Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,936
- 40,518
Nawasabahi waungwana wa mji huu....!
Hatujambo bosi, kwema?
Nawasabahi waungwana wa mji huu....!
nimeshaupata, nitaufanyia kazi....heshima kwako kaka Don Clericuziobbade njoo upokee ujumbe wa kaka yako
Nawasabahi waungwana wa mji huu....!
nimeshaupata, nitaufanyia kazi....heshima kwako kaka Don Clericuzio
Kweli umeniweza......Sawa.
Since umesema ni makusudi napokea, hope ni kwa nia njema.
Kweli umeniweza......
Nia njema kabisa.....asante kwa kujali
Yaani kwa mtu ambaye unajua siyo kawaida yake inaboa, bora iwe umemzoea kwamba ndivyo anavyoandika.
Naelewa, kila kitu kinakuwa na sababu.
Ni kweli....kabisa
Hapana umenifumbua macho nikatambua mengi mazuri....otherwise ningesha nuna.....teh tehHope umenielewa pia, sorry if I was insensitive.
Hapana umenifumbua macho nikatambua mengi mazuri....otherwise ningesha nuna.....teh teh
Asante Kaka...Asante, maana niliwaza sana naanzaje kukuambia.
Uzuri najua jinsi gani ulivyo understanding.
Asante Kaka...
Hatujambo bosi, kwema?
Unasema ?Salama Kaka?