Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 26,769
- 54,092
Napa jua vizuri mno, ndo Mana sipa kubali sanaSana, malaya wengi mno pale
Napa jua vizuri mno, ndo Mana sipa kubali sanaSana, malaya wengi mno pale
Nili kaaga dk 10 Nika ondoka, mahali hapo ukiwa na mtu wa heshima lazima mzinguane.Disk Joker anawauliza mnauza nini , wanaitikia wanauza K,
Eti wanaume mnataka nini , wanaitikia wanataka K,
Wanawake mnataka nini, wanajibu wanataka pesa.
DJ wao ana promote sana umalaya.
Mishoga pia ipo pale
Hapana mzee, familia yangu haito wahi kugusa siasa kabisa.Naona umejua kuchagua PisiKali mwenye exposure na mambo ya Fedha pia
Hapo lazima tutegemee kumpata Waziri wa fedha kutoka kwenye uzao wenu maana Baba ni Intelligent businessman na Mama ni financial services
Na mambo yakiwa hivyo, sisi Wazee tunategemea lazima mtatuongezea pension yetu ya Kila Mwezi 😜
We huelewi kumbe, tusije kuta hiyo financial services ni chuma ulete🤣.Naona umejua kuchagua PisiKali mwenye exposure na mambo ya Fedha pia
Hapo lazima tutegemee kumpata Waziri wa fedha kutoka kwenye uzao wenu maana Baba ni Intelligent businessman na Mama ni financial services
Na mambo yakiwa hivyo, sisi Wazee tunategemea lazima mtatuongezea pension yetu ya Kila Mwezi 😜
Kwenye Siasa ndiyo kwenye hela za burebureHapana mzee, familia yangu haito wahi kugusa siasa kabisa.
Labda science, biashara na umiliki wa kampuni basi
Huyo hana mambo ya kula nauli Wala kuomba elfu 3 zako 😅We huelewi kumbe, tusije kuta hiyo financial services ni chuma ulete🤣.
Una sawazishwa, mpaka una omba nafasi milembe hospital 😀😂
Napa jua vizuri mno, ndo Mana sipa kubali sanaea
Nisha wahi kwenda choma zone kahama, pale pame tulia.Yeah, pale sio
Ntaenda siku mojaNisha wahi kwenda choma zone kahama, pale pame tulia.
Japo Mali ziko pia 😀😂
Mzee matusi Sasa hayo 😀😂, sema ita kuwa safi.Huyo hana mambo ya kula nauli Wala kuomba elfu 3 zako 😅
Pazuri mno, sema mboga nazo Zina taka kupa haribu.Ntaenda siku moja
Ahh sitaki, huko kulambishana udongo ni kugusa tu😀😂Kwenye Siasa ndiyo kwenye hela za burebure
Kama Chama watakubali na Uzee huu wa miaka 79, 2030 naenda kumpokea Mama Kijiti 😜🏋️🏋️
Magic 101 iko pande zipi?Pazuri mno, sema mboga nazo Zina taka kupa haribu.
Ila oa heshima zaidi ni magic 101
Kahama mjini, ziko 3, Kuna the fox, choma zone, na magic 101- hapa pa kistaarabu Sana.Magic 101 iko pande zipi?
Poa, Kahama naipata ila sijafika sehemu za bataKahama mjini, ziko 3, Kuna the fox, choma zone, na magic 101- hapa pa kistaarabu Sana.
Uku ni kwa wahuni kmmmkUku ndo! usiku kama mchana😃
Ziko nyingi, Sasa hivi Kuna 2 ziko pande za sheli ya olasiti ni 🔥 🔥Poa, Kahama naipata ila sijafika sehemu za bata