Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,363
- 31,505
Mbona unanishinda kufungua?😉Karibu, mlango nmeegesha tu.
Mbona unanishinda kufungua?😉Karibu, mlango nmeegesha tu.
HahahaMbona unanishinda kufungua?
Nakuja.. Sema karibuMbona unanishinda kufungua?
Mpaka ukachukue kisu, naanza kuila mbichiMwenye nyama kikali ndo mla kisu mkuu.. Pambana
Nyie ndo mnatuharibia wanafunzi sioMpaka ukachukue kisu, naanza kuila mbichi
Mmmh! Mbona hatukukuona hapa?Nilikuwepo hadi mwisho
Angalia mudaMmmh! Mbona hatukukuona hapa?
Linda kamanda, kua mzalendo!Naona kuna dalili za kulinda pekee yangu
Ndo urefu wa kamba yangu ulipo mkuuNyie ndo mnatuharibia wanafunzi sio
Hakuna namna ,vipi mlango ushafungua ,mgeni wako kafikaLinda kamanda, kua mzalendo!
Mkuu kula majani ya juu zama zimebadilikaNdo urefu wa kamba yangu ulipo mkuu
Kafka kitambo ila kagoma kuingia ndani..Hakuna namna ,vipi mlango ushafungua ,mgeni wako kafika
sasa itakuaje MkuuKafka kitambo ila kagoma kuingia ndani..
Mwendo uleule mkuu, kuna p2Mkuu kula majani ya juu zama zimebadilika
Hapa Itabidi niweke dau kubwa mkuusasa itakuaje Mkuu
Kho! Kho! Kho! Unaongea na mimi au unaongea na simu?Thad hujambo baby wangu mtarajiwa?