the_forum
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 774
- 1,001
Chap inakufikia,ila tatzo anaweza pita mwingine akasema ni wewNitumie anwani
Have a gud day! Hongera kwa kukamilisha lindoNikifika utajua Tu.
Asubuhi njema
Hahaha maji yalizidi unga, nikaamua kunywa uji.
😀😀😀😀Hahaha maji yalizidi unga, nikaamua kunywa uji.
Kuna mtu kaniambia eti una ujumbe wanguHaya ! Haya ! Haya !Mlete vifaa vya kazi hapa nilipo.
Basi nitamtuma mtu aje anichukulieSasa hihi kabisa,sasa tatizo sitaki nikwambie hapa changanyikeni na taka nikwambie sirini. Unanisaidiaje au tunafanyaje ?