bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,459
- 12,668
Eeeh! Uelewi kabisa?? Utanikuta makutano junction nikueleweshe hapa naogopa mama nanilii.. asije akanikuta..
wanaburudisha nini?
wanaburudisha nini?
Mkuu nataka upumzke kwa wakat huu nikiandaa hoja za ThadMbona unanifukuza mkuu
Leo zamu yenu, mbona sisi jana tulikaa hapa bila suruali hata mojaYaani hapa isibaki sketi hata moja
Hii ndo tabu ya wewe kubaki peke yako, unatufanyia makusudiHivi huko pm ndo wapi, mimi mbona sipajui?
Thad haya malalamiko yanakuhusu maana umekuwa popo kwa miezi kadhaa sasaKuna malalamiko
Walinzi mnapiga sana chabo kwenye madirisha ya watu
TupooooWazee wa series tupooo..
Nilikuwepo hadi mwishoJana wanaume mlikimbia lindo kisa giza! Unalolote la kujitetea mlinzi mwandamizi?
Thad hujambo baby wangu mtarajiwa?Leo zamu yenu, mbona sisi jana tulikaa hapa bila suruali hata moja
mdo mdo mwizi anakimbizwa kimya kimyaWazee wa series tupooo..
KijanaThad hujambo baby wangu mtarajiwa?
Yaani huu ni ubinafsi na nusuMkuu nataka upumzke kwa wakat huu nikiandaa hoja za Thad
Umekuwa aslay, unatambaLeo zamu yenu, mbona sisi jana tulikaa hapa bila suruali hata moja
Naam mkuuKijana
Yaani huu ni ubinafsi na nusu
Who's your future baby?Naam mkuu
Acha kujipendekeza mkuu, au unaomba unduguNitampa bure, na bahat nzur ana mali isiyohamishika
Mwenye nyama kikali ndo mla kisu mkuu.. PambanaYaani huu ni ubinafsi na nusu
Nina ndugu kama wote, nataka nimpe fursa mtoto huyo usimbanieAcha kujipendekeza mkuu, au unaomba undugu