetajwa ni Iblisi,hakuandikwa shetani,ndio maana unaposoma tafsiri ya Qur'an,husomi Qur'an,unasoma tafsiri ya Qur'an.
Hakuna jini baya au zuriMkuu hukemea nini wakristo Majini wabaya au wazuri au mapepo mazuri au mabaya
Swali lako hata sijalielewa.Kwahiyo wewe ukisikia nabii au roho mtakatifu ndo tiari unajua ni mkristo
Mtayatoaje wakati ni waumini wa dini moja na mnaswali nayo misikitini mkuuMajini yapo kanisani na kwa wanganga wakienyeji tu, huko ndio kila siku hutolewa lakini msikitini hakuna ibada ya kutoa majini.