TANESCO haijawahi kuendeshwa kwa weledi tangu ianze. Mainjinia wa TANESCO, sio mainjinia wa umeme bali ni wasaini makaratasi tu. Hawawezi kujenga hata njia ya 50km ya umeme.
Kwa hiyo mtu akisema kuwa eti kuiendesha TANESCO unahitaji kupata technical know how toka ndani ya TANESCO, ni upuuzi. TANESCO haijawahi kupata faida hata mwaka mmoja. Ni shirika linalohitaji kufanyiwa mabadiliko makubwa.
Huyu anayelalamika, hajitambui. Kuna wakati hapa, watu wamekaa kwa karibia wiki zima bila umeme kwa sababu mfumo wa ununuzi uligoma, waziri alikuwa January?