January Makamba must go

January Makamba must go

Nasahau sana kama makamba ndiye aliyeiba kura za kutosha kumuweka Magufuli inamana Magifuli akidema mtu fulani haifai ndio sheria
Kwaio maneno yake ni ya kweli amekuwa mungu sasa

Nyerere alitufundisha kiongozi akizungumza msisikilize maneno tu mtazameni na sura je kweli anamaanisha anachokisema..hio wazungu wanaita “intuition” sasa JPM alihit that level alichokisema tulikiamini beyond reasonable doubts sasa watanzania tumeshika maneno yake km msaafu

Kiongozi km analeta ukakasi kwenye mambo nyeti ya taifa akae pembeni wataalamu tunao wengi tu na wenye uwezo kuliko yeye WAPO…
 
Kwa hiyo kiongozi akiwa serious ndo unaamini kama anachokisema ni ukweli
 
Hizi chuki zenu kwa Makamba hazitawasaidia.
Jamaa yupo fiti anachapa kazi. Wenye wivu mjinyonge ndo imeshakuwa.
Hili sio suala la chuki. Trend inaonyesha zama za Jk tulikuwa na tatizo uchache wa umeme tukaingia mikataba tukapigwa tusijisahaulishe issue za RICHMOND. DOWANS, SYMBIONS, AGGRECKO.
Zama za JPM amepambana tusitegemee makampuni binafsi ya kuzalisha umeme, akaanzisha stiglers gorge lengo kuzalisha umeme wa kutosha na ziada.
Tunapoelekea kutatua tatizo ndio anatokea fala mmoja anayejiona mjanja eti anataka abinafsishe shirika lililoboreshwa..?
 
Acheni chuki za kike.
January is here to stay.
Kumroga hamuwezi Wala kummiminia risasi Kama Lissu hamuwezi.
 
Acheni chuki za kike.
January is here to stay.
Kumroga hamuwezi Wala kummiminia risasi Kama Lissu hamuwezi.
Naona kuna watu walikua wanafaidika na tanesco sasa kuondolewa kelele zimekuwa nyingi
Tunajua kampuni zao zina wasiwas kama wataruhusiwa kuuza nguo za zege tanesco au ndo basi tena wamekuja hasara lazima wapambane
Nilifikir wangetakiwa kumuwin Waziri sio kumuandama hadi kila mtu anajua kuna genge linachukua binafsi na Makamba
 
Hili sio suala la chuki. Trend inaonyesha zama za Jk tulikuwa na tatizo uchache wa umeme tukaingia mikataba tukapigwa tusijisahaulishe issue za RICHMOND. DOWANS, SYMBIONS, AGGRECKO.
Zama za JPM amepambana tusitegemee makampuni binafsi ya kuzalisha umeme, akaanzisha stiglers gorge lengo kuzalisha umeme wa kutosha na ziada.
Tunapoelekea kutatua tatizo ndio anatokea fala mmoja anayejiona mjanja eti anataka abinafsishe shirika lililoboreshwa..?
Zama za Jk makamba alikua Waziri wa NISHATI??
 
Hatumuachi! mkeo umeoa kwasababu ni kichwa ama sababu ni mwaminifu na mwenye tabia nzuri
Watu wanaompinga makamba hawamjui
Kwa uchacha alimaliza Rambo nchi hii bila sisimizi kukanyagwa the man is gifted
 
Hili sio suala la chuki. Trend inaonyesha zama za Jk tulikuwa na tatizo uchache wa umeme tukaingia mikataba tukapigwa tusijisahaulishe issue za RICHMOND. DOWANS, SYMBIONS, AGGRECKO.
Zama za JPM amepambana tusitegemee makampuni binafsi ya kuzalisha umeme, akaanzisha stiglers gorge lengo kuzalisha umeme wa kutosha na ziada.
Tunapoelekea kutatua tatizo ndio anatokea fala mmoja anayejiona mjanja eti anataka abinafsishe shirika lililoboreshwa..?
kama kweli huna chuki na JM tunaomba utuletee clip au sehemu yoyote aliponukuliwa akisema anataka kuibinafsisha TANESCO.
 
Naishi Tanzania mkuu na haya yanatokea hapa hapa sasa kwanini nisiwe na uhakika

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Inamana ni eneo lenu tuu ndio umeme unakatika
Kipindi cha Mwendazake umeme ulikua unakatika hatukuona mkilalama au kwa sababu mama ameleta uhuru wa maoni
 
Kuna familia Kama mbili zinaiona hii nchi Kama ya kwao.
Huyo kapigiwa chapuo na kajaya.
Wanadai maza ndiye akamzalia kajaya risla moja ,afu maza ni binti wa mdogo aliyemfuata babaye makongoro.
Akaunti ya kigogo saivi haishambulii uongozi ulioko madarakani Mana ni wao wanafanya wanachotaka.
Muda si muda utamuona Pena naye anapeta
Hii nchi ilikua ya Nyerere
Baadae nikawa ya Mkapa
Sasa niya Jk
Magifuli Alitaka iwe yake lakini ndotoyake haikutimia
Hakuna sehemu ambayo hakuna wazee
 
It won’t solve the main problem ‘quality costs’ that comes first in hierarchy of TANESCO’s solutions na ni jambo ambalo waziri na mkurugenzi hawana habari nalo kabisa; wapo busy na mambo ambayo hayana shabaha ya kutatua matatizo ya leo.

Hiyo siyo mifuko ya plastic TANESCO inataka know how za electrical engineering and business acumen particular operation strategy ya maswala ya umeme; sio sehemu ya kukurupuka tu kama alivyoanza.
Mimi nakuhakikishia uwezo wa hao jamaa hauna shaka labda uwe hujawahi kusimamia miradi mikubwa huna exposure ya ku run big project ndo utakua na wasiwasi
 
Sukuma gang wanajulikana kwa maneno yao yaliyojaa chuki na wivu. Nyaneng'we!

Nani kakwambia Makamba ndiyo switch ya mitambo ya Tanesco??
Unajiuliza ma engineer wako wapi
Yaani saiv wasukuma tunaaanza kuwaangalia kwa jicho la tofauti inamana wao ndio bora nchi hii kweli wasingekubali kutoka madarakani
 
Kwanini waziri Kalemani aliondolewa na alikuwa anafanya vizuri?
sipendi watu wa Jiwe, LAKINI huyu namkubali sana, Samia alimuonea/alikosea kumtoa. Makamba ni chekechea za nguvu za baba zao na si weledi vichwani mwao!
 
The man is not tactical upuuzi alioufanya ni kwenye board member kutokuweka technician wa maswala ya umeme ata mmoja na CEO ni clueless kwenye energy business; so who is going to advice him appropriately on the course of action when challenges arise.

Wengine tulisha sema huyu mtu anaji expose mapema on his abilities apparently ni clueless, hivi unaendaje sehemu kama TANESCO kwa malengo ya kupeleka mabadiliko bila ya kuwa na allies wa ndani; pili who makes changes without considering ‘change management’ strategies.

Alivyoanza TANESCO ni sawa na viongozi wa nchi za magharibi wapeleke mabadiliko kwenye proffesional sector. Changes which might be deemed unfair by workers bila ya kutafuta support ya unions zao kwanza for morale to get people on board with the changes, hiyo migomo itakayofuata utatia akili.

Bado sasa mipango yake mengine ya uwekezaji aijafanikiwa bado; the worst is yet to come trust me.

Kuna vitu mwanzoni tu unajua vinaelekea wapi.
Hahahaha kaka Makamba alihema na kupumua akasema eti “haikuwa kazi ndogo TANESCO” yaani as if eti for the past 5 years TANESCO ilikuwa inafanya vibaya, hahahaha. Kama anaangalia huu uzi aone kitu. Watanzania tunampenda sana January tena sana hasa sisi wana CCM ila kosa lake ni kushindwa kujifunza kutokana na makosa.
 
Hizi chuki zenu kwa Makamba hazitawasaidia.
Jamaa yupo fiti anachapa kazi. Wenye wivu mjinyonge ndo imeshakuwa.
Utakapotokea mgao wa umeme ndio nitajua kuwa huyu makamba mdogo ni mchapa kazi au dalali wa wauza majenereta. Ngoja muda upite.
 
Ma
Hizi chuki zenu kwa Makamba hazitawasaidia.
Jamaa yupo fiti anachapa kazi. Wenye wivu mjinyonge ndo imeshakuwa.
Malalamiko dhidi ya Mhe. Makamba ni mengi...sikilizeni hoja za watu na siyo kupuuzia tu kwa kusema "wenye wivu wanyinyonge" ...humsaidii Makamba Wala serikali kwa kauli za aina hiyo..
 
Back
Top Bottom