January Makamba must go

January Makamba must go

Acha kumshukia Makamba, tatizo la kukatika umeme ni la kiufundi na miundo mbinu yake, uongozi kubadili hamuwezi imarisha upatikanaji wa umeme, tuwaombe waongeze juhudi kutatua matatizo ya kukatika umeme!
Unataka kusema ufundi huo ameleta mheshimiwa mpya? Maana miaka 6 ya JPM mambo yakukatika kwa umeme tulisahau. Sasa kinachoendelea ni nini? Kuna ng'ombe amekonda anatakiwa kulishwa eeh? IPTL kwani bado ipo?
 
Ni kosa la nani? Kwanini unakatika katika?
Unakatika sababu tumekalili kuwa ili uwe Umeme lazima tupatiwe na Serikali kama ilivyo Elimu bure.
Tufike mahala Umeme uwe ni wajibu wa mtumiaji kutengeneza Umeme wake kama ilivyo kwa Taa za barabarani.
Weka Solar, pika kwa gesi, saga kwa kinu ,nyoa kwa mkasi nk. wakati tunasubili Nyerere Hydropower Project kukamilika.
 
Unakatika sababu tumekalili kuwa ili uwe Umeme lazima tupatiwe na Serikali kama ilivyo Elimu bure.
Itakuwa unatumia sheria za wapi wewe? Kisheria, haturuhusiwi kuzalisha umeme. Sasa unataka tumlaumu nani? Au una magenerator unataka kutuuzia?
Nchi hii shida yetu ni rushwa. Imetukaa mpaka inakaba koo
 
Kumbe tatizo sio Waziri wa Nishati, tatizo ni Waziri wa Sheria...
Au?
Pambaneni na Waziri wa sheria sasa.. 😀😀😀😁😇😆
 
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo

Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani

Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?

Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?

Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana

Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu

Mamilioni wakose umeme ili wajinga wachache wa import generators?

Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea stupid

MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Kitengo watawajibu keep cool wapokazini kwa sasa... Pray
 
Hata kazi ajaanza vizuri unasema aondoke? Mimi nataka atimize target yake ya kuongeza wateja.

Makamba kuna wateja wengi sana wameomba umeme lakini kuna ukiritimba ,ujinga na rushwa sana Tanesco,imagine sehemu ya nguzo 7 au 8 na kuna wakazi wengine mtu unaomba umeme inachukua karibu miezi 8 kupata control namba na hapo ukipata control namba inabidi uhesabu miezi mtatu ndio uwekewe ,huu utaratibu ni JANGA.
Unamaanisha hayo yote makamba atayaondoa? Sahau kabisa
Hivi ni kwamba unajisahaulisha kuwa hii ni serikali ya CCM?
 
Ndio maana mimi nasema sasa hivi mtu akiwa na nafasi aibe apendavyo!

Yani sasa hivi hata mtu akiwa mbovu vipi akisemwa anasingiziwa marehemu.

Ndio maana mimi nayadharau sana machadema
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mataga johnthebaptist mama D jitombashisho msaidieni mwenzenu anachanganyikiwa.
 
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo

Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani

Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?

Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?

Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana

Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu

Mamilioni wakose umeme ili wajinga wachache wa import generators?

Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea stupid

MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Kwani Makamba ni muumini wa umeme wa kukodi mjenereta?au kukodi mitambo ya gesi?
 
2005-2010 mh.January Makamba alikuwa ni msaidizi wa mh.Rais Kikwete.....unataka kusema kuwa KAZI BORA za mh.Rais Kikwete hazikuwahi kuandikwa na GAZETI LOLOTE LILE?!!!!

Unazungumzia UDINI?!!

UDINI?!!
UDINI?!! Khaaaa 😳😳😳

Kesho ni Oktoba 14....hebu uone aibu.....ionee aibu nafsi yako.....

#Nchi Kwanza

#Siempre JMT
Na wewe taahira kazi yako kujificha kwenye udini! Ukiona mvaa madera yeyote hata kama ni mjinga kazi kupongeza! Kwa akili yako huyo makamba anauchapakazi gani? Mbona watu hawamzungumzii Mbarawa kwa sasabu wanajua utendaji wake!
 
Umeme sio kosa la Waziri.
Kosa ni kutokutumia fursa zilizopo kupata Umeme wa kutosha.
Mfano, Umeme Jua,
Hiyo ridiculous argument kwamba Waziri hawajibiki kwa masuala ya umeme aliisema January Makamba siku ya kwanza alipoenda TANESCO, eti yeye hataki kuitwa kwenye kero za umeme, wamalize shida za wananchi wenyewe.

Vice President Mpango kakataa huo upuuzi. Juzi kamtumia ujumbe mkali, kaagiza Waziri aende Kigoma immediately kushughulikia matatizo ya umeme.

Makamba anamdharau sana Samia Suluhu, anajiona so high and mighty kushuka kushughulikia matatizo ya wananchi. Waziri wa NIshati unataka kujitoa kwenye majukumu na lawama za umeme, una wazimu ?

January Makamba is not up to the job. Amerudishwa kwenye cabinet kwa sababu ni mjumbe wa duara la ndani la Jakaya KIkwete.
 
Huo ufundi na miundombinu haijaleta shida siku zote mpaka alipoteuliwa Makamba tu ndio ianze kuleta shida?
Fafanua hapo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hauna kumbukumbu? Kisa cha kufumua uongozi wa tanesco hadi bodi yake hauijiwi? Basi juwa kuwa kukatika kwa umeme, kwahiyo tatizo bado linaendelea licha ya kubadili uongozi, sasa ni wakati wa kushughulikia chanzo halisi sio maneno ya chuki na kuleta siasa!
 
Mtu aliyepinga ujenzi wa bwawa la umeme leo hii ndiye kiongozi kwenye wizara husika. Yajayo yanasikitisha.
Alitoa mawazo yake km mtu wa mazingira (kwa wakati huo) na hilo bafikiri lilikuwa jukumu lake. Muamuzi wa mwisho ni raisi, nae akasema ujenzi uendelee basi mjadala unakuwa umefungwa na kila mmoja anapaswa kutekeleza lililopitishwa na raisi. Sasa shida yako nini?!!!!
 
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo

Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani

Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?

Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?

Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana

Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu

Mamilioni wakose umeme ili wajinga wachache wa import generators?

Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea stupid

MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Chuki zako tuu zinakusumbua hakuna utakachobadilisha..

Kwa akili zako za matakoni ulete generator kwa ajili ya nini sasa wakati mwakani umeme utaanza kupatikana?

Unajua kwamba miaka 6 hakuna chanzo kipya cha umeme wewe na Mwendazake mumekiweka ? Hadi sasa mikoa ya Kigoma,Katavi,Rukwa na baadhi ya Wilaya zinatumia generator za mafuta kufua umeme?

Inashangaza Sana mtu kakaa madarakani miaka 6 anashika huku anashika kule kama mwanamke hakuna alichokamilisha.Umeme wa Gas wa JK ndio hadi leo unatumika afu unakuja kubwabwaja matapishi hapa pumbavu.
 
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo

Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani

Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?

Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?

Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana

Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu

Mamilioni wakose umeme ili wajinga wachache wa import generators?

Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea stupid

MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Makamba kaingia juzi tu, kipondi Cha Kalemani umeme ulikatika mkawa mnalalamika, saivi hapo hata hueleweki una chuki gani dhidi ya Makamba. Mwache Makamba afanye kazi
 
Back
Top Bottom