Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,990
Wasalimie kaka!Kuelekea Msata
Wasalimie kaka!Kuelekea Msata
Kalale, hatulindi leoWadau mpo?
Hahahaha, mambo Mrembo JF sweetheart, umenitupa kabisa siku hzWasalimie kaka!
Kibarua kitaota nyasiKalale, hatulindi leo
Nipo best upo weye?!!Hahahaha, mambo Mrembo JF sweetheart, umenitupa kabisa siku hz
Hahahaha, nipo unanichunia sanaNipo best upo weye?!!
Hahaaa!!Mimi au wewe?!!!Hahahaha, nipo unanichunia sana
Hahahaha, nadhani ni wewe ,mm sinaga hizo tabiaHahaaa!!Mimi au wewe?!!!
Sio kweli bwana!!we ndo umeadimika!!Hahahaha, nadhani ni wewe ,mm sinaga hizo tabia
Hahahaha, Haya bana ,tutafutane basiSio kweli bwana!!we ndo umeadimika!!
Mi nipo best nimejaa tele km pishi la mcheleHahahaha, Haya bana ,tutafutane basi
Hahahaha, khs hii punch line nimeikubali ,uzuri najua pakukupataMi nipo best nimejaa tele km pishi la mchele
Hahaaa!!eti eehh!haya bwana.Karibu kuangalia movie ya Kihindi dirty pictureHahahaha, khs hii punch line nimeikubali ,uzuri najua pakukupata
Sali lalaVidonge vipi vyaleta usingizi.?
I'm tired mkanda wa matukio kupita kichwani wakati natakiwa nilale
Eeeh nakuja ,fastaHahaaa!!eti eehh!haya bwana.Karibu kuangalia movie ya Kihindi dirty picture