Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Hilo neno, Hilo neno 😁🤔Wakubwa tuendelee kuwa wazalendo katika taifa letu
Hilo neno, Hilo neno 😁🤔Wakubwa tuendelee kuwa wazalendo katika taifa letu
Taifa haliwezi jengwa na vijana wanaolala saa sita, population ya Taifa itaongezekaje?mida ya kutiana mimba nyinyi Mmelala hiyo nguvu mnaipata wapi jamani?hebu tuige mfano wa china....usiku ni muda wa uzalishaji viwandani pia nyie mnalala?Shime amkeni tulijenge taifa Vincenzo Jr Fake P Half american Intelligent businessman nilikuwa half timeWakubwa tuendelee kuwa wazalendo katika taifa letu
nyie ndo mnaotukabaga usiku..Taifa haliwezi jengwa na vijana wanaolala saa sita, population ya Taifa itaongezekaje?mida ya kutiana mimba nyinyi Mmelala hiyo nguvu mnaipata wapi jamani?hebu tuige mfano wa china....usiku ni muda wa uzalishaji viwandani pia nyie mnalala?Shime amkeni tulijenge taifa Vincenzo Jr Fake P Half american Intelligent businessman nilikuwa half time
Baridi lilinibebaTaifa haliwezi jengwa na vijana wanaolala saa sita, population ya Taifa itaongezekaje?mida ya kutiana mimba nyinyi Mmelala hiyo nguvu mnaipata wapi jamani?hebu tuige mfano wa china....usiku ni muda wa uzalishaji viwandani pia nyie mnalala?Shime amkeni tulijenge taifa Vincenzo Jr Fake P Half american Intelligent businessman nilikuwa half time
🤣🤣🤣🤣🤣Dah,nishakuwa mwanganyie ndo mnaotukabaga usiku..
Pole, kuna siku utakuta wajuba wamevunja ATM wameondoka na goboleBaridi lilinibeba
😂 dada kulikoniTaifa haliwezi jengwa na vijana wanaolala saa sita, population ya Taifa itaongezekaje?mida ya kutiana mimba nyinyi Mmelala hiyo nguvu mnaipata wapi jamani?hebu tuige mfano wa china....usiku ni muda wa uzalishaji viwandani pia nyie mnalala?Shime amkeni tulijenge taifa Vincenzo Jr Fake P Half american Intelligent businessman nilikuwa half time
Mie mwenyewe mjuba 😂😁Pole, kuna siku utakuta wajuba wamevunja ATM wameondoka na gobole
basi tufanye jambazi..!!🤣🤣🤣🤣🤣Dah,nishakuwa mwanga
Dah🤣🤣basi tufanye jambazi..!!
Nimeshangaa Jana nakuta lindo wazi makomredi Mmelala fofofo 😁😂 dada kulikoni