Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,953
- 3,459
Wanajua uwezo wa akili wa jamaaHizi chuki zenu kwa Makamba hazitawasaidia.
Jamaa yupo fiti anachapa kazi. Wenye wivu mjinyonge ndo imeshakuwa.
Na wanajua uwezo wa Makamba kisiasa
Wameanza mapema kumchafua ili ionekane Makamba sio bora
Lakini wanajua anawazidi mbali
Kiakili, busaraz mtazamo, exposure, network nk