January Makamba must go

January Makamba must go

Yaani mh.Rais amteue ndani ya muda mfupi halafu "mgaigai" wewe unaleta "pang'ang'a" zisizo mashiko....😳😳

2048084_IMG_20190430_104842.jpg

2048143_Ufisadi_Makamba.jpg
 
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo

Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani

Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?

Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?

Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana

Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu

Mamilioni wakose umeme ili wajinga wachache wa import generators?

Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea stupid

MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Ili aje nani mkeo?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ukamilifu wa mradi wa bwawa la umeme mwalimu Nyerere unahitaji jumla ya Trilioni 6.5.....

Mpaka sasa serikali sikivu ya awamu ya 6 imeshatoa zaidi ya Trilioni 2.......

Mh.Makamba anakwenda kuusimamia mradi umalizike hiyo Juni 2022......

#Kazi Iendelee Kwa Kasi& Weledi Zaidi

#Siempre JMT
 
TANESCO haijawahi kuendeshwa kwa weledi tangu ianze. Mainjinia wa TANESCO, sio mainjinia wa umeme bali ni wasaini makaratasi tu. Hawawezi kujenga hata njia ya 50km ya umeme.

Kwa hiyo mtu akisema kuwa eti kuiendesha TANESCO unahitaji kupata technical know how toka ndani ya TANESCO, ni upuuzi. TANESCO haijawahi kupata faida hata mwaka mmoja. Ni shirika linalohitaji kufanyiwa mabadiliko makubwa.

Huyu anayelalamika, hajitambui. Kuna wakati hapa, watu wamekaa kwa karibia wiki zima bila umeme kwa sababu mfumo wa ununuzi uligoma, waziri alikuwa January?
Kubishana na watu wajinga kama nyie ndio shida.

Hivi we ukiambiwa mtambo wowote Kinyerezi power plant unasumbua unajuaje ni easy fix au complicated job; bila ya engineer. Si unategemea fadhila yake tu kama huna mtu wa upande wako kama wewe sio engineer.

Pili TANESCO imeshapokea zaidi ya tsh 2.5 billion za wateja wanaosubiri kufungiwa umeme sasa gawanya bei ya kufungiwa umeme upate idadi ya wateja wanaosubiri.

Kutokana na changamoto hiyo moja tu, malalamiko ni mengi. If you were an M.D. ungetaka info zipi za capacity planning na job break down structure kutoka kwa engineers wako ili utoe kibali cha kuajiri idadi ya watu sahihi hiyo kazi ikamilike ndani ya mwaka.

How do you argue with their numbers if the costs is too high kama huna engineers to confer too
for second opinion. Besides unajuaje waliopo kama ni wazembe tu given the job info, pengine they could have reached more people if they were using their time efficiently.

Mtu mwenye timamu angeanza na ‘quality costs’ kubaini what is wrong, then apange safu yake based on evidence.

TANESCO sio tu kwamba inazalisha umeme, bali inanunua pia kwa wazalishaji wadogo wadogo kibao wanao feed kwenye national grid wanamadhara gani kwa shirika mitambo yao ikiaribika na support zipi wanazo kwa sasa.

Hujui ata kama shirika mwaka 2020-21 limetengeneza net profit ya tsh 45 billion; halafu una ongea ujinga wa vitu usivyoelewa vya management ya shirika la umeme.

Mpuuzi wahed, yaani we unaweza endesha shirika lililo technical bila ya input ya experts on your decision making; tafadhali usipotozee watu muda na mambo ya kipuuzi.
 
Masalia Sukuma Gang....na bado
Nchii sio ya kundi fulani, alafu mnatuimbia mapambio ya ooooh tunatumbua wazembe tunaweka wachapakazi, mmmmmh makamba ndio mchapakazi wa kupewa shirika kubwa kama hili mmmmm, mnatania tu.

2048143_Ufisadi_Makamba.jpg

2048084_IMG_20190430_104842.jpg
 
Maisha ya watanzania wengi ni magumu sana kwa wakati huu
Upatikanaji wa umeme wa uhakika unasaidia angalau kwa kiasi fulani kuganga hela za kuendesha maisha kwa shida shida hivyohivyo

Tunapokuwa na umeme wa kubahatisha unatuweka kwenye hali gani

Lakini mbali na watanzania maskini ni hasara kiasi gani inatengenezwa kunapokatika umeme?

Makamba aondoke atuachie TANESCO yetu
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?

Kuna siri gani kati ya Rais kumuweka Makamba kwenye hii wizara?

Dunia ya mwaka 2015 kurudi nyuma siyo ya 2021 Makamba asitake kuturudisha nyuma ni jambo lisilowezekana

Kwa kipindi hicho tuliamini umeme hautoshi tukaishi maisha yale lakini kumbe tunao umeme wa kutosha kabisa ni ujinga ujinga wa makanjanja wachache tu

Mamilioni wakose umeme ili wajinga wachache wa import generators?

Mtu mwenye mawazo haya hafai hata kuwa baba wa familia watoto wake inabidi asaidiwe kulea stupid

MAKAMBA AONDOKE UWAZIRI UMEMSHINDA
Tanesco ibinafsishwe
 
Atakufa uje eeh
 
Hatuna pa kwenda kulalamika, ila chamoto tunakiona wote, sisi na nyie wapiga makofi na waimbaji wa mapambio
Mtahangaika sana...ameshateuliwa.....yaani watu wa VETTING wamjue vyema halafu wampendekeze vizuri tu?!!!

Mwamba yuko ofisini anamsaidia mh.Rais kututimizia mahitaji wetu watanzania 💪
 
Acha kumshukia Makamba, tatizo la kukatika umeme ni la kiufundi na miundo mbinu yake, uongozi kubadili hamuwezi imarisha upatikanaji wa umeme, tuwaombe waongeze juhudi kutatua matatizo ya kukatika umeme!
Pamoja na mapungufu ya JPM mbona umeme haukuwa unasumbua kama saizi, tuseme alikuwa dictator mpaka umeme ulikuwa hausumbui? Nchi ya kijinga sana hii
 
Kuna mtu aliupata uongozi wa nchi kimakosa katuachia matatizo makubwa sana ikiwemo ubaguzi wa ukanda na ukabila.
Wakati mwingine tufuate ule ushauri wa Diallo ni muhimu sana.
Huyu unayemsema nikweli alikuwa na mapungufu yake, ila umeme tulisahau kukatika katika mkuu, hakuna mkamilifu ila hili la umeme halivumiliki
 
Mimi si mwanasiasa ni mtanzania tu Makamba hata akiwa Rais ni kwa faida yake siwezi kuwa na chembe ya chuki kuhusu hilo
Kwa sasa haipiti siku umeme haujakatika na ikibidi zaidi ya mara moja kama leo umeme umekatika saa tano na umerudi saa tisa jana vilevile na nikila siku tulisha sahau haya mambo wewe tuambie ni nini hiki siyo kukosa hoja na kutuambia tuna chuki kivipi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
amesha isha nuyo jamaa, msihofu,,mungu yupo upande wetu
 
Back
Top Bottom