JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sa ngapi huko? Mkongwe unawivu wa kike seeenz

🤣🤣🤣🤣Wivu utamuaa

Pole 😁


kuwa na adabu kijana by the way kwani hili jambo linakupa ugali au wali..?? kama halikupi mbona unawashwawashwa..?😂

Sio lazima u diss watu ili usi kike, halafu kupangia watu la kufanya, ume Anza lini hizo pigo za kike??
Mbusii. Umbwaaa. Maghayo Wewe mgerasi ni nyau
 
🤣🤣🤣🤣Dah SUA walaumiwe wanabadilsha sana mbegu za mazao na wanyama wakaka wakila zinawaletea hormonal disorder
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kitaalam sana hii, miaka Arobaini na kenda (in kabudis' voice) sijui itakuaje
 
Back
Top Bottom