Suala la kutunza fedha Benki ni lazima hasa Kwa mfanya biashara.

Unadhani utakuwa unafungaje mahesabu kwenye vitabu vyako kama huna flow ya Fedha Benki
mzee hapa Kati Nina mambo mengi, Sema Niki kaa sawa Nita eleza Hawa wakubwa Wana kwepa vipi huo mtego.

Kuna waandishi ka wawili, wame chambuaa vyema mno.
Wote wali wahi kuwa wakurugenzi wa benki kubwa duniani
 
Hongera sana kufikia stage ya kutaka kucheza mpira wa kulipwa...

Binafsi nilicheza mpira kidogo sana as niliambiwa ukifeli ndiyo biashara ya Shule itakuwa imeishia hapo

Kwahiyo nilitumia muda wangu mwingi darasani kuliko michezo

Ili kuimarisha mahusiano/Ndoa, ni lazima uwe mtu wa tizi kidogo
Hahahahaha..mimi ningekua na sapoti home ningekua ulaya saa hz nakinukisha...ila home na mpira ni paka na panya nilipoumia ndio kabisa..nikaachana nao ...

Yes siku hz mazoezi ya kulinda NDOA tu na si kingine
 
I can't resist this pain 'coz iam a "T-pain"
Nakupa hii training ya kupanda hii treni, inabidi uwe na big brain
Ili usikae kijiweni 'ngumu ku explain kama huelewi hii slang
Mishe, mishe inabidi uwe na vision
Uvishe, ulishe watoto waende ma tuition

Usiishie hapo uwe macho wapate division 'ya maisha kinyume na hapo ujue ume "kwishney"
Wanasema "kuliko aibu, bora lawama" sisi wengi tulisoma tu 'kukwepa laana
 
Hahahahaha..mimi ningekua na sapoti home ningekua ulaya saa hz nakinukisha...ila home na mpira ni paka na panya nilipoumia ndio kabisa..nikaachana nao ...

Yes siku hz mazoezi ya kulinda NDOA tu na si kingine
Changamoto ya famili nyingi Bongo wanaamini ili kutoboa maisha lazima umiliki madigrii mengi.

Hawaamini katika Vipaji i.e Mpira, Muziki,Maigizo, riadhaa, ndondi n.k

Hawaoni akina Diamond/Alikiba n.k Wana Kidato cha nne lakini wamejipata kimaisha kupitia Vipaji
 
Hahahahaha..ni kweli kabisa, ila na mm pia nilichangia maana shule zilikuwepo na mpira ulikuwepo.. ila home walitaka shule zaidi ..

Na hata serikali haiamini vipaji vingine wao wanaamini vipaji ktk masomo tu ndio maana unakuta kuna shule za vipaji ktk masomo lkn hkn shule za serikali za vipaji vya michezo
 
Jamii inahitaji kubadirika kwenye hili japo sio rahisi
 
Mie nadhani ni mkakati kuhakikisha vipaji vya michezo haikui ..maana wanajua wakivieendeleza na kuvikuza watoto wa kimaskini watatoboa wakitoboa watapata exposure hivyo itakua ngumu wao kuwatawala... hivi unadhani Tanzania kwa vipaji tulivyo navyo wangeenda ulaya kisha warudi wafanye kama wanavyofanya wachezaji wa west kule ingekuaje...yaani kama vile Saido Mane amejenga zahanati na iko full..Kanu kajenga Zahanati ya Moyo kwao ...unadhani hapa ingekuaje? So vipaji vyetu vinauliwa na wenye mamlaka
 
Umesema sahihi Mkuu
 
Umesema sahihi Mkuu
Ndiyo iko hivyo Mkuu na ndio maana timu za Kariakoo zipo zipo na watawala wana hodhi viwanja vyote vya michezo na hawaviendelezi sio bahati mby ni kwa makusudi ...na hata wale Azam mnaosema wamekuja kuleta mabadiliko nao pamoja na hela zao wana struggle..hi ni mikakati Mkuu..kama kweli kijana ni Taifa la kesho kwann wasiandaliwe sasa ?

Nakupa mfano hai Senegal..walianzq na akina diouf kutengeneza mazingira ya vijana kucheza mpira na leo hii afrika Senegal ni kinara ktk soka la vijana na hata Rais ni kijana..njoo hapa sasa..
 
Shida yetu sisi ni mfumo kushindwa kusaidia

Nadhani Mfumo iliyopo unasiadiana na Serikali kudumaza maendeleo ya Nchi yetu Kwa kushindwa kutoa njia mbadala wa namna sahihi ya kwenda mbele.

Inafikia wakati hadi maombi ya Passport za kusafiria walikuwa wanaweka uzibe ili watu washindwe kutoka nje.

Angalia hata hapo Kenya tu jinsi ilivyosapoti Wakenya kwenda Nje ya Nchi kutafuta maendeleo na kisha hayo maendeleo kuyahamishia Nchini mwao

Sisi bado tumelala
 
Mfumo unawataka wao tu na watoto wao na si vinginevyo kwa sie tuliokulia katikati ya mifumo tuyajua hayo na kuyaona..kifupi kama hauko ktk huo mfumo ujue utabaki kuwa hoya hoya tu

Nikupe kitu..Ccm ina mfumo wakulindana wao kwa wao hasa wale vigogo

Lowassa alitaka kuwa raisi ili huu mfumo uwafikie wengi na ndio maana uliona Lowassa alipendwa sana maana yeye alitaka wote wafaidi hata kdg ..mbaya hakufanikiwa...Magu yeye alitaka kuvunja kabisa huu mfumo kilichomkuta wote tunajua ..leo kuna watu wanasifiwa amabao ni wale wale na Magu na EL hawapo ...kama hamko ktk mfumo mtabaki kulalamika na kuponda watu mitandaoni huku wao wanaishi vzr sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom