JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Diet ni nzuri inategemea jinsi gani unaifanya

Kuna approach moja ya kujipongeza na kujiadhibu mwenyewe,pale unapotaka kufanya jambo fulani au kuliacha
Nimetumia mbinu imenisaidia japo inafanya kazi daster kwenye parts ambazo sijakusudia🥹

Nilikuwa nakula jioni, leo nimeona nisile kitu sasa tamaa tu ya kale kaharufu🙉
 
Hali ni shwari,lindo shwari.
Tuna maternity wawili kwa Hali zao Hawavai tena uniform Wala ulinzi hawaingii wanafanya sedentary works.. 🤗🤗
Nimepokea taarifa kamanda very impressive

Lakini hii ya kuwa maternity wawili kwa wakati moja haina afya sana kwa udhibiti wa lindo,kuna haja ya kupeana gape kati ya kamanda mmoja na mwingine,au ndio itahesabika tunawapangia watu maisha🤣🤣
 
Home g mshauri
Eti kwamba mlikua mnashindana au🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom