KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 26,727
- 58,430
basi tufanye jambazi..!!🤣🤣🤣🤣🤣Dah,nishakuwa mwanga
basi tufanye jambazi..!!🤣🤣🤣🤣🤣Dah,nishakuwa mwanga
Dah🤣🤣basi tufanye jambazi..!!
Nimeshangaa Jana nakuta lindo wazi makomredi Mmelala fofofo 😁😂 dada kulikoni
AminaWakubwa tuendelee kuwa wazalendo katika taifa letu
😂😂😂😂 Hongera sana Popo unayepata halftime na unanguvu unaweza kushika simu mwee! natafutaga hiyo chance nakosa wallah nikiwa uzalishaji viwandani.😂😂😂😂. Nasimama na mamaeeTaifa haliwezi jengwa na vijana wanaolala saa sita, population ya Taifa itaongezekaje?mida ya kutiana mimba nyinyi Mmelala hiyo nguvu mnaipata wapi jamani?hebu tuige mfano wa china....usiku ni muda wa uzalishaji viwandani pia nyie mnalala?Shime amkeni tulijenge taifa Vincenzo Jr Fake P Half american Intelligent businessman nilikuwa half time
🤣🤣🤣Mmh Sheria za viwandani haziruhusu kushika simu,ila inabidi tu kuibia kungalia kama lindo liko salama😂😂😂😂 Hongera sana Popo unayepata halftime na unanguvu unaweza kushika simu mwee! natafutaga hiyo chance nakosa wallah nikiwa uzalishaji viwandani.😂😂😂😂. Nasimama na mamaee
Intelli una oa lini, bado nipo nipo kwanza.Taifa haliwezi jengwa na vijana wanaolala saa sita, population ya Taifa itaongezekaje?mida ya kutiana mimba nyinyi Mmelala hiyo nguvu mnaipata wapi jamani?hebu tuige mfano wa china....usiku ni muda wa uzalishaji viwandani pia nyie mnalala?Shime amkeni tulijenge taifa Vincenzo Jr Fake P Half american Intelligent businessman nilikuwa half time
Unachokitafuta utakipata, Big noo, phone right zea Aikoo 😂😂😂😂 lindoni nikimuacha To yeye na mamchagaa Hope urassa napokea report nzuri tu 😂😂😂😂🤣🤣🤣Mmh Sheria za viwandani haziruhusu kushika simu,ila inabidi tu kuibia kungalia kama lindo liko salama
Halafu Joannah mbona mida ya mimba, sisi ma jobless tusha kataa Hilo swala ,😁🤣.Taifa haliwezi jengwa na vijana wanaolala saa sita, population ya Taifa itaongezekaje?mida ya kutiana mimba nyinyi Mmelala hiyo nguvu mnaipata wapi jamani?hebu tuige mfano wa china....usiku ni muda wa uzalishaji viwandani pia nyie mnalala?Shime amkeni tulijenge taifa Vincenzo Jr Fake P Half american Intelligent businessman nilikuwa half time
🤣🤣🤣 nami lindoni sikuhizi asipokuwepo Shadow7 siingii🤒Unachokitafuta utakipata, Big noo, phone right zea Aikoo 😂😂😂😂 lindoni nikimuacha To yeye na mamchagaa Hope urassa napokea report nzuri tu 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa Mr mbona mida ya kuumua mchanganyiko,wewe Ulikuwa umelala fofofo?jobless unalala Kwa usingizi Gani?Halafu Joannah mbona mida ya mimba, sisi ma jobless tusha kataa Hilo swala ,😁🤣.
Maana mambo ni mengi, imagine dell lioshwe saa 10, vianze kuchomwa saa 11 mwee🤣
🤣🤣🤣Sawa nitakuwa nasubiri report na mimiUnachokitafuta utakipata, Big noo, phone right zea Aikoo 😂😂😂😂 lindoni nikimuacha To yeye na mamchagaa Hope urassa napokea report nzuri tu 😂😂😂😂
Taifa tulijenge kwa kuchapa kazi sio kufanya hiyo tabia mbaya😎Taifa haliwezi jengwa na vijana wanaolala saa sita, population ya Taifa itaongezekaje?mida ya kutiana mimba nyinyi Mmelala hiyo nguvu mnaipata wapi jamani?hebu tuige mfano wa china....usiku ni muda wa uzalishaji viwandani pia nyie mnalala?Shime amkeni tulijenge taifa Vincenzo Jr Fake P Half american Intelligent businessman nilikuwa half time
Mie mwenyewe mjuba 😂😁
basi tufanye jambazi..!!
Nimeshangaa Jana nakuta lindo wazi makomredi Mmelala fofofo 😁
🤣🤣🤣siku ambayo mlinzi amepata nafuu na kurudi kazini anasumbua kweli🙄
😂😂😂😂 Hongera sana Popo unayepata halftime na unanguvu unaweza kushika simu mwee! natafutaga hiyo chance nakosa wallah nikiwa uzalishaji viwandani.😂😂😂😂. Nasimama na mamaee
Huu uzi zamani tuliutendea haki sisi wakongwe wa usiku wa manane. Ilikuwa ikifika alfajiri tunafunga geti tunahamia pengine. Ila nyie mmekuja hapa kuharibu mantiki ya huu uzi mnapiga kelele zenu tu huko kulana kimasihara na ujinga mwingine.Intelli una oa lini, bado nipo nipo kwanza.
Una sema, bado nipo nipo sana 😁😁
Jana nimeingia lindo kweupe kabisa hamna mtu hata mmoja nikaamua nisimamie show mwenyewe🤣🤣🤣siku ambayo mlinzi amepata nafuu na kurudi kazini anasumbua kweli🙄
Sa ngapi huko? Mkongwe unawivu wa kike seeenzHuu uzi zamani tuliutendea haki sisi wakongwe wa usiku wa manane. Ilikuwa ikifika alfajiri tunafunga geti tunahamia pengine. Ila nyie mmekuja hapa kuharibu mantiki ya huu uzi mnapiga kelele zenu tu huko kulana kimasihara na ujinga mwingine.
Sheenz, malparida.
Maghayo We ni umbwa