Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,430
- 95,935
Si ufungue huo mlango ujue itakuaje 🙂Itakuwaje nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Si ufungue huo mlango ujue itakuaje 🙂Itakuwaje nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu mambo vipi00:00 naona mmehamia kulinda PM sasa ,eeeh
Hivi bado tu uko Kigali? Yaani mimi nilikuja na kurudi wewe bado tu au ndo umelowea kabisa?[emoji23]23:58
OoohNipe kwanza hayo mapesa ulisema uko nayo vinginevyo narudi zangu kwa peterchoka
Hata mimi naona[emoji23]Anaongea usingizini
Hukunitafuta ,hahahaHivi bado tu uko Kigali? Yaani mimi nilikuja na kurudi wewe bado tu au ndo umelowea kabisa?[emoji23]
Salama kabisa, MkuuMkuu mambo vipi
Mmmh! Nina wasawasi huna cha pesa wala mwana pesaHahaha laki ni pesa enzi hizi
Ukifika Izmir nistueO1:04 AM muda huu jumatano nitakuwa instanbul Turkey...[emoji16] karibuni tuizunguke dunia
HahahaMmmh! Nina wasawasi huna cha pesa wala mwana pesa
Unaniachaje wakati wewe ndo umenirudisha hapa?[emoji23]01:03 sign out
Stay safe
Mhhhh! Achana nae uyo.. Sina maana iyo.. Pesa ipoMmmh! Nina wasawasi huna cha pesa wala mwana pesa
Inamaana nikifika hatutalinda tena?Nataka ukifika niwakumbushe kufunga mlango,mzime taa na kushusha mapazia
Naona unaendelea na kibaruaSalama kabisa, Mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unamaanisha ni mchovu sio?Mhhhh ebu zoom jina lake kabla hujafikiria kurudi.
Si unaona kashajiita choka [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] unamaanisha ni mchovu sio?
Mimi mbona hunisalimii ina maana hunioni au?[emoji23]Mkuu mambo vipi
Kama kawaNaona unaendelea na kibarua