Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Cha Moto kipi usemacho?!!!Hatuna pa kwenda kulalamika, ila chamoto tunakiona wote, sisi na nyie wapiga makofi na waimbaji wa mapambio
Yaani ukose tonge la ugali uishambulie serikali?!!!
Mtu mwerevu anapopata mtihani wa kukosa tonge la dona hukopa kwa ndugu na majirani....hayo ndio maisha...unataka maisha gani?!!
Uteuliwe nafasi ya Makamba?!!!