Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 26,107
- 52,832
mzee hapa Kati Nina mambo mengi, Sema Niki kaa sawa Nita eleza Hawa wakubwa Wana kwepa vipi huo mtego.Suala la kutunza fedha Benki ni lazima hasa Kwa mfanya biashara.
Unadhani utakuwa unafungaje mahesabu kwenye vitabu vyako kama huna flow ya Fedha Benki
Kuna waandishi ka wawili, wame chambuaa vyema mno.
Wote wali wahi kuwa wakurugenzi wa benki kubwa duniani