Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 13,844
- 20,256
jeshi la konde gang au la wokovu? huku arabs ndo majina yetu, mmezoea mtm au PwJeshini ukitumia neno Amirat ni kosa kubwa sana
Haha kama la wokovu ni sawajeshi la konde gang au la wokovu? huku arabs ndo majina yetu, mmezoea mtm au Pw
la maselaHaha kama la wokovu ni sawa
Haha we hujaacha ukorofi tu 😁la masela
Student umeamka salama
Yeah Niko poa Kabisa...kipaper on Tuesday afu sielewi kitu yaanStudent umeamka salama
Naamini umeamka salama piaStudent umeamka salama
Niko poa mkuu tunafurahia holidayNaamini umeamka salama pia
Usijali utafauluYeah Niko poa Kabisa...kipaper on Tuesday afu sielewi kitu yaan
Yeah so nice! Mi bado sijajiondoa kwa bed ....ila sasa hivi naamka nifue kidogoNiko poa mkuu tunafurahia holiday
Same to me nasubiri kuandaliwa hapa😎Yeah so nice! Mi bado sijajiondoa kwa bed ....ila sasa hivi naamka nifue kidogo
Hongera sana na ndiyo raha ya kuwa na mke mwelewaSame to me nasubiri kuandaliwa hapa😎
Kama ni mkristo usisahau leo hatupaswi kula nyama...pleaseUsijali utafaulu
Kitimoto muhimu🙄😁Kama ni mkristo usisahau leo hatupaswi kula nyama...please