win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,721
- 36,565
pole usilie Sana,ndo ukubwaIla nimelia sana aisee mwenetu
pole usilie Sana,ndo ukubwaIla nimelia sana aisee mwenetu
karibu sanaaaaaaaaImeisha hiyo mtu wangu,najua home g atanipa address chap tu pande hizo
Bahati mbaya ulikua unatembea uchi ukajikwaa ukaangukia wapi?🤕🤕😅😅 mi ilitokea tu bahati mbaya sikua na namna 😎
nikadondokea swimming pool the rest was history😪😪Bahati mbaya ulikua unatembea uchi ukajikwaa ukaangukia wapi?🤕🤕
🤣🤣 Nimeacha kujifunza kuogelea Mimi..nikadondokea swimming pool the rest was history😪😪
Bado wewe.🤣🤣 Nimeacha kujifunza kuogelea Mimi..
Wewe tayari?Bado wewe.
Mwenzako akinyolewa, zako tia maji.
Mimi sio mwenzenu.Wewe tayari?
Mwenzetu kanyolewa zetu tutie maji..
Mlenga shabaha Gani umeshindwa kujicamouflage, no Uvumilivu..umeshindwa kukaza..🤣🤣🤣 you are just PreyMimi sio mwenzenu.
Mimi ni sniper. Nalenga shabaha.
AiseeBahati mbaya ulikua unatembea uchi ukajikwaa ukaangukia wapi?🤕🤕
Mbona unaniogopa sasa? Nisogelee uone.Mlenga shabaha Gani umeshindwa kujicamouflage, no Uvumilivu..umeshindwa kukaza..🤣🤣🤣 you are just Prey
Hii ndio nasikia Leo.. kweli Hali ni mbaaaya.Mbona unaniogopa sasa? Nisogelee uone.
Mtoto naye atakuwa hajulikani,hatar sanani miongoni mwa wale wasio julikana 😪
Na wewe pekee ndiye mwenye dawa ya kunitibu.Hali ni mbaaaya.
Afadhali maana nawe ungeangukia swimming pool si yangekuwa mengine sasa hivi🤣🤣 Nimeacha kujifunza kuogelea Mimi..
Home g aliangukia Mimi siwezi angukaAfadhali maana nawe ungeangukia swimming pool si yangekuwa sasa hivi
Changanya tako mav zisigandeNa wewe pekee ndiye mwenye dawa ya kunitibu.
Anatufanya watoto eti kaangukia swimming pool🤣🤣Home g aliangukia Mimi siwezi anguka
Si unikatae kistaarabu jamani mpaka unitukane mtoto wa KE mwenzio😅Changanya tako mav zisigande