dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,829
- 20,336
Hapana nilikua naumwa, HB wa kigogo atakuwa yupo kwenye majukumu ya kuijenga domUmepotea lindo sana sikuhz.....hivi umemwona wap Hb wa kigogo
Hapana nilikua naumwa, HB wa kigogo atakuwa yupo kwenye majukumu ya kuijenga domUmepotea lindo sana sikuhz.....hivi umemwona wap Hb wa kigogo
Nina mpango wa kufungua mtaa wa mashemeji maana wewe tu na Neybright mmenipa jumla ya mashemeji 1000 [emoji12] [emoji12] [emoji12]Haha we nae ushilawadu haujawahi kukuacha salama
Labeka!ThaD
Furaha ya leo haishirikishiki aisee....Wacha wee embu nishirikishe nami
Inna mjibu mwenzako hili swaliInna naomba uniambie ukweli, nani shemeji yangu maana nachanganyikiwa sasa [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Jana kuna sehemu nimeumiaAcha kua kuku na ww
Kusoma hujui ata picha huoniWale tulio macho hadi time hii mikono juu!
[emoji15] hmm!! Kuna namna hapaFuraha ya leo haishirikishiki aisee....
Hiyo inaitwa ngoma ngomani...[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata Mimi Mume wa mtu mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] namna ipi tena?[emoji15] hmm!! Kuna namna hapa
Haya bana ya ngoswe ngoja nimwachie ngoswe[emoji23] [emoji23] [emoji23] namna ipi tena?
Shabash!!!! Inna njoo useme ukweli kuhusu hili[emoji35] [emoji53]Natangaza leo kuachana na Inna Rasmi baada ya kuona sio mkweli katika mahusiano.
Hivi Ngoswe aliishiaga wapi jamani? Ina maana SHILAWADU walishindwa kabisa kufatilia na kujua baada ya kesi na serikali nini kilifuata? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haya bana ya ngoswe ngoja nimwachie ngoswe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uachane kwan tulikua wote??Natangaza leo kuachana na Inna Rasmi baada ya kuona sio mkweli katika mahusiano.
Mambo ya wahenga hayo, vp mwenZIO Ajambo?Hivi Ngoswe aliishiaga wapi jamani? Ina maana SHILAWADU walishindwa kabisa kufatilia na kujua baada ya kesi na serikali nini kilifuata? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitakiii[emoji17] [emoji17] [emoji17] .nimenunaaNilikuwa nakutania bana..Fanya ukuje