Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,713
- 7,397
Mbaya Zaidi akiwa anachek movie kwenye laptop yakeSeroo mtu wa ajabu sana.
Anakula majani kama mbuzi ila anaweza akakuhubiria injili mpaka ukaona Yesu huyu hapa.
Mbaya Zaidi akiwa anachek movie kwenye laptop yakeSeroo mtu wa ajabu sana.
Anakula majani kama mbuzi ila anaweza akakuhubiria injili mpaka ukaona Yesu huyu hapa.
Mzee wangu.23:42
Thanks so much comrade!Safi sana,kuanzia leo ushakuwa kamanda wa kikosi rasmi
Welcome to the club broski
Nakumbuka miaka ile 2022 kama skosei ukifika Muda kama Huu unaaga mapema unaenda piga pindi kesho una pepaNdio master nipo nakaanga chipsi.
Seran niko lindo acha hizo bhanaUnajikaza sana ila kuna muda unajisahau unatukana! Hivi na ule ujeuri wako wote we ni wa kukaa unaomba efu 20??🤔
Napenda niwachanganye namna hiyo! Na praise team nimejiunga😎Seroo mtu wa ajabu sana.
Anakula majani kama mbuzi ila anaweza akakuhubiria injili mpaka ukaona Yesu huyu hapa.
Vipi umeruhusiwa kushika cm na ma k😆23:42
Nimebadilika 🙏🙏✍️Badilika!
Mzee wangu Kuna sku moja ulitoa mpya unavutiwa na binti yako wa Kazi za ndani daah nakumbuka kitambo Sana Enzi sjaanza kuwa mpole23:42
Salute sana Mzee wa Uturuk
Usiku wa Manane for life!
Watu mnatunza mafaili🤣🤣Mzee wangu Kuna sku moja ulitoa mpya unavutiwa na binti yako wa Kazi za ndani daah nakumbuka kitambo Sana Enzi sjaanza kuwa mpole
JF ni familia mojaWatu mnatunza mafaili🤣🤣
Pamoja sana mkuu, much love kwakoSalute sana Mzee wa Uturuk