1995_No_Ku_Fake
JF-Expert Member
- Aug 24, 2026
- 1,262
- 2,678
Kwetu humu popoz...💪 23:07
Ukiitwa mura unanuna. Ila ukiitwa kamanda unafurahi.When in rome do as roman.. dogo unafeli sana
Sasa si anaweza kuacha silaha sehemu ambayo haitakiwi?Dogo kichwa kibovu haelewi huyu 🤣🤣
Nikikuita manka, aisesie, apansia utaitika? Niite BhokeUkiitwa mura unanuna. Ila ukiitwa kamanda unafurahi.
Wewe ndo unafeli mchuchu.
Huyu lindo lake libadilishwe apelekwe hostel za kike..Sasa si anaweza kuacha silaha sehemu ambayo haitakiwi?
Huko ndio tutampoteza kabisa lindo litasomka tatu kwa tano,asije akapigwa picha akiwa anakoroma 🤣🤣Huyu lindo lake libadilishwe apelekwe hostel za kike..
Ukikasirika unakuwa mrembo.😊Nikikuita manka, aisesie, apansia utaitika? Niite Bhoke
Hapana niite Mura tu au chacha ..Mimi nitaamua lakukuita.. sawa dogoUkikasirika unakuwa mrembo.😊
Haya basi kakamanda kangu karembo.
Ulipotea wapi ndg...siku kadhaa sikuoniiy2313hrs
Naona kamanda unaanza kubebisha mapema kabisa,mkuu wa kikosi nikiwepo,sijui nikilaza mshale huwa inakuwaje?Ukikasirika unakuwa mrembo.😊
Haya basi kakamanda kangu karembo.
Bora tumpoteze yeye kuliko kupoteza silahaHuko ndio tutampoteza kabisa lindo litasomka tatu kwa tano,asije akapigwa picha akiwa anakoroma 🤣🤣
Muratombanyoke au mura pekee...utani don't judgeHapana niite Mura tu au chacha ..Mimi nitaamua lakukuita.. sawa dogo
Seran 🙏🤟✍️23:15
They’re all nervous like a pregnant nun 🤣
Hood night y’all 🤸🏽♂️
Tafazari bwana hivi viatu vikubwa na vizito..havijaribiki na vijanaNaona kamanda unaanza kubebisha mapema kabisa,mkuu wa kikosi nikiwepo,sijui nikilaza mshale huwa inakuwaje?
Nilikuwa kwenye operation maalumuUlipotea wapi ndg...siku kadhaa sikuoniiy
hehee, mguu pande, mguu sawa, ukizubaa tu inaingia.🤣Hapana niite Mura tu au chacha ..Mimi nitaamua lakukuita.. sawa dogo