Mimi nakuhakikishia uwezo wa hao jamaa hauna shaka labda uwe hujawahi kusimamia miradi mikubwa huna exposure ya ku run big project ndo utakua na wasiwasi
Kuna watu duniani awajawahi kuajiriwa na wala kumiliki biashara; na ni millionaires wakubwa tu.
Source ya hela zao ni wise investments tu katika kununua na kuuza hisa, au kamali za trend ya uchumi. Watu kama hao info muhimu kwao ni government policies katika sector husika, financial statement za mashirika, uelewa wake wa finance accounting, ability to analyse it and business management knowledge.
Hizo info tu maamuzi ya managers kwenye kampuni aliyowekeza akijumlisha na uelewa wake is enough to decide either to hold on to his shares or time to sell.
Sasa kama unaelewa wa maswala ya management na finance; mbele yao sio nzuri kwa TANESCO hizi ni early warning huyo mtu abadili course of action.
Mwisho wa siku Makamba na team yake ndio wenye dhamana ya kuamua direction kwa utashi wao; but given business reasoning so far na hatua zake za awali the strategy is doomed to fail.
Tutarudi hapa mwakani TANESCO wakishatengeneza loss; hiyo itakuwa ni drop kwa mara ya kwanza.
Kwa sababu japo TANESCO wametengeneza faida mwaka huu nevertheless for the past four years financially they had been improving each year na mwaka uliosha ndio wametengeneza faida for the first time.
So bench mark ya Makamba mwakani ni net profit ya shirika above tsh/45 billion anything less is a failure.